Usagaji sasa basi!



Ujinga wa hizo imani zenu mlizoletewa na meli za wakoloni ni hapo tu...
Huyo utaeenda kutubu kwake nae ana uchafu wake...
Yaani kila mtu mchafu
 

dah!! sasa ile show ya mie kuona two ladies wakifanyana ndio siipati tena? loh
 
Siamini na wewe umeingizwa mkenge na Kons. Na ujanja wako wote umeshindwa kukonekt dots ukajua abc za huyu binadamu?

Wajanja tulishastuka siku nyingi sana. Kusoma hatujui ila picha na miandiko haitushindi.

babu hivi ni yale yale au........siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kuwa mgeni lol!!!
 
He he he...
Hivi bado mnatoa tu comments zenu kwa hii sredi...ngoja miye niendelee kutunza wino wa keyboard yangu!

hahaaaa kwani ni nini kinaendelea......maana nilivyokuwa mbele kukoment....nahisi wino wangu wote kwishney.....

si unaona unavyotoka kimpauko.......
 
hongera sana dada kwa uamuzi wa busara, Simama kwenye imani nawe utashinda majaribu na vikwazo vyote. Kwani TUNAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ATUTIAYE NGUVU.
 
Makumi wa wasichana na wanawake??????we kiboko looooh???nakushauri utunge kitabu tu
 
Be FREEE in the name of JESUS!
 
kwaniii,kuna watu ulikuwa unawasaga humu humu jukwaani? au
 
Sikujibu kwakuwa nna hasira na wewe.

Hivi kwanini unakoroma usiku namna ile?

Babu hivi kwa ile shughuli nitaacha kukoroma kweli!!!!!

ssiku nyingine usiniruhusu kushiriki kwenye ile kazi looh
 
Babu hivi kwa ile shughuli nitaacha kukoroma kweli!!!!!

ssiku nyingine usiniruhusu kushiriki kwenye ile kazi looh

Sshiii kuna vimjamaa vinafuatilia nyendo zetu vitatuloga. Sipendi kikojoleo changu kihamishiwe usoni na chako kwenye goti.
 
Kwanza nikupe hongera kwa uamuzi mzuri,wapo watu wengi wa aina yako wameshindwa 2escape frm lesbianism.
Dah nimesoma thread yako kwel it seems imefikia hatua u cant keeping do it,nimefurah kuona umeamua kulichukulia hatua,ila ningependa japo kuyaeleza kwetu yale haswa ambayo yalikuwa ni side effect kwako kufanya usagaji, ili nasi mim yule na mwingine yoyote yule apate ushuhuda kwa yale yaliyo kukuta,wengi wao wakina dada wapo kwenye kamkumbo ka-style hii,wanasema ni fashion-dah mungu awasamehe
 
Sshiii kuna vimjamaa vinafuatilia nyendo zetu vitatuloga. Sipendi kikojoleo changu kihamishiwe usoni na chako kwenye goti.

Kweli kabisa, tumekutana gesht haush.

Hao wanaotufatilia watuache Miaka 800......mie mwenyewe nimeaga kwetu sijaja mjini hivi hivi


Ila ngoja nije zangu gest hausi tulikokutania sie.......najua unajua tuna mengi ya kufanya
 
Kama uko dar nenda muhimbili kitengo cha afya ya akili utapata ushauri alafu utapima ukimwi
 
Mimi hata sielewei kinachojiri hapa...najiuliza tu "Nyumba ya shetani, zimwi kaingiaje??"

hahaaaa kwani ni nini kinaendelea......maana nilivyokuwa mbele kukoment....nahisi wino wangu wote kwishney.....

si unaona unavyotoka kimpauko.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…