Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,213
- 6,389
Huyo kijana naona haijui marekani? Amesahau watu wangapi walikufa Afghanistan, Iraq na kwingineko ambako alikua anatoa misada ya kijeshi kwa wapiganaji.
Hivi Dripboy unadhani Marekani wanawaonea huruma Wairan?Umeshawah kusikia Marekan inatoa amr ya kushambulia kisha amr inasitishwa ghafla?Hiv kule Iraq walikufa wangapi?au Bush hana huruma Trump ndo Malaika?