Eeeh, Amerika leo inafananishwa na mbinguni.!!! Hakuna vitu vya kujadili zaidi ya kuandika vile vitu ambavyo mnaona vinafaa kuvisikia na kuviona mbele ya macho yenu. Kizazi cha leo sio kama cha zamani, hatuhitaji hadithi za kufikirika, kauli za mafumbo na lugha za ishara ili kuweza kufuhamu mambo. Tutautafuta na kuujadili ukweli kwa gharama yoyote na kutoka sehemu yoyote ile.
Kwenye dunia ya leo, kuutafuta ukweli utashtukia unadanganywa na kupewa conspiracy
Siku zote
Ukweli unatazamwa kwa macho kwasbabu ukweli haujifichi.ukweli hauna hila moyoni.
Swali Ni taifa gani linakoroma duniani. Jibu ni USA.
USA, USA.
P.didy, money maywether, Obama yooo, Michelle Obama, Rambo, anorld shwaEneegeer,
Mike iron Tyson, Muhammad ally, Beyonce,
Tiger woods, lil wyne, Drake, Riri , Jamie fox, Hollywood, red carpet, fast cars, Oscar awards, MTV awards, Michael Jackson, quince, john legend. billboard, UN HQ,
Lupita nyong'o Kenyan in USA soil.
Economy, social, power,
Fame, wealthy, Apple, Microsoft, yahoo, wrestling, john cena, the Rock-Dyne Johnson Romans Reign, Brock Lesnar, Randy Orton, MVP, jeff Hardy, micky james, James storm, etc
Linalofuata kwa kuteka fikra duniani. Jibu ni China. Upo hapo ?
Bidhaa feki, bidhaa orijino, population, linaongoza kwa uchafuzi wa hali ya hewa duniani,
Uchumi GDP,
Baba lao kwenye Brics,
Russia haipo..