Usafi katika nyeti!

zingatia kuosha kuanzia mbele kuelekea nyuma.zingatia hii tafadhali.
 
RR kitufe cha thanks sikioni ila kiukweli umetoa somo la maana sana
Karibu sana. Mwenyewe somo hili nimepewa na watu wengi wakiwemo mama yangu na bibi yangu (sasa Marhem). Nitafikisha shukrani zenu...
 
Usafi ni muhimu kwa wote tu na sio wanawake peke yao. Fuata haya

1. Fua nguo zako za ndani mara kwa mara. (Wanaume wengi sana ni wavivu kwenye suala hili)
2. Nyoa vuzi kila baada ya wiki mbili usisahau pia za kwapa.
3. Osha "dudu" kila baada ya kufanya tendo kwa maji safi na sabuni. (wengi huwa mnafuta tu kwa vitambaa). Na uoge baada ya kumaliza hiyo shughuli.
4. Oga mara kwa mara.
5. Jioshe vizuri baada ya kukata gogo
unatoka mbele kuelekea nyuma.
6. Kojoa mara baada ya kumaliza tendo na mwandani wako, hii husaidia kusafisha ile njia ya shahawa.

Hapo kwenye red ni muhimu kwa wanawake, kwani wakiosha kutoka nyuma kwenda mbele wanaweza hamisha microbes wa nyuma kwenda ukeni. Kwa wanaume haijalishi kwani huwezi hamisha microbes wa nyuma kwenda uumeni!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kwani wanaume sio bnadamu?
mhh ndo nyinyi mnaonuka.....ahhh wanaume wengne wananuka jamn akisimama pale harufu mpk kule unaipata...

Acha kutusingizia. Wanaume wa wapi? Hapa Hapa mjini? Njoo uninuse basi kama hujaishia kuning'ang'a sharti
 
I think ni kweli, tena sio baada ya kufanya mapenzi tu. Mwanamke anatakiwa kujiosha nje na ndani at least mara tatu kw wiki, a na kila baada ya tendo la ndoa.
Sababu ya kufanya hivo ni kwamba Ph ya sperm ni tofauti sana na Ph ya uke na inasababisha fungus ya aina fulani kumea haraka na kuleta harufu mbaya. Sababu lingine la kuosha hapo hapo (obvious) ni uke kua na utelezi fulani ambao haupendezi kabisa. Unaweza kuosha tu kwa nje na maji baridi alafu uoshe vizuri kwa ndani wakati wa kuoga mwili mzima (kwa wale wanao oga kabla ya tendo mfano)
Kwa kuosha uke wako chuchumaa, panua miguu kidogo, tumia maji masafi yasiwe ya moto (kama utaweza tumia ya baridi), chukua intimate gel kidogo, apply straight kati kati ya mashavu, sugua kwa vidole (sio makucha) na suuza kwa maji baridi.
Kwa kuosha ndani ya uke tumia maji tu (usitumii gel) . ingiza kidole (as far as you can) alafu kipindishe kidogo, vuta nje. Kama hujafanya kwa muda utaona kuna "something" kinatoka. repeat until you feel clean.

mwanamke wa kuosha mara 3 kwa week? gosh...wa aina gani huyo mwanamke? huo ni uchafu!
 
Mpwa asante kwa somo, usafi wa mazingira ni muhimu.

Wakuu kama kuna anae hitaji vibwagizao vyote vya usafi wa mazingira, mi ni orflame consultant ani pm tu.
 
Kwa mwanamke:
  1. Tumia intimate gels wakati wakuosha.
  2. osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
  3. mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
  4. ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
  5. Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
  6. Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
  7. usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
  8. nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
  9. Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
  10. Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
  11. Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
  12. Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
  13. Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
  14. Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
  15. Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
  16. Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
  17. Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
  18. Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
Kwa mwanaume sijui...

hapa umenitamanisha kuingia kunako chunvini
 
mwanamke wa kuosha mara 3 kwa week? gosh...wa aina gani huyo mwanamke? huo ni uchafu!
Samahani kama hukunielewa, nilimaanisha kuosha kwa kuondoa kabisa ule 'uchafu' wa ndani. Kuosha kwa nje tulisema ni mara 2 kwa siku (at least) ila ukiosha sana huko ndani pia unaharibu balance na ikiwa kwa sababu moja au nyingine unahitajika kukaa zaidi ya masaa 8 bila kuosha utaskia unatoa harufu mbaya sehemu za siri sababu umetoa bacteria fulani ambazo ni muhimu kw kusuppress. Na ndio pia sababu ya kuto tumia intimate gel ndani ya uke, but nje tu. So the balance itakua ni kuosha mara moja kwa siku mbili, unless ulishiriki tendo la ndoa, in which case you have to rince immediately.
 
Kwa mwanamke:
  1. Tumia intimate gels wakati wakuosha.
  2. osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
  3. mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
  4. ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
  5. Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
  6. Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
  7. usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
  8. nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
  9. Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
  10. Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
  11. Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
  12. Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
  13. Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
  14. Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
  15. Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
  16. Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
  17. Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
  18. Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
Kwa mwanaume sijui...
Thanks for your effort, but may we have your reference please? I want to justify your tips before I can give my contributions on this subject.
 
Back
Top Bottom