Usafi katika mahaba

Usafi katika mahaba

Mmmh! jamani huo mda wa kuoga tunao? cha jioni sijakipata niwaze kuoga tena kama umeshindwa kunipa mambo lala mbele
 
kijasho camp
kula lazima kuoga hiyari
Halafu we Mo11 nilipanga nikutaje kwenye ule Uzi wa Jana sasa umenikatisha tamaa kabisaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Aseee uciombee ukutane na mbunyee inayotoa harufu ndivyo sivyoo unawezaa ukapatwa tumbo la kuharaa jaman ile kituu ikiamuaga kunukaa banaaa chaaa afuu hataa akiondokaa ukimuona kwa mbaalii unahisi ilee harufuu
 
[emoji3]
Hata wewe ulicho kiandika hapa ebu fikiria ndo una mwambia mpenzi wako hapo
Hatari tupuu!
Mi namwambia tu sasa inategemea yeye atalipokea vipi akichukia poa lkn badae atakaa ataona huu no ukweli [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
MIE HUWA SIPIGI GAME MPAKA TUOGE KWANZA NDO MTANANGE UANZE
 
Halafu we Mo11 nlikua nimepanga nikuchague kwenye ule Uzi lkn ushanikatisha tamaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
uzi upi ?
Ila hapa nilikua nakumbushia camp letu la utotoni
 
Ingieni ktk ndoa. Acheni dhambi. Ndo maana mnakutana na mivundo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom