Usafi katika mahaba

Usafi katika mahaba

inaoneka hata wewe tu mleta mada hilo janga ni lako wenzio wote tukipanga mihadi tukifika kwanza lazima tuoge kidogo kuondoa jasho la barabarani maana kuna wanawake wengine hisia zipo kwenye makwapa so kuoga ni lazima
kama hujawai kuoga before sex just do that
Usafi sio kuoga tu mkuu.
 
Kwa kuwa jiji likiwa chafu ni jukumu la wananchi kufanya usafi,, mm nitaanza kinyozi maalum ya vikwapa, wenzangu nao wajichagulie hizo sehem zilizobaki, jamani hii ni janga tusaidianeni
unakuta mkaka au mdada kavaa nguo ya makwapa nje half kashika bomba kwenye daladala kwapa chafuu utatamani utapike.
 
Duh, ukweli mkuu. Binafsi enzi zangu kabla ya ndoa nilikuwa naoga na kupiga pamba safi najirashia body spray au perfume amazing, narudia kupiga mswaki na dawa kisha nasukutua vema. Nikiwa njiani kuelekea eneo sasa naongezea na kutafuna chewing gum ya mint. Yaani yote hii ni kuweka mazingira safi. Sikilizia tukifika 6x6 sasa utakuta mtoto watu ananilamba kila sehemu kwa hamu zote.
Safi mkuu usafi ni muhim unamfanya mwenzio aenjoy love
 
Naona Hapa Ni Where We Dare To Talk Openly,
Nitakae Mkwaza Anisamehe,
Japo Ndio Uzi Naanza Nao Ila Ni Kero Naiskia Kwa Wengi
Japo Nashukuru Mungu Janga Halijanifika Bado...


Hivi Kweli Tunda La Kiume Au la kike Ndio Unaenda Kukutana Nalo Chumbani 6/6 Room Ya Gharama Elfu 50,40 au Hata 25tsh
Unaenda Bila Kuoga, kupiga Mswaki, Kuvaa Nguo Za Uvundo Ambazo unazirudia Mara Mbili mbili za nje au ndani Kiujumla Unazifu Tu Zero...

Point:
*Full Body Kissing Kinyaa
*Kissing or Suck Dushe Kinyaa
*lips mdomo unanuka mradi tafran tu
*jasho sasa utafikiri kachumbari Imechacha...

In Short Ukiona Mtu Umekutana Nae Halafu Kakukacha Kiaina Labda Emergency Jua Wewe Unasifa Moja Wapo Za Uchafu...

Wengine Hujiona Kama Rihanna Au Angelina Jolie Kwa Wanawake Na Wanaume Hujiona Kama Shahrukh Khan Au Akon Lakini Ndani
Mapori Na Uvundo....
Ukiambiwa Ukweli Unakua Mkali...

Wakuu Mwenye Nyongeza Na Yaliyomkuta Tuelimishane

Aysher

View attachment 393388
Kilicho baki kufanyia kazii
 
unakuta mkaka au mdada kavaa nguo ya makwapa nje half kashika bomba kwenye daladala kwapa chafuu utatamani utapike.

Hiyo hunikera sana kwa kweli.

Sasa hapo unakuta mwenzio wala haoni ubaya wowote ule.

Ndo mtu inabidi ukubali tu kuwa watu tumetofautiana.

Ukionacho kibaya wewe kwa mwenzio ni kawaida tu na kawaida kwako kwa mwengine yaweza kuwa kero.
 
Me mke wangu anavyonifanyia km mtoto mdogo!nalazmishwa kuoga tena na sabuni napewa na mswaki nikitoka hapo nafkizwa udi napuliziwa mapafyum!mwanzo nilikereka ikawa na ugomvi ila alikomaa hadi nimezoea sasa hivi najifanyia bila shuruti
Safi sana hongera mkuu
 
Hiyo hunikera sana kwa kweli.

Sasa hapo unakuta mwenzio hala haoni ubaya wowote ule.

Ndo mtu inabidi ukubali tu kuwa watu tumetofautiana.

Ukionacho kibaya wewe kwa mwenzio ni kawaida tu na kawaida kwako kwa mwengine yaweza kuwa kero.
Tena anaona sifaa mwenyewe kukaa kwapa wazi linadondosha jasho tpuuu...
 
Wakati mnatakana atakuficha Tabia zake mkishazoeana zitaanza kujitokeza ukimwambia anakua mkali.
Uchafu/Usafi haviigizwi. Mchafu ni mchafu na msafi ni msafi tuu. Labda ujitie upofu.
 
Nashukuru sijawahi kutana na hilo balaa maana usafi ni muhimu.
 
Uchafu/Usafi haviigizwi. Mchafu ni mchafu na msafi ni msafi tuu. Labda ujitie upofu.
Mtu kama ni mchafu ndani ya muda mfupi utajua tu.
Chamsingi unamweleza faida na hasara za huo uchafu wake kama anakupenda na ni mwelewa atabadilika na atajitahidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom