Kwani kuwa mkristo ndiyo umekuwa malaika???Chuki tu imekujaa ndiyo maana umekariri sana Middle-East utafikiri kwenu hakuna humans!!Pole sana kwa hilo maana litakutesa sana maishani mwako wakati huohuo unaowachukia ndo watakuwa juu tu mawinguni!!!!Mimi ni mkristo. Sina udini wala u race. To me i always see humans regardless of their religion,color of their skin,where they come from.
Mbona kama ume panic ndugu?Kwani kuwa mkristo ndiyo umekuwa malaika???Chuki tu imekujaa ndiyo maana umekariri sana Middle-East utafikiri kwenu hakuna humans!!Pole sana kwa hilo maana litakutesa sana maishani mwako wakati huohuo unaowachukia ndo watakuwa juu tu mawinguni!!!!
Unatarajia USA atampapasapapasa na vibom vya kuteleza?! Atamtandika mpaka dunia imuombee poh!
Shock and owe! Ndicho kinafuata.
Yatadunguliwa mapeeeeema
Hakuna shughuli ya kiuchumi yenye faida kubwa kuliko vita, litambue hilo kwa leo.
Nonsense.Kwani kuwa mkristo ndiyo umekuwa malaika???Chuki tu imekujaa ndiyo maana umekariri sana Middle-East utafikiri kwenu hakuna humans!!Pole sana kwa hilo maana litakutesa sana maishani mwako wakati huohuo unaowachukia ndo watakuwa juu tu mawinguni!!!!
Shangaa,wamuulize Ujeruman jinsi vita ilivyowacost. Other wise walitakiwa wawe taifa number moja kwa uchumi stable duniani.Kuna nchi yoyote ambayo iliingia vitani wakati huo huo uchumi wake ukapanda?
Safi sana. Wewe unajua haya mataifa. Hawajui kama ile drone ilienda kule Iran kwa kujificha na walijua kabisa Iran wasingeiona. Iran wamewaaibisha sana USA. Halafu watu wanaamini US kaahirisha kupiga sababu ya watu 150.US kaogopa ukizingatia wapambe wake wa Nato hakuna hata mmoja anaemuunga mkono kwa sasa.USA kamwe hawezi pigana vita peke yake akashinda.Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Huyu kapanic kweli,alijua mimi ni muislam ndo maana naitetea Iran.Mbona kama ume panic ndugu?
Soma historia za vita utagundua kama ni kweli ama uongo.Kuna nchi yoyote ambayo iliingia vitani wakati huo huo uchumi wake ukapanda?
Hakuna aliyepanic hapa wasiwasi wako tu!!!Mbona kama ume panic ndugu?
Huo ni ujinga wako tu unataka kuaminisha watu kuwa waislamu wote wanaitetea Iran??? Huo ndiyo ujinga wa kiwango cha Standard-gauge ulio nao!!!!Huyu kapanic kweli,alijua mimi ni muislam ndo maana naitetea Iran.
Analaumiwa Trump kwa kukataza vita isianze, wamarekani wote walikuwa tayari kwa vita.Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Nonsense.Huo ni ujinga wako tu unataka kuaminisha watu kuwa waislamu wote wanaitetea Iran??? Huo ndiyo ujinga wa kiwango cha Standard-gauge ulio nao!!!!
Hiyo ni siasa tu hata kipindi cha vita ya Vietnam walisema kwamba wananchi wanataka wanajeshi wao wasiendelee na vita warudi marekani ili kiuhalisia nini kilitokea?Analaumiwa Trump kwa kukataza vita isianze, wamarekani wote walikuwa tayari kwa vita.
Iran hata iwe na uwezo mkubwa vipi kwa sasa, njiti ya kiberiti inawaka tartiiiiiibu.
Naona mnapenda apigwe.
Yesu aliwaombea ya kwamba Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo.Hiyo ni siasa tu hata kipindi cha vita ya Vietnam walisema kwamba wananchi wanataka wanajeshi wao wasiendelee na vita warudi marekani ili kiuhalisia nini kilitokea?
Trump anajua nini kipo mbele wakiingia kwenye vita na Iran, uhalisia wa kijeshi wa US usiuangalie kwenye movies zao.
US hawezi kupigana na Iran kwa sasa labda kwa badae sana.
Winter is hereWinter is coming,..
Ni wakati wa Iran kutest makombora ya nyuklia katika ardhi ya Saudia.
Trust you? Wewe kama nani sasa? Au nyie wengine ni makamanda wa US army, maana sielewi elewi..