Yeah walikuwa matapeli waleee.Watakuwa Matapeli tu, TRA hawajaongea chochote mpaka sasa. Kuhusu Multiple Applications hawakutoa angalizo/katazo.
Yeah walikuwa matapeli waleee.Watakuwa Matapeli tu, TRA hawajaongea chochote mpaka sasa. Kuhusu Multiple Applications hawakutoa angalizo/katazo.
Hapo ndio tunapo wakumbuka utumishi sasa mbali na changamoto zao.candidate wa tra mshachinjwa kimya kimya

Pole , mimi nimeacha kabisa kufuatilia huo usaili wa TRA toka nilivyotoka Dodoma mpaka leo sijawahi kuwapigia simu wala kuangalia mkeka maana ile idadi siku ile kwenye usaili ilitosha kueleza kila kitu kuwa apa sina changu

usikate tamaa mkuu..Andaeni nauli keshokutwa account zenu status zitaanza kubadilika
Ngoja tuone mkuuAndaeni nauli keshokutwa account zenu status zitaanza kubadilika
Nauli.ya kwenda wapi? TenaAndaeni nauli keshokutwa account zenu status zitaanza kubadilika
anamaanisha dodoma nafikiriNauli.ya kwenda wapi? Tena
Huu uzi unahusu post zilizotangazwa TRA, labda anamaanisha nauli ya kuhudhuria interview tra!!!🙂🙂🙂anamaanisha dodoma nafikiri
Si ndio dodoma mzeeHuu uzi unahusu post zilizotangazwa TRA, labda anamaanisha nauli ya kuhudhuria interview tra!!!🙂🙂🙂
Insha Allah iwe kheri maana kuitwa tu kwenye interview bahati hata kama utakosaAndaeni nauli keshokutwa account zenu status zitaanza kubadilika