Najiuliza kwanini USA
Huomba Washiriki kwenye vita yake
kwanini haendi yeye kama yeye pekee
Siyo kweliUlishaiona size ya N Korea alafu ulinganishe na USA.... ndo utajua kwanini haitaji msaada wowote kuingia na kumtandika. Tatizo tuu ni wananchi wakawaida ndo watakao taabika ndo maana busara inatakiwa itumike sana. Manake akimtandika itabidi awape msaada maradufu tena watu wa N Korea baada ya kichapo kwa dogo.
Hii ni moja ya comment bora kabisakabisaJeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu!
Hata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!NK wanamchukulia poa kajamaa kapo gado wasidhani ni waarabu!
Sasa kama NK yupo fiti kama unavyotuaminisha, ebu tueleze imekuwa vipi US kuzipenyeza meli zake za kivita mpaka kuingia kwenye Ras ya NK?Tatizo utafikaje hapo uweze kudondosha bom. Kwanza kwa upande wa Submarine N. Korea wapo njema. Wapo na Submarine Rocket Launcher
USA ahamie hata NK, tahadhari ni kwamba asianzishe vita tu. Hivi ni wapi NK hajaeleweka?Sasa kama NK yupo fiti kama unavyotuaminisha, ebu tueleze imekuwa vipi US kuzipenyeza meli zake za kivita mpaka kuingia kwenye Ras ya NK?
Hawezi kukujibu hili swaliInawezekana kabisa watz ni CIA.
Siraha za north korea ambazo marekani hazifamu wewe umezijuaje??
Si anasema tu!US baby, msikilize NK mwenyewe anasema yupo tayari kujilinda, kutetea kwa kujibu mashambulizi yeyote yatakayofanywa na adui yake tena kwa "style wanayoijua wao" ikiwa ni pamoja na kutumia silaha za maangamizi katika hatua za mwanzo kabisa.
Mkazo uweke hapo "Style wanayoijua wao". Achana na story za kupigana.
Sasa wewe jamaa.... Mbabe ni nani anaekufuata nyumbani kwako aje akuchape mbele mke na watoto wako au anaekusubiri umfate wewe kwake? Marekani kutokupigania kwake maana yake hakuna mwenye uwezo wa kwenda kuanzishia vita US, yeye ndio anakufuata aje akupe show mbele ya wakweTatzo la mmarekani hapigani vita mwenyewe, hapo yupo mjapani, muisraeli na korea kusini; pia mmarekani hapigani kwenye ardhi yake.
daaaaaa.....hii SINDANO imeingia vzr kabisa labda mhusika awe nundaSasa wewe jamaa.... Mbabe ni nani anaekufuata nyumbani kwako aje akuchape mbele mke na watoto wako au anaekusubiri umfate wewe kwake? Marekani kutokupigania kwake maana yake hakuna mwenye uwezo wa kwenda kuanzishia vita US, yeye ndio anakufuata aje akupe show mbele ya wakwe
Acha masikhara jamaa wana Bomu la kuangamiza dunia nzima sio marekani tu.trump kasoma alama za nyakatiAdvantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana