US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

Shida yako kubwa ni ukosefu wa Elimu
Hivyo unachota taarifa mtaani unaleta hapa

Nilijua nitafaidika sana na jukwaa hili kumbe hamna kitu

Sasa kuthibitisha kuwa wewe hujui chochote kuhusu military technology angalia ulichokiandika kuhusu mig 29

Mig ina version nyingi Kuna 21 27 29 na kadhalika
Sasa uliyoitaja awali ni 29 hii version haina lolote ndio maana Russia waliachana nayo wakaanza kuweka nguvu kwenye su versions

Sasa unasema mig 29 ina versions just imagine hivi unafikiri sawa sawa kweli?

Naomba kujua umri wako, umri wako unaweza kutusaidia how to deal with you in the near future
Nimeshtushwa sana na vitu unavyoandika unavitoa wapi?
Nimeamini kuna watu vilaza duniani. Na wewe ni mmoja wapo.
 
Nimeamini kuna watu vilaza duniani. Na wewe ni mmoja wapo.
Wewe ni Juha when it comes to military, US A10 thunder bolt ni ndege iliyofanya makubwa, lakini leo USA inataka kuachana nayo. Ndege hizi ni enzi za cold war, zina miaka zaidi ya 30 kwenye combat.
Risk za kutunguliwa ni kubwa Sana. Russia amekuja na version mpya Mig 31.... Sasa kama ni mbovu ulizia test yake Syria. Rudi usome vizuri acha mihemuko wengine tuna hatujioneshi elimu zetu, next usigusie elimu..
 
Masaa 7 kivipi? au unazani wale ni kama huku bongo kwamba waanze kutoa viafaru nje na kuvisafisha? Urusi ana makombola ambayo yanasubili kufyatuliwa tena ni Intercontinealt Balistic Misaile,
Kuna Nyambizi, Meli, Ndege na Mahari maaulum ambayo yako tiyari na yaani ni ishu ya kubonyeza tu
hahahahahah! we kweli hamnazo! vita ya kubonyeza batani tu!!
 
Wewe ni Juha when it comes military, US A10 thunder bolt ni ndege iliyofanya makubwa, lakini leo USA inataka kuachana nayo. Ndege hizi ni enzi za cold war, zina miaka zaidi ya 30 kwenye combat.
Risk za kutunguliwa ni kubwa Sana. Russia amekuja na version mpya Mig 31.... Sasa kama ni mbovu ulizia test yake Syria. Rudi usome vizuri acha mihemuko wengine.
Thunderbolt ni nouma wenyewe wanaiita TANK BUSTER
 
Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7

Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake

Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu

Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi

Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi

Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa

Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration

System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?

Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned
Kila MTU ana hitikadi na uwelekeo anaouamini na kwa uchambuzi wako ni dhahiri wewe ni mfuasi wa propaganda za kimagharibi, na si shangai ukikitusi chombo cha habari cha Sputniks pia unaweza kuvikataa vyombo vingine visivyo na mrengo wa kimagharibi kama RIA Novosk, RT, CCTV, idhaa ya kichina, KNCA News etc. kwakuwa umekuwa ukilishwa propaganda za kimagharibi kupitia CNN, BBC news, France 24, DW,VOA, Aljazeera, Fox news, ABC, Reuters, AP etc.....

Kwa hitikadi yako huwezi kukosoa habari yoyote inayotangazwa na vyombo vya kimangaribi. Tambua kuwa kila nchi inatumia media kutangaza mazuri yake na uwezo wake na kukosoa ama kudhihaki taifa lingine lisilounga mkono falsafa na hitikadi yake (taifa ambayo limekataa kuwa kibaraka wake). Kwahiyo kila media za mataifa makubwa inatangaza propaganda.

