Usafiri wa Ungo !

Usafiri wa Ungo !

habari zenu,
natumaini weekend inaenda vyema hapo ulipo....leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikaona watu kadhaa wa familia moja wamedondoka na ungo sehemu flani hapa nchini kwetu Tanzania (thread yenye habari zaidi JF hii hapa)...maswali yakaanzia hapo kutoka kwa niliokuwa nao,naomba niwashirikishe ili kama kuna anayefahamu atujulishe.
1.is it scientifically proved kwamba ungo unapaa?....kwanini tusijaribu kufanya utafiti tuhakikishe hii mambo,maana wengine(mimi personally) naona hili swala la kupanda ungo ni mulugo.
2.je hizi ungo zinavyopaa,zina route yake?....kama kulivyo na anga la kimataifa,anga la ndege ndogo etc.
3.je radar inaweza ikaona hizi ungo?
4.ungo unafananaje----kwa mwenye picha tafadhali aweke
5.je zinatumia nishati gani?
6.zipo aina tofauti za ungo?ni ngapi?




wengine mtaanza kuponda hii thread,ila naamini itatusaidia wengine kupata uelewa kuhusu haya mambo yakoje yakoje,na kama ni kweli au stori tu......sisi ni waafrika,na mambo haya yapo kwetu,nitafurahi kujua kiundani kuhusu haya kwa JF.ni haayo tu kwa leo



CC: watu8 , Chimbuvu babaV Nicas Mtei Bujibuji Zinduna Filipo Mtambuzi Mbuzimzee The Boss Puppy @lara1 Preta Erickb52 charminglady Mwali Ndoa

hivi kwenye hii clip wali-act au?
ni ya zamani kidogo hebu angalia kidogo.

WACHAWI WANASWA KANISA LA UFUNUO MWANZA - YouTube
 
Watu mnashangaza kweli! Yaani mnashangaa kana kwamba hamjawahi kuisikia hii makitu. ....nilicheka sana yule mzoefu alivokuwa anaelezea, eti mwenzetu asiye na uzofu ndiye aliyetu-cost tukadondoka!

KAMA MIMI. Yaani niligunduaa kumbe wapanda ungo ni watu wa kawaida kabisa huko street. Ha ha ha. Japo nilitamani kuuona ungo wao, ila waleta news wa ITV walitubania hapo.
 


haya, sasa mwanamke anatumia ungo, na mwanaume alikuwa akitumia mkuki
 
Last edited by a moderator:
mnhhh sijui hili taifa lkoje koje
'most primitive nation on earth'
Nchi ya ushirikina..nchi ya washirikina. Wenzetu wanasonga mbele kwa kutumia sayansi na teknolojia sisi tunendekeza imaani za mababu na mabibi. Nikikadiria asilimia 95% tu washirikina wengine wanabisha. Sikiliza maskoofu wetu wanavyojinufaisha kwa kuwalazimisha watu wakubali wana mapepo ili wawatibu. Sikia mashehe nao wanavyojinufaisha kwa kudai wanatibu majini. Na uchunaji wa ngozi je ? Na mauaji ya malbino na vikongwe ? Hata wasomi wetu wengi nao ni washirikina. Hata viongozi wengi pia. Kule Mtwara Msimbati Bibi Guli au mkuu wa kaya anadaiwa kuwa na uwezo wa kuzuia gesi isije DAR ! Katika utumwa wetu wa ushirikina, huenda tukachukua muda mrefu kusonga mbele na kushindana vilivyo na nchi zingine.
 
wakati huu wa swala la gesi zitaibuka habari nyingi sana kama hizi kubadilisha upepo ila nadhani safari hii itakuwa ngumu kugeuza miili ya watu timamu ilochoka kudanganywa kila siku na serikali..
 
Ni utalaamu ambao umefichika ! Ungawekwa wazi kupatia watu wengi ajira kwani inawezekana ukawa na gharama nafuu ya uendeshaji, kinachotakiwa ni kuwa muangalifu usije ukashushwa chini na wenzako bila ridhaa yako !!!1

kuna abiria mmoja alikosea masharti aligeuka nyuma basi wese likakata wakadondoka karibu na kituo cha polisi
 
kumbe ndio maana hatuendelei, hata kama na gesi ya songosongo, mbuga, madini , mlima kilimanjaro , ziwa victoria na mengineyo vingehamishiwa kusini naamini bado maendeleo hayatakuwepo kama ushirikina umekithiri kiasi hiki!!!!!!!!!!MUNGU WAREHEMU HAWA WAJA WAKO!!!
 
habari zenu,
natumaini weekend inaenda vyema hapo ulipo....leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikaona watu kadhaa wa familia moja wamedondoka na ungo sehemu flani hapa nchini kwetu Tanzania (thread yenye habari zaidi JF hii hapa)...maswali yakaanzia hapo kutoka kwa niliokuwa nao,naomba niwashirikishe ili kama kuna anayefahamu atujulishe.
1.is it scientifically proved kwamba ungo unapaa?....kwanini tusijaribu kufanya utafiti tuhakikishe hii mambo,maana wengine(mimi personally) naona hili swala la kupanda ungo ni mulugo.
2.je hizi ungo zinavyopaa,zina route yake?....kama kulivyo na anga la kimataifa,anga la ndege ndogo etc.
3.je radar inaweza ikaona hizi ungo?
4.ungo unafananaje----kwa mwenye picha tafadhali aweke
5.je zinatumia nishati gani?
6.zipo aina tofauti za ungo?ni ngapi?




