USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

Marekani imedai kuwa Iran ina silaha za masafa marefu zaidi kuliko nchi yoyote ile mashariki ya kati.

Kuna ukweli wowote juu ya hilo?

Tangu Shah wa Iran alivyoondolewa madarakani, marekani imefanya kila jitihada kuiangusha serikali ya Iran lakini nchi hiyo imeweza ku-survive. Wamelazimika kuwa wabunifu na hili linaisumbua sana marekani kuanzia rais Carter hadi rais Trump. Marekani haiwezi kuthubutu kuivamia nchi hii maana mara watakapofanya hivyo basi Saudia [ambaye kwa sasa ndiye kibaraka mkubwa wa US itaharibiwa visima vyake na pia US kwa sasa imetengeneza maadui wengi kama N. Korea, China, USSR hao wote wanangoja afanye hivyo ili nao watimize ajenda zao
 
China na Urusi mkuu hawana bifu na Marekani hata kidogo ila wana maslahi yao binafsi ya kibiashara!

Sidhani kama utaelewa nini namaanisha subiri mkutano wa G20 nchini Japan utashuhudia hawa wanatengeneza ujinga na wajinga wanafanikiwaga kuwapata!
 
Hahaha! Kwa hiyo kama anazo hizo silaha ndio iweje
Marekani imedai kuwa Iran ina silaha za masafa marefu zaidi kuliko nchi yoyote ile mashariki ya kati.

Kuna ukweli wowote juu ya hilo?

China na Urusi mkuu hawana bifu na Marekani hata kidogo ila wana maslahi yao binafsi ya kibiashara!

Sidhani kama utaelewa nini namaanisha subiri mkutano wa G20 nchini Japan utashuhudia hawa wanatengeneza ujinga na wajinga wanafanikiwaga kuwapata!
Pengine hufahamu Geopolitics.zinavyokwenda. Marekani na Russia miaka yote ni wanacheza mchezo wa paka na panya. Baada ya nchi kadha kujiondoa toka USSR na kwenda magharibi, russia ilifahamu kuwa marekani kwake ni nafasi ya kuweka mitambo ya EWS pamoja na kupata sehemu ya kuweka majeshi yake ili iwe imeizunguka urusi upande wa magharibi na kusini ikijumuisha na uturuki.[ hata lengo la kujiingiza afghanistan US ilidhani kuwa ikipata serikali kibaraka inaweza kuweka nyenzo zake ili kuizingira kwa upande mmoja urusi kwa kusini na china/n. korea kwa mashariki.
Warusi kwa kuona hivyo waliwekeza kwenye utafiti na utengenezaji wa silaha za kali zaidi wakajenga urafiki wa iana fulani na china ambao nao wanazuiwa na marekani kuichukua taiwan..
Hivi sasa jeshi la marekani limejistretch sana kwani ili kudhibiti korea ya kaskazini, wamepleka jeshi kwenye pwani ya japan. sehemu nyingine ya jeshi ipo mashariki ya kati.
Urafiki wa china na urusi umenoga kiasi kwamba kutokana na wote kuwekewa vikwazo vya kiuchumi zimeungana kiuchumi na wameamua kutotumia sarafu ya dola. Uturuki, India na nchi nyingine zimeamua kununua mitambo ya kujihami toka urusi kwa kuogopa kuwa ikigombana na bwana mkubwa itakosa spea na upgrades.
Hivyo US ikiwapa mgongo maadui zake kwa kupigana na Iran. .China itapata nafasi ya kuendelea kujenga visiwa vya baharini kwenye bahari ya china bila udhibiti, Urusi itajizatiti Uturuki kwa kusogeza mitambo yake ambayo inaweza kufuatilia vita ya hiyo na kuweza kuwasaidia iran kiinteligensia. Pia inapaswa ufahamu kuwa eneo la mashariki ya kati ni dogo sana lakini ni muhimu sana kwa uchumi wa dunia. Hivyo wa iran wakiharibu strait of hormuz tu hakuna meli ya mafuta inayoweza kuingia au kutoka. visima vya saudia navyo vipo ndani ya uwezo wa kushambuliwa na iran.
Hivyo basi chochote kikitokea mashariki ya kati yote itaathirika na hakuna atakaye hayo yatokee.
Mwisho wa siku wataendele kuwekea vikwazo nchi hiyo ambayo imeendelea navyo kwa miongo mingi tu bila kuivunja mgongo lakini vita sidhani kama vitatokea.
 
Siamini sana katika uwezo wa Iran kama mnavyo i_overrate kwamba "eti" inaweza kushambulia Saudia hivi Mkuu unadhani Saudia ni kama Mbwa uliyemfundisha kuwa unaweza kumuita, ukamfukuza, ukamwambia lala na akalala?

Stop joking hizi mambo achana nazo Kiuhalisia kabisa Urusi hana uhasama na U.S. hata kidogo hawa ni marafiki japo mmoja ana uchumi mkubwa na anatumia uchumi wake mkubwa kumkandamiza mwenzake in a business purpose only!

Kuacha kutumia dollar sio issue kwa sababu kuna vitu vingi mno over 50% of technology inatoka U.S. hilo hata haliwasumbui.

Vita ambayo inaweza kusababisha WW3 ni ya kuipiga Israel au Saudia na kwa mitazamo ya haraka haraka ambaye anaweza kufanya hili jambo ni Iran.

Jeshi la Iran linashambuliwa sana na Jets za Israel nchini Syria na kuharibiwa vifaa vyao umeshawahi kujiuliza mbona hawaishambulii Israel?

Tukirudi Saudia, waasi wa houth wanafanya vita dhidi ya wananchi ili Iran asimike missiles zake Yemen kama anavyojaribu kufanya Syria dhidi ya Israel.

