USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

Ninachojua kwa sasa tuna rais mjinga sana Trump,,,mwanaume alikua Bush bwana, alikua hapepesi, alikua anakupa muda kabisa lina anakuja kukuchapa,,,huku mwana mama machachari Condeleza Rice akisimama kama moja....
Uweke wazi huo ujinga wa Trump ....
 
Ndugu yangu,Marekani siwapendi kabisa.Ila kwa teknolojia waliyonayo wakiamua kumpiga Iran ni dk tano tu wanamaliza mchezo.Marekani Iran anauogopa ushirika wa Mrusi na mchina
Hicho ndicho USA anachohofia zaidi.Maana Russia akitia timu, balaaaaa 😂😂😂😂😂
 
Wanafiki hawa. Wivu tu kwa Iran. Eti wanamuunga mkono US alieko mail kibao mbali kuliko jirani yao Iran. US anawapenda urafiki with benefits ili auze silaha. Saudi Arabia vilaza wale washukuru Mafuta na gas kutoka kwa Mungu. La sivyo wangekuwa maskini wa kutupwa.
Unajua ufalme wa Saudia Una sapoti ya kubwa ya US , Kwa kifupi huo ufalme ni kibaraka wa US , na kukosa US ungeshapinduliwa
 
Nani kasema natamani vita itokee. Napenda peaceful world. Huwezi amini ninavyochukia hawa majirani Iran,Saudi arabia,Qatar,UAE wanavyochonganishwa na US. Yes US akimchokoza Iran,nataka Iran amshikishe adabu US. Kasome vita vya Iraq-Iran 1980 mpaka 1988.Uone US walivyomsadia Iraq kupigana na jirani yake Iran. I hate folks who cause conflicts. Eti natafuta mabwana. Naona huna hoja umeanza vioja. Jibu hoja kwa hoja. Na sio personal attacks.
Salute mkuu 🙏🙏👊👍
 
Shia wanaamini baada ya Mohamed kufa Ali ndo mrithi ambae alikuwa cousin wa Mohamed. Sunni wao wanaamini Abu Bakri ndo anatakiwa awe mrithi wa Mohamed. Sakasaka lilianza baada ya Mohamed kufariki dunia. Pia nadhani ni la kisiasa zaidi. All in all wote wanaamini Allah mmoja,Mohamed na wanasoma Kuran moja. Any way hiyo ni maada nyingine.
Full mtanange
 
Unaiweza vita wewe, unaweza kukaa mahala kwenye vita wewe, mwanamke gani una roho mbaya unatamani vita itokee waangamie wanyonge wasio na maslahi yoyote?

Nina shaka wewe humu huenda unatafuta mabwana mwanamke wa kitanzania hawezi kuwa kama wewe, sehemu yenye vita ya mapanga tu wewe hukai alafu unatamani kwa wenzio vita itokee kisa tu una chuki zako binafsi PUMBAVU kabisa
Jamani kulikoni tena 😂😂😂😂😂
 
Full mpambano.Hii ndio JF bhana 😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏
 
Nani kasema natamani vita itokee. Napenda peaceful world. Huwezi amini ninavyochukia hawa majirani Iran,Saudi arabia,Qatar,UAE wanavyochonganishwa na US. Yes US akimchokoza Iran,nataka Iran amshikishe adabu US. Kasome vita vya Iraq-Iran 1980 mpaka 1988.Uone US walivyomsadia Iraq kupigana na jirani yake Iran. I hate folks who cause conflicts. Eti natafuta mabwana. Naona huna hoja umeanza vioja. Jibu hoja kwa hoja. Na sio personal attacks.
Wewe ni mwanamke mshenzi kabisa, kudadeki unadhani vita ikitokea si itapiganwa kwenye ardhi ya Iran kina nani wataathirika zaidi unahisi kama si kina mama na watoto ambao hata hawana hatia shenzi zako kamfurahishe mumeo huko acha kubwata bwata kipuuzi
 
Sasa ndugu wewe unasema unaangalia tu RT, na mimi nimekuuliza umeisikiliza interview ya Trump iliorushwa jana NBC? kama hujaona Trump anaongea rt maanake hajazungumza right? Jaribu kuangalia pia angalau CNN, Presstv, Aljazeera, Al-arabia au hata BBC utapata uongo na ukweli wa kinachoendelea middle East kwa sasa.
Mkuu RT ni habari nyingine.
Sasa hivi 11:08 wanazungumzia kuwa Trump ana wakati mgumu kuthibitisha kuwa yuko serious au la! Katika kushambulia sehemi za Iran

Na sasa hivi 11:09 wameanza kumulika wananchi wa gaza wanavyoteseka kwa sababu wanategema huduma zote kutoka katika serikali ya netanyahu kama maji, umeme n.k
 
Wewe ni mwanamke mshenzi kabisa, kudadeki unadhani vita ikitokea si itapiganwa kwenye ardhi ya Iran kina nani wataathirika zaidi unahisi kama si kina mama na watoto ambao hata hawana hatia shenzi zako kamfurahishe mumeo huko acha kubwata bwata kipuuzi
Una matatizo. Huko US pia watapigwa. Iraq sio Iran.
 
Back
Top Bottom