hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,347
- 80,220
Your so brave --woman
Nani kasema natamani vita itokee. Napenda peaceful world. Huwezi amini ninavyochukia hawa majirani Iran,Saudi arabia,Qatar,UAE wanavyochonganishwa na US. Yes US akimchokoza Iran,nataka Iran amshikishe adabu US. Kasome vita vya Iraq-Iran 1980 mpaka 1988.Uone US walivyomsadia Iraq kupigana na jirani yake Iran. I hate folks who cause conflicts. Eti natafuta mabwana. Naona huna hoja umeanza vioja. Jibu hoja kwa hoja. Na sio personal attacks.