USA vs N.Korea Military Power

Inabidi sasa inapofikia nchi mbili zinatakiwa kupigana tuwafungie marais au viongozi wa nchi hizo mbili wazichape kavu kavu mpaka mmoja atakaposhindwa..... Dunia imechoka kuona wananchi wanakufa vifo vinavyotokana na siasa wakati wanasiasa wenyewe wapo tu wamekunja nne kwenye hoteli za kifahari.

Kwa Lugha nyingine dunia haihitaji vita, tunaomba vyombo vya habari muache kutushawishi vinginevyo
 
Tatzo la mmarekani hapigani vita mwenyewe, hapo yupo mjapani, muisraeli na korea kusini; pia mmarekani hapigani kwenye ardhi yake.
ndio maana wengine walidondoka yeye akabaki kuwa superpower kwa miaka karibu 100, unafikiri USSR alipata faida gani kupigan peke yake na gernman? vita znapiganwa kusave interest na c kufurahisha watu ama kuonyesha ubabe
 
Vita itokee tuu wachapane ,heshima iwepo.
Kila mtu kujiona mbabe haitakiwi.always mbabe huwa mmoja.
 
Nkorea ameshampa go ahead japo risasi moja tuu iende yy atagusa kila idara hapo Us ameshatoa taarifa kua atapiga maeneo 170. ndani ya Us kwa muda wa 40mnts. Na amesha mwambia yy sio mwarabu .
 
Jamani mkumbuke vita yetu na IDD amin na yenyewe licha yakuturudisha nyuma kiuchumi vlvle kuna wenzetu waliwapoteza ndugu jamaa na marafki.
 
Napitia comment nyingi naona vijana wana team,wanaleta team za bongofleva huku,yani team kim na team US,
Utapotaka kuwa mchambuzi wa mambo siku zote laIma uzingatie kusoma mambo mengi,kuwa updated,ukubali kujifunza, anyway bahati mbaya taarifa nyingi zipo Kiingereza sasa hapo ni shida kidogo,watu wanategemea uchambuzi wa media,bila wao kuchimba mambo.
Mwisho Vita si ya kushabikia,kushabikia vita sio utu wa kibinadamu, wenye imani zao waombe vita zisitikee,BTW hawa mafahali wakipigana NK na US Africa ndo mtaenya zaidi maana 80% ya budget zetu ni tegemezi,they control everything,huenda hii vita ikitokea hata internet tusiwe nayo tena endapo watazitungua au zitakuwa affected na EMP.wale sio M23 au Al shabab.
Refer spiral over effect.
 
"...kwa maisha niliyoishi nimejifunza kuwa vita huwa havina mshindi..."

Fidel Castro
 
Advantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana

Ndiyo maana NK na Kim Un wamesema wao, hata risasi moja kutoka Kwa USA ikigusa ardhi ya NK, basi NK watajibu Kwa vita kamili na lazima Lonnie's zake zifike kwenye ardhi ya USA na wote watakao kuja kupiga NK hawatatoka salama wote.
 
Back
Top Bottom