habari zenu,
natumaini weekend inaenda vyema hapo ulipo....leo nilikuwa naangalia
taarifa ya habari nikaona watu kadhaa wa familia moja wamedondoka na
ungo sehemu flani hapa nchini kwetu Tanzania (thread yenye habari zaidi
JF
hii
hapa)...maswali yakaanzia hapo kutoka kwa niliokuwa nao,naomba
niwashirikishe ili kama kuna anayefahamu atujulishe.
1.is it scientifically proved kwamba ungo unapaa?....kwanini tusijaribu
kufanya utafiti tuhakikishe hii mambo,maana wengine(mimi personally)
naona hili swala la kupanda ungo ni mulugo.
2.je hizi ungo zinavyopaa,zina route yake?....kama kulivyo na anga la
kimataifa,anga la ndege ndogo etc.
3.je radar inaweza ikaona hizi ungo?
4.ungo unafananaje----kwa mwenye picha tafadhali aweke
5.je zinatumia nishati gani?
6.zipo aina tofauti za ungo?ni ngapi?
wengine mtaanza kuponda hii thread,ila naamini itatusaidia wengine
kupata uelewa kuhusu haya mambo yakoje yakoje,na kama ni kweli au stori
tu......sisi ni waafrika,na mambo haya yapo kwetu,nitafurahi kujua
kiundani kuhusu haya kwa JF.ni haayo tu kwa leo
CC:
watu8 ,
Chimbuvu
babaV
Nicas
Mtei
Bujibuji
Zinduna
Filipo
Mtambuzi
Mbuzimzee
The
Boss
Puppy
@lara1
Preta
Erickb52
charminglady
Mwali
Ndoa