Siku ikitokea Iran ameshambuliwa atatumia hizo missiles ambazo anapambania kuziweka katika nchi nilizozitaja basi atazipiga hizo nchi na hapo ndipo kutaibua vita kubwa mno.
Binafsi sitaki vita kabisa ni mambo ya kizamani
 
Hapatakalika pale mashariki ya kati haki ya Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Salman wa Saudi Arabia lazima akate mbio.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa tabia za USA, ingekuwa Iran ni mnyonge mnyonge kama Tz hivi angekuwa ashatwanga kitambo. Intelligence yake imeshamwambia akigusa Iran atarajie China na Urusi watatwanga Newyork na Washington
, yaani ngumi ya jicho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliahirisha Korea leo Iran, kwanini? Dunia sahizi imwchoshwa na uonevu wake. Maadui ni wengi kuliko anavyodhania. Hata hao marafiki zake si marafiki wa kweli bali wengi wao ni uoga wasijepigwa nae.
Natabiri kuanguka kwa dola ya Marekani miaka ya Karibuni.
 
Hakika mkuu.Tena Russia leo kamuonya
 
Siamini sana katika uwezo wa Iran kama mnavyo i_overrate kwamba "eti" inaweza kushambulia Saudia hivi Mkuu unadhani Saudia ni kama Mbwa uliyemfundisha kuwa unaweza kumuita, ukamfukuza, ukamwambia lala na akalala?

Stop joking hizi mambo achana nazo Kiuhalisia kabisa Urusi hana uhasama na U.S. hata kidogo hawa ni marafiki japo mmoja ana uchumi mkubwa na anatumia uchumi wake mkubwa kumkandamiza mwenzake in a business purpose only!

Kuacha kutumia dollar sio issue kwa sababu kuna vitu vingi mno over 50% of technology inatoka U.S. hilo hata haliwasumbui.

Vita ambayo inaweza kusababisha WW3 ni ya kuipiga Israel au Saudia na kwa mitazamo ya haraka haraka ambaye anaweza kufanya hili jambo ni Iran.

Jeshi la Iran linashambuliwa sana na Jets za Israel nchini Syria na kuharibiwa vifaa vyao umeshawahi kujiuliza mbona hawaishambulii Israel?

Tukirudi Saudia, waasi wa houth wanafanya vita dhidi ya wananchi ili Iran asimike missiles zake Yemen kama anavyojaribu kufanya Syria dhidi ya Israel.

Siku ikitokea Iran ameshambuliwa atatumia hizo missiles ambazo anapambania kuziweka katika nchi nilizozitaja basi atazipiga hizo nchi na hapo ndipo kutaibua vita kubwa mno.
Binafsi sitaki vita kabisa ni mambo ya kizamani
Iran inafahamu fika kuwa haina uwezo wa kuipiga marekani. lakini marekani ikiishambulia nchi hiyo hasara yake ni kubwa sana kwa marekani. Kwanzi mashariki ya kati haitokuwa salama hasa Saudia. Njia ya mafuta ambayo inategemewa na wote
ikiharibiwa ikawa haiwezi kutumika[hili iran inaweza] itaathiri uchumi wa dunia nzima
Kwa hali ilivyo, wakitumia 'dirty bomb' thidi ya visima vya mafuta vya marafiki wa wamerikani hasa Saudia , mafuta ya visima hivyo thamani yake itakuwa ni chini ya thamani ya lita moja ya maji hapa kwetu.
Iran ni shia, hivyo jamii yake yote iliyo iraq,lebanon, na kwingineko wataanzisha mambo ambayo hata wanayofanya wa houthi wa yemeni ni cha mtoto.
Dunia kwa sasa haiwezi kuhimili kadhio hiyo na ndiyo maana hili suala la vita ni gumu kidogo.
Kuhusu taaluma ya teknologia, hivi juzi wa iran wamewatukana marekani kwa kutungua drone yake iliyokuwa kwenye stealth mode'. Hii maana yake ni kwamba wanateknologia nzuri na hivyo hata hizo stealth bomber wakati zitajaribu kuipiga Iran wao hawatolala na pia nina uhakika mrusi naye atapata nafasi ya kuona udhaifu wa marekani. Wengi wanaitukuza sana marekani lakini wanasahau vita vya iraq baada ya kumpindua Saddam kitu gani kilitokea. Kwa wamarekani kwao wakianza kuona 'body bags' zinaanza kurudishwa nyumbani basi ufahamu wapinga vita wataanza maandamano ya kupinga hilo na pia mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi US hivyo suala hilo linaweza kuendelea kumuweka Trump madarakani [kama mambo yatakwenda vizuri] lakini pia mambo hayo yanaweza kumfanya Trump kuwa ' o one term president'
 
Waliogopa Sana maana lile Dude lilikuwa mbinguni kombora moja tu bila kupinda likaenda kulishusha kumbuka Dude lenyewe lina speed mara 4 ya sauti!! Likaambiwa Shuka wewe huendi Mbinguni!
Hahahahahah,Na jinsi Iran walivyowaungwana ile ndege iliyokuwa inalifuata li dege mdori na alikuwa na watu 35 wala hawakuitungua.
 
😂😂😂😂😂 Sana waliwahesabu tu waka wambie nyie simpo 35 wakasema ndio ndio mmefuatana na huyo mbwa apo mbele angalieni tunacho mfanya Mara paa jamaa wakageuka mbio!!
Maana lile Dude linanusaga kama German Shepherd lilikuwa linawambia mpo salama mitambo yao frequencies zipo chini Sana hakuna ata dalili za signal zao !!!
 
Back
Top Bottom