Marekani imedai kuwa Iran ina silaha za masafa marefu zaidi kuliko nchi yoyote ile mashariki ya kati.
Kuna ukweli wowote juu ya hilo?
Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.Isije ikawa janja yake ya kutaka kupiga Mihela ya silaha kwa wajinga anaodai na marafiki zake akina Saudi Arabia, UAE na Bahrain.😂😂😂😂😂
Hakika kiongozi.Waarabu sijui wanashida gani.Yaani full upumbavu.Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.
Iran?hiyo number nyingine. Iran siyo Iraq wala Afghanistan. Si unaona US wenyewe walichange dakika 10 kabla. Yaani wangethubutu sasa hivi story ingekuwa kivingine vingine.Kipigo kinamnyemelea, ngoja mkate uadimike mabomu yakirindima inakuwa rahisi kumuunga mkono adui ili upate mkate.
Ni chaguo lao kuunga mkono pale ambapo wanaona pana manufaa kwao. Let Them Be!Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.
Hata Irani mafuta ndiyo nguzo ya uchumi. Tofauti/uadui wa S.Arabia na Irani msingi wake ni U-shia na U-sunni. Imani ni upumbavu.Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.
Basi sawa.Iran?hiyo number nyingine. Iran siyo Iraq wala Afghanistan. Si unaona US wenyewe walichange dakika 10 kabla. Yaani wangethubutu sasa hivi story ingekuwa kivingine vingine.
Kumbe umeliona hilo, USA ni wahuni sana wakiamua kupiga propaganda hapo Waarabu wala tende watanunua hafu hata kuitumia hawawezi.Isije ikawa janja yake ya kutaka kupiga Mihela ya silaha kwa wajinga anaodai ni marafiki zake akina Saudi Arabia, UAE na Bahrain.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]