DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Anaweza pigana na wakwe zakeSura chachu huyo hajanishawishi alafu anataka vita kwa binadamu wenzie hanifai
Anaweza pigana na wakwe zakeSura chachu huyo hajanishawishi alafu anataka vita kwa binadamu wenzie hanifai
Sijaelewa swali lako labda elezea tu unataka kusema nini.Wewe unavyo Dhani masuala ya kuvuna pesa za watu yalianzishwa na Ufalme wa saudia
Nasema tena nawashauri Iran waombee John Bolton asipandwe na uchizi wake maana Trump atapelekewa Seal na atalazimishwa kubonyeza bila kupenda, ile inatoaga jibu moja tu "Bomb Them" hahaaa Tehran yote itakuwa upside down nawaambia.Trump jana hajazungumza acha kupotosha, mimi kituo changu pendwa cha habari ni kituo ambacho CIA wanakiita Russian propaganda machine kinaitwa RT hiki hakizungumzi mabaya ya Russia kabisa hata chembe ila kinazungumza mabaya ya U.S tu na anapokosea ndio inakuwa trending news.
Hawa wanakomaa sana na France na U.S sasa nieleze ni jambo gani la kutisha alilozungumza Pompeo ambalo wewe ulilisikia au hata John Bolton maana nae alizungumza
Pale kwa Iran pagumu mkuu.Nasema tena nawashauri Iran waombee John Bolton asipandwe na uchizi wake maana Trump atapelekewa Seal na atalazimishwa kubonyeza bila kupenda, ile inatoaga jibu moja tu "Bomb Them" hahaaa Tehran yote itakuwa upside down nawaambia.
Iran ni shiiiidaaaaaaHahahahahah Iran wanaume mkuu.
mwambie
ze kokuyo
Dish linauzwa ataona Afcom bila kingamuzi!
View attachment 1137671
ujinga tuKwa tabia za USA, ingekuwa Iran ni mnyonge mnyonge kama Tz hivi angekuwa ashatwanga kitambo. Intelligence yake imeshamwambia akigusa Iran atarajie China na Urusi watatwanga Newyork na Washington
, yaani ngumi ya jicho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliahirisha Korea leo Iran, kwanini? Dunia sahizi imwchoshwa na uonevu wake. Maadui ni wengi kuliko anavyodhania. Hata hao marafiki zake si marafiki wa kweli bali wengi wao ni uoga wasijepigwa nae.
Natabiri kuanguka kwa dola ya Marekani miaka ya Karibuni.
Waarabu ni wanafiki sana. Saudia anawanyonga washia kila leo na USA anaona na wala afanyi chochote.Basi sawa.
Hawa Marekani wapuuzi kabisa, silaha wawenazo wao tu, wengine wakina nazo makosa?Marekani imedai kuwa Iran ina silaha za masafa marefu zaidi kuliko nchi yoyote ile mashariki ya kati.
Kuna ukweli wowote juu ya hilo?