USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

Ndugu! Hii Dunia ina mambo mengi sana mabaya yanatendeka na imekuwa hivyo kipindi kirefu sana. Ni kitu gani unaweza kukifanya hivi sasa kuzuia hilo ilhali mabaya yanazidi kuongezeka siku hadi siku?

Bado linabaki kuwa chaguo lao kuamua kile wanachokiona kinawafaa. Kama ni maslahi haramu au maslahi halali. It's Their Choice!
Duuuuuuuuu, balaaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Iran?hiyo number nyingine. Iran siyo Iraq wala Afghanistan. Si unaona US wenyewe walichange dakika 10 kabla. Yaani wangethubutu sasa hivi story ingekuwa kivingine vingine.
Ndugu yangu,Marekani siwapendi kabisa.Ila kwa teknolojia waliyonayo wakiamua kumpiga Iran ni dk tano tu wanamaliza mchezo.Marekani Iran anauogopa ushirika wa Mrusi na mchina
 
Wewe ni mwanamke au huwa una malengo yako fulani fulani?
 
Ndugu! Hii Dunia ina mambo mengi sana mabaya yanatendeka na imekuwa hivyo kipindi kirefu sana. Ni kitu gani unaweza kukifanya hivi sasa kuzuia hilo ilhali mabaya yanazidi kuongezeka siku hadi siku?

Bado linabaki kuwa chaguo lao kuamua kile wanachokiona kinawafaa. Kama ni maslahi haramu au maslahi halali. It's Their Choice!
No bro i disagree.Unaambiwa hata mbuyu ulianza kama mchicha.Haukuzuka tu.Wanasema ndondondo c chururu.Wema ukianza kujengwa leo ucdhani ubaya ucdhani utaondoka mara moja,laa!Ila hatuwezi kuacha kufanya mema kwasababu ubaya umezidi bro FRANC THE GREET
 
Iran hawana maneno mengi, wamesema Trump aanzishe vita aone what will hapen. US inabembeleza wafanye mazungumzi bila hata mashart ya mwanzi Iran imekataa kwa madai kua Trump haaminiki hivo sio mtu wa kufanya mazungumzo nae. Kiuhalisia Iran ikivamiwa mashariki ya kati yote haitakua salama.
Unazi ukizidi sana basi unaweza kuandika jambo lolote huku ukiwa na smartphone ya laki tatu na umekaa kwenye sofa la shilingi elfu 70 na kuvaa nguo za elfu 30 na unaishi katika taifa masikini kupitiliza.

Punguza unazi, Vita si jambo zuri hata kidogo hayo uliyoyasema si kweli, ila U.S. wanataka wawalete Iran kwenye meza ya mazungumzo kwa masharti watakayota waamerika wenyewe changamoto ndio inaanzia hapo.

Uchumi wa Iran unadorora sana hivi sasa na hali ikiendelea hivi basi kuna hatari ya vuguvugu la waandamanaji kuanza ambalo litachochea uasi kwani watafadhiliwa silaha
 
Ndugu yangu,Marekani siwapendi kabisa.Ila kwa teknolojia waliyonayo wakiamua kumpiga Iran ni dk tano tu wanamaliza mchezo.Marekani Iran anauogopa ushirika wa Mrusi na mchina
Nantahulla wee!hivi unaikumbuka Somalia ya Muhamed Farah Aidid?Mbona alikimbia,Afghanistan umeisahau mbona sasa anafanya amani na ma-Taliban?Nikikwambia ya Vietnam utaniambia mbali sana ila una tatizo la kusahau ndugu yangu.
 
Mkuu umewahi kusikia U.S. inaanzisha chokochoko na nchi isiyo na lolote (rasilimali mafuta) na haimuungi mkono?
 
Unazi ukizidi sana basi unaweza kuandika jambo lolote huku ukiwa na smartphone ya laki tatu na umekaa kwenye sofa la shilingi elfu 70 na kuvaa nguo za elfu 30 na unaishi katika taifa masikini kupitiliza.

