Tena Imani ndo chanzo kikubwa cha kutoelewana .Wengine wanaamini Mohamed ndo wa mwisho,wengine baada ya Mohamed alikuwepo mwingine. Ila all in all wote wanaamini Mohamed na Allah. Huwa najiuliza kwa nini wasiunganishwe na Allah na Mohamed maana wanashare. Halafu wakaruhusu kuvumiliana tofauti zao?.Hata Irani mafuta ndiyo nguzo ya uchumi. Tofauti/uadui wa S.Arabia na Irani msingi wake ni U-shia na U-sunni. Imani ni upumbavu.
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Cha ajabu Saudi Arabia ina silaha kibao za kimarekani lakini wanasumbuliwa na vi drones za Waasi wa kihouthi wa Yemen 😂😂😂😂😂Kumbe umeliona hilo, USA ni wahuni sana wakiamua kupiga propaganda hapo Waarabu wala tende watanunua hafu hata kuitumia hawawezi.
🙏🙏🙏🙏🙏Tena Imani ndo chanzo kikubwa cha kutoelewana .Wengine wanaamini Mohamed ndo wa mwisho,wengine baada ya Mohamed alikuwepo mwingine. Ila all in all wote wanaamini Mohamed na Allah. Huwa najiuliza kwa nini wasiunganishwe na Allah na Mohamed maana wanashare. Halafu wakaruhusu kuvumiliana tofauti zao?.
Iran hawana maneno mengi, wamesema Trump aanzishe vita aone what will hapen. US inabembeleza wafanye mazungumzi bila hata mashart ya mwanzi Iran imekataa kwa madai kua Trump haaminiki hivo sio mtu wa kufanya mazungumzo nae. Kiuhalisia Iran ikivamiwa mashariki ya kati yote haitakua salama.Iran?hiyo number nyingine. Iran siyo Iraq wala Afghanistan. Si unaona US wenyewe walichange dakika 10 kabla. Yaani wangethubutu sasa hivi story ingekuwa kivingine vingine.
Sio kweli.Hata Irani mafuta ndiyo nguzo ya uchumi. Tofauti/uadui wa S.Arabia na Irani msingi wake ni U-shia na U-sunni. Imani ni upumbavu.
hahaha naona unatamani kweli hawa wababe washikizane adabu; ili heshima ichukue mkondo wakeWenyewe wanakubali. Sasa wangempiga,Iran ingetuma kombora buleki ya kwanza Pentagon.
Marekani imedai kuwa Iran ina silaha za masafa marefu zaidi kuliko nchi yoyote ile mashariki ya kati.
Kuna ukweli wowote juu ya hilo?
Hata hivyo bado masikini wa akili..Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.
Hakika mkuu 🙏🙏🙏Iran hawana maneno mengi, wamesema Trump aanzishe vita aone what will hapen. US inabembeleza wafanye mazungumzi bila hata mashart ya mwanzi Iran imekataa kwa madai kua Trump haaminiki hivo sio mtu wa kufanya mazungumzo nae. Kiuhalisia Iran ikivamiwa mashariki ya kati yote haitakua salama.
Tatizo la Waarabu ni tangu woga unaotokana na kupenda dunia.Wakati mwingine nashangaa sana Watukufu kuzaliwa kule.Ni kudura ya Jalali Alitakalo huwa.Hakika kiongozi.Waarabu sijui wanashida gani.Yaani full upumbavu.
Chaguo lao?Yanapokua maslah haramu mwenye yaliypjaa damu pia.Hapana bro FRANC THE GREAT,Damu zetu ndiyo utajiri wao!Fikiria tena broNi chaguo lao kuunga mkono pale ambapo wanaona pana manufaa kwao. Let Them Be!
Msego weeee!Imani ni upumbavu!!!Fikiri vzrHata Irani mafuta ndiyo nguzo ya uchumi. Tofauti/uadui wa S.Arabia na Irani msingi wake ni U-shia na U-sunni. Imani ni upumbavu.
Ndugu! Hii Dunia ina mambo mengi sana mabaya yanatendeka na imekuwa hivyo kipindi kirefu sana. Ni kitu gani unaweza kukifanya hivi sasa kuzuia hilo ilhali mabaya yanazidi kuongezeka siku hadi siku?Chaguo lao?Yanapokua maslah haramu mwenye yaliypjaa damu pia.Hapana bro FRANC THE GREAT,Damu zetu ndiyo utajiri wao!Fikiria tena bro
Ndo maana yake ila kwa upumbavu huu walionao,wasipozinduka ndo bac tenaEti eeeh?