Lakini kiukweli mimi hua nawashangaa sana vijana GenZ wa kitanzania.....
Yaani mtu kweli umesomea kitu flani, then unakuja kuomba namna hadi ya kufaulu usahili...🤔
Hivi hamuoni haya...??
Basi omba namna ya kusaidiwa uipate nafasi kwakua ushindani ni mkubwa, ila hakikisha unafaulu usahili.
Mimi kiukweli sijawahi na sinto wahi kumsaidia mtu kwenye position ambayo hata ukimuweka hawezi kuitendea haki.. bladi hell....☹️