Punguza unazi, Vita si jambo zuri hata kidogo hayo uliyoyasema si kweli, ila U.S. wanataka wawalete Iran kwenye meza ya mazungumzo kwa masharti watakayota waamerika wenyewe changamoto ndio inaanzia hapo.

Uchumi wa Iran unadorora sana hivi sasa na hali ikiendelea hivi basi kuna hatari ya vuguvugu la waandamanaji kuanza ambalo litachochea uasi kwani watafadhiliwa silaha
Hivi Dripboy unadhani Marekani wanawaonea huruma Wairan?Umeshawah kusikia Marekan inatoa amr ya kushambulia kisha amr inasitishwa ghafla?Hiv kule Iraq walikufa wangapi?au Bush hana huruma Trump ndo Malaika?
 
Naam amri huwa zinasitishwa hata Syria walipanga ku_lounge attacks zingine juu ya vituo vya kijeshi vya Syria kwa sababu wanatumia silaha za kemikali dhidi ya Raia ila ilisitishwa na si kwamba huacha!

U.S. atamfanya Iran alipe price yoyote ile hawezi kumuacha iran inaweza ikawa hizi tough sanctions tu au vita kabisa kitu ambacho sitaki na sitamani kukisikia kinatokea vita ni mbaya sana
 
labda nikumbushe kule Somalia kuna nn kaka yangu
Brother Somalia kuna oil reserve kibwa mno na inasemekana huenda ni kubwa kuliko ile iliyoko Hormuz, wana madini ya uranium, bauxite, copper, natural gas, tin, gypsum na mengine mengiii.

Huku vita itakuja kuisha siku Amerika akimaliza kazi ya kuvisomba hivi
 
Unazi ukizidi sana basi unaweza kuandika jambo lolote huku ukiwa na smartphone ya laki tatu na umekaa kwenye sofa la shilingi elfu 70 na kuvaa nguo za elfu 30 na unaishi katika taifa masikini kupitiliza.

Punguza unazi, Vita si jambo zuri hata kidogo hayo uliyoyasema si kweli, ila U.S. wanataka wawalete Iran kwenye meza ya mazungumzo kwa masharti watakayota waamerika wenyewe changamoto ndio inaanzia hapo.

Uchumi wa Iran unadorora sana hivi sasa na hali ikiendelea hivi basi kuna hatari ya vuguvugu la waandamanaji kuanza ambalo litachochea uasi kwani watafadhiliwa silaha
Mimi nimefika Iran na naijua vizuri Iran. Jana umeisikiliza interview ya Trump aliofanya NBC? Je umeyasikilizamazungumzo na waandishi jana Mike Pompeo aliosema kabla ya kupanda ndege kuelekea UAE/Saudia? Au hata kimombo hakipandi unapata tabu kujua vizuri kinachoendelea duniani? Na je ulifuatilia ziara ya Shinzo Abe aliofanya Tehran na alisemaje kilichomleta kuonana na Khamenei?
 
Brother Somalia kuna oil reserve kibwa mno na inasemekana huenda ni kubwa kuliko ile iliyoko Hormuz, wana madini ya uranium, bauxite, copper, natural gas, tin, gypsum na mengine mengiii.

Huku vita itakuja kuisha siku Amerika akimaliza kazi ya kuvisomba hivi
Asante kaka kwa kunifahamisha ila angalau unajua Muamerika hana urafiki wa kudumu na maslahi yake hayajali watu wanakufa au mali zinaharibiwa.Asante tena
 
Tena Imani ndo chanzo kikubwa cha kutoelewana .Wengine wanaamini Mohamed ndo wa mwisho,wengine baada ya Mohamed alikuwepo mwingine. Ila all in all wote wanaamini Mohamed na Allah. Huwa najiuliza kwa nini wasiunganishwe na Allah na Mohamed maana wanashare. Halafu wakaruhusu kuvumiliana tofauti zao?.
Toka lini Mungu na shetani wakawa marafiki au toka lini Nuru na Giza walikaa pamoja kwa wakati mmoja??
 
Back
Top Bottom