Huwezi ingia kwenye media za kimagharibi ukaona zinakosoa mataifa ya kimagharibi, we utasikia wakosoa afrika au maifa yenye msimano tofauti na wao (china,Urusi,Korea kaskazini, Venezuela, Bolivia, Iran, etc...)
Pia uwezi ingia kwenye media za wapinzani wa mfumo wa kimagharibi ukakuta wanasifia mataifa ya magharibi.

kwa propaganda tulizolishwa na mataifa ya kimagharibi kupitia media zao maana siku hizi wanakuja juu kila nchi ya kimagharibi imepenya afrika tena kwa lugha za kiafrika. Huku hawa wa mrengo wa kushoto warusi, wachina, wairani etc wao wawepenyeza kidogo kuleta propaganda zao. Sisi Afrika tumebaki na kuchanganywa na propaganda zao, huku wengine wakiona mrengo wa kulia (magharibi) ni sahihi na wengine wakiona mrengo wa kushoto ni sahihi, ndio maana kila siku Afrika ni mizozo, migogoro na vita.
 
Yaani huyu jamaa kwa kweli anasikitisha sana, ni mbishi kupita maelezo na mbaya zaidi anapika facts za uongo anataka kuoneka anajua kumbe maskini hajui kitu
Kazi yake kubwa ni kuropoka

Lengo la mjadala kama huu ni kuwaelimisha pia wale wasiokua na uelewa na mambo haya sasa inanisikitisha sana kuona watu wanaropoka wasiyoyaelewa

Kwanza hizi nchi mbili sio nchi zetu za kuzaliwa ziko miles away hivyo tunapachopaswa kusimamia ni facts na data
Sasa kinachofanywa na hawa vijana humu ndani wamegeuka kuwa spokespeople wa nchi ya Russia

Mijadala yetu hapa inapaswa kujengwa kutokea au kutokana na habari za kila siku za nchi hizo au kutokana na analysts mbali mbali na sio kuzitoa vichwani mwetu

Just imagine inafikia hatua mtu anadai Russia inaweza kuiteketeza marekani in 30 minutes really?
Sijawahi kumsikia afisa yoyote wa serikali ya Russia akidai au kuzungumza jambo kama hili sasa mtu yupo tz anasema jambo Hilo kwa uhakika kabisa
Hata America yenyewe ilichukua 23 days kumuangusha sadam hussein
Russia imeanza ku bomb waaasi wa Syria September 2015 hadi February mwaka huu ndipo matokeo mazuri yakaanza kuonekana
Yaani wanazani vita ni ku press button tu kama unawasha taa

Yaani huyu jamaa kwa kweli anasikitisha sana, ni mbishi kupita maelezo na mbaya zaidi anapika facts za uongo anataka kuoneka anajua kumbe maskini hajui kitu
Kazi yake kubwa ni kuropoka

Lengo la mjadala kama huu ni kuwaelimisha pia wale wasiokua na uelewa na mambo haya sasa inanisikitisha sana kuona watu wanaropoka wasiyoyaelewa

Kwanza hizi nchi mbili sio nchi zetu za kuzaliwa ziko miles away hivyo tunapachopaswa kusimamia ni facts na data
Sasa kinachofanywa na hawa vijana humu ndani wamegeuka kuwa spokespeople wa nchi ya Russia

Mijadala yetu hapa inapaswa kujengwa kutokea au kutokana na habari za kila siku za nchi hizo au kutokana na analysts mbali mbali na sio kuzitoa vichwani mwetu

Just imagine inafikia hatua
Utamsikia wapi kizungu shida Babu, Google tu utaletewa speech ya Putin Feb 2015,
Unasikiliza clouds fm utasikiaje
 
Wewe ni Juha when it comes to military, US A10 thunder bolt ni ndege iliyofanya makubwa, lakini leo USA inataka kuachana nayo. Ndege hizi ni enzi za cold war, zina miaka zaidi ya 30 kwenye combat.
Risk za kutunguliwa ni kubwa Sana. Russia amekuja na version mpya Mig 31.... Sasa kama ni mbovu ulizia test yake Syria. Rudi usome vizuri acha mihemuko wengine tuna hatujioneshi elimu zetu, next usigusie elimu..
Mbona umeji quote na kuanza kujitukana mwenyewe?
 
pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
Eti "wawe wanakausha", why we are not open minded?
 
acha ulongo wewe, au unafikiri kwako/kwenu tu ndo tv na radio zinashika channel za kimataifa?!
US soldier jailed for rape in South Korea - BBC News
au ukusikia habari za kunduz hospital cnn na bbc?!
Kunduz bombing: US planes 'fired on MSF hospital staff' - BBC News
sasa huko magharibi si ndo kuna maasi,mara utasikia mwanajeshi kawalima risasi watoto wa shule,mara askari kawafyatua wapita njia,wanaita eti mass shooting,ushasikia uvundo kama huo russia?

Russia ni wakristo safi kabisa wale,hawana figisu figisu
 
Warusi sio wakristo
 
unakijua lakin ulichoniquote?!
 
hahahahahah! we kweli hamnazo! vita ya kubonyeza batani tu!!
Tatizo nyie mnazungumzia vita ya kupigana na nchi kama LIBYA, Urusi kajiandaa kwa vita kubwa, siraha zake nyingi ni kwa ajili ya vita kubwa, Zile Bomber Zake zipo ambazo tiyari ziko packed makombola ya Nuclear, kuna Nyambizi, meli na kadhalika. Hapa USA mnazunguzmia vita mdogo, kwenye vita kubwa mnazani hizo kambi zake zitakuwa na kazi ya kufanya? Vita kubwa inamanisha silaha kubwa, hata hizi ndege fighter almost nyingi ni lwa ajilk ya vita ndigo. Vita kubwa inazungumzia ndege za kuweza kurusha makombola ya Nuclear.
 
Hizo Meli za USA za kubebea ndge ni kwa ajili ya vita ndogo pekee usifikilia zina kazi kwenye vita kubwa,
Maskini ya mungu
Yaani huu ndio uchambuzi wako?

Nadhan nikikuacha hivi hivi nitakua nimekuonea
Hivyo nimeona nikusaidie

Kazi ya aircraft carriers ni kama ifuatavyo

Hivi ni viwanja vya ndege vinavyoelea baharini vinafanya kazi nyingi moja wapo ni kubeba ndege zinazofanya patrol sehem mbali mbali duniani rais wa nchi akisaini shambulizi lifanyike popote pale basi inaondoka ndege juu ya aircraft carrier na kufanya hiyo kazi

Pia, aircraft carrier inaondoa usumbufu wa kuomba viwanja vya ndege kutoka nchi zingine ndege zinakua zinakua zinaruka kutoka kwenye aircraft carrier iliyopaki kwenye international waters na kushambulia iwe ni operations ndogo au vita kubwa, kwa miaka mingi zimekua zikitumika kwenye vita ndogo na kubwa
Wakati mwingine hata drones zinaruka kutoka hapo

Hivyo twaweza kusema carriers zinapunguza ugumu wa kazi na ni cost effective kazi ya refueling angani kwa ndege za kimarekani inakua haipo distance inakua ni fupi
Kama marekani inataka kushambulia mahala flan hizi carrier zinasogezwa karibu na nchi inayotaka kupigwa hivyo kwa msaada zaidi aircraft carrier sio silaha bali ni kiwanja cha ndege chenye radar na equipment zote na ndio maana carrier zote zinalindwa na warships au boats ndogo ndogo

China na Russia wanahaingika kuwa na hizi carriers sana tu mfano China ndio imemaliza kutengeneza ya kwanza kabisa ipo kwenye majaribio
Russia haina fedha za kutengeneza hizo vitu kwa sasa ilizimiliki Wakati wa Soviet Union lakini pia haioni sababu ya kuwa nazo maana sio offensive wala defensive weapon badala yake wamewekeza kwingineko

Kwa miaka mingi aircraft carrier zimekua ni symbol ya ufalme wa kijeshi duniani
 
Ndiyo hizi zinazofuatiliwa na warusi na wachina bila kugundua kuwa zinafuatiliwa?
 
Back
Top Bottom