wengine mtaanza kuponda hii thread,ila naamini itatusaidia wengine kupata uelewa kuhusu haya mambo yakoje yakoje,na kama ni kweli au stori tu......sisi ni waafrika,na mambo haya yapo kwetu,nitafurahi kujua kiundani kuhusu haya kwa JF.ni haayo tu kwa leo



CC: watu8 , Chimbuvu babaV Nicas Mtei Bujibuji Zinduna Filipo Mtambuzi Mbuzimzee The Boss Puppy @lara1 Preta Erickb52 charminglady Mwali Ndoa

snochet naifanyia utafiti sayansi hii ya mizimu, mazimwi na mashing'weng'we.
Nilipeleka proposal yangu wizarani kuomba fund, lakini kila mtu anataka 10%
 
Last edited by a moderator:
Pasco

Hivi kweli unaamini Uri Geller anapinda vyuma ?, hivi kweli unaamini kuna watu wanapaa na ungo ? (levitation)

Alafu tunakosea kusema kwamba hii myth kwamba ni teknolojia ya kwetu wengine hawafanyi sababu hata zamani huko nje kuna watu pia walikuwa wanadhaniwa kwamba wanao uwezo wa kupaa na mifagio au magic carpets kwa kufuatilia sana ikagundulika ni hallucinations tu baada ya wao kubugia madawa yao (aina ya uyoga na dawa nyingine)..

In short imani za hivi zinakubalika tu sababu ya watu kushindwa kujiuliza HOW.. ? na kutumia imani kufikiri lakini ukiangalia kupinda vyuma na levitation ni just tricks za wafanya mazingaombwe ili wajipatie kipato (hata huku tulikuwa nao wengi zamani) lakini all magics zina explanations of how they do it kupaa na ungo/ufagio ni hallucinations na wakipaa kwenye stage fahamu kwamba unapigwa changa la macho
 
Last edited by a moderator:
... Wataalam wa masuala haya wanasema ili uweze kupaa inabidi utumie viungo vya binadamu.
Sasa ikipitishwa si tutaisha wote!

tungewaomba wale ndugu zetu watengeneze vya kiteknolojia yao vile, si unawajua wale eeh??
 
Pasco

Hivi kweli unaamini Uri Geller anapinda vyuma ?, hivi kweli unaamini kuna watu wanapaa na ungo ? (levitation)
Shuhudia mwenyewe levitations, hizi ni photos!.
Pasco.
 

Attachments

  • 300px-Levitaatio.jpg
    300px-Levitaatio.jpg
    8.4 KB · Views: 73
  • chairlevy.jpg
    chairlevy.jpg
    18.4 KB · Views: 122
  • levitation2.jpg
    levitation2.jpg
    186.6 KB · Views: 61
  • webfloat3.jpg
    webfloat3.jpg
    26.6 KB · Views: 60
Mkuu Pasco kwanza kabisa hizo ni photo ambazo ni rahisi zaidi kuzibadilisha.., hata hivyo hii trick uki-google online utaona kwamba magicians huwa wanaitumia sana mfano kina David Blaine.., lakini huwa ni trick ambayo kama ulishawahi kuona program ya Breaking the Magician Codes utaona ni mbinu zipi na illusions ambazo huwa wanatumia.., mfano mmoja wa trick a levitation angalia hapo:-

How To Levitate Women - Video
 
Last edited by a moderator:
Don't be carried away so easily. GAS kwanza. nyie wabongo vipi??
 
Seeing is beliving, kama bado huoamini nikuwekee video to see for yourself!.

Kuhusu hii trick am sure unaweza kupata videos kibao youtube lakini soma hapa jinsi ya kufanya hii trick am sure kesho watakukoma ukienda Pub lazima wakuite Uri Geller

Cool Spoon Bending Illusions

Kwahio mkuu chochote kile cha ajabu mtu anachofanya trick ni kwamba amefanyaje na hatujagundua kafanyaje sio kwamba kuna miracles zimetokea

By the way unajua ile trick ya wahindi ya kupiga filimbi na kamba inapanda peke yake ?, hata ila ni illusion tu ambayo watu wameshajua jinsi ya kufanya.., cha muhimu ni kuwa na right equipments na preparation za kutosha

Addition information jinsi Uri anavyofanya:-

Geller's best known stunt was making a spoon or key bend by merely rubbing it. In reality he'd surreptitiously bend the spoon or key beforehand, then keep the bent part concealed in his hand. When showtime came around, he'd display the spoon or key to the audience with the bowl or flat side facing out, from which angle it looked straight. Then he'd commence rubbing, all the while keeping up a furious line of chatter. By and by he'd extrude the bent part of the spoon or key from his fingers, if you follow me, giving the appearance that it was bending before the audience's eyes.
 
Back
Top Bottom