US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

Tatizo nyie mnazungumzia vita ya kupigana na nchi kama LIBYA, Urusi kajiandaa kwa vita kubwa, siraha zake nyingi ni kwa ajili ya vita kubwa, Zile Bomber Zake zipo ambazo tiyari ziko packed makombola ya Nuclear, kuna Nyambizi, meli na kadhalika. Hapa USA mnazunguzmia vita mdogo, kwenye vita kubwa mnazani hizo kambi zake zitakuwa na kazi ya kufanya? Vita kubwa inamanisha silaha kubwa, hata hizi ndege fighter almost nyingi ni lwa ajilk ya vita ndigo. Vita kubwa inazungumzia ndege za kuweza kurusha makombola ya Nuclear.
hadi nakuhurumia ulivyo na akili fupi, we unafikiri vita inapangwa mezani kwamba tupiga vita kubwa ama ndogo?! vita kubwa ni ipi na ndogo ni ipi?! vita ni vita mullah!
 
H
Tatizo nyie mnazungumzia vita ya kupigana na nchi kama LIBYA, Urusi kajiandaa kwa vita kubwa, siraha zake nyingi ni kwa ajili ya vita kubwa, Zile Bomber Zake zipo ambazo tiyari ziko packed makombola ya Nuclear, kuna Nyambizi, meli na kadhalika. Hapa USA mnazunguzmia vita mdogo, kwenye vita kubwa mnazani hizo kambi zake zitakuwa na kazi ya kufanya? Vita kubwa inamanisha silaha kubwa, hata hizi ndege fighter almost nyingi ni lwa ajilk ya vita ndigo. Vita kubwa inazungumzia ndege za kuweza kurusha makombola ya Nuclear.
Hv hujui km sasa hv USA kazimodify ndege zake had za 4th Gen km f15 zinaweza kubeba nuclear...mfno mzur mwaka jana alitest b61 nuclear bomb from f15E had Russia akalalamika sana(itafute YouTube utaona)...na unaposema et wakat wa vta kubwa kambi zitakua hazina kaz hyo ni kwenye mawazo yako coz USA kamb zake kubwa zote kaweka nuclear missiles ikiwemo ile ya Japan na German zinasubiria kuwa launched wkt wwte
 
Hizo Meli za USA za kubebea ndge ni kwa ajili ya vita ndogo pekee usifikilia zina kazi kwenye vita kubwa,
kwa hiyo vita uzoziita kubwa ndo hutumia batani?! teh teh! kumbe tunahangaika na mcheza magame, vita hali sio kama hiyo ya kwenye game unayochezaga
 
Maskini ya mungu
Yaani huu ndio uchambuzi wako?

Nadhan nikikuacha hivi hivi nitakua nimekuonea
Hivyo nimeona nikusaidie

Kazi ya aircraft carriers ni kama ifuatavyo

Hivi ni viwanja vya ndege vinavyoelea baharini vinafanya kazi nyingi moja wapo ni kubeba ndege zinazofanya patrol sehem mbali mbali duniani rais wa nchi akisaini shambulizi lifanyike popote pale basi inaondoka ndege juu ya aircraft carrier na kufanya hiyo kazi

Pia, aircraft carrier inaondoa usumbufu wa kuomba viwanja vya ndege kutoka nchi zingine ndege zinakua zinakua zinaruka kutoka kwenye aircraft carrier iliyopaki kwenye international waters na kushambulia iwe ni operations ndogo au vita kubwa, kwa miaka mingi zimekua zikitumika kwenye vita ndogo na kubwa
Wakati mwingine hata drones zinaruka kutoka hapo

Hivyo twaweza kusema carriers zinapunguza ugumu wa kazi na ni cost effective kazi ya refueling angani kwa ndege za kimarekani inakua haipo distance inakua ni fupi
Kama marekani inataka kushambulia mahala flan hizi carrier zinasogezwa karibu na nchi inayotaka kupigwa hivyo kwa msaada zaidi aircraft carrier sio silaha bali ni kiwanja cha ndege chenye radar na equipment zote na ndio maana carrier zote zinalindwa na warships au boats ndogo ndogo

China na Russia wanahaingika kuwa na hizi carriers sana tu mfano China ndio imemaliza kutengeneza ya kwanza kabisa ipo kwenye majaribio
Russia haina fedha za kutengeneza hizo vitu kwa sasa ilizimiliki Wakati wa Soviet Union lakini pia haioni sababu ya kuwa nazo maana sio offensive wala defensive weapon badala yake wamewekeza kwingineko

Kwa miaka mingi aircraft carrier zimekua ni symbol ya ufalme wa kijeshi duniani
Mkuu umekosea,aircraft carriers ni kama cambi ya jeshi iliopo majini waniziita floating city ni kubwa hatari na ata sabmarines waga zipo ndani na inatechnologia kubwa sasna ata ya kukamata sabmarines zilizokarbu na iko full equiped kujitunza.marekani ndo mwenye nyingi zaidi yaani 20 akifuatiwa na Britain ina 2.na china hawakuwa na technology ya kutengeneza xo wakaungana na Russia.yaani russia anatoa technology na china anajenga na bado technology ya russia ni ndogo kulinganisha na US.russia hawana hella maake kuitengeneza moja ni kama billion78 dollars ambazo ni zaidi ya utajili wa tanzania nzima na ni sawa na utajili wa billGate
 
Zile Russia zilizokuepo kwa sasa zinachukuliwa tu kama meli kubwa
 
We ndo huelewi umebakia kushabikia tu, unazani Urusi anashindwa kuunda hizo Carrier? Juzi kati mbona kamuundia India? Ukweli ni kwamba hata kwenye Bunge la USA kulikuwa na majadala wa hizi carrier kama kun haja ya kuendelea kuwa nazo, na sababu zishatolewa hapo.
Urusi uki google kuna taafifa zO kibao za kwa nini hawako intrested sana na hizi Meli.

Bomber kama Tu-160 huwezi zibena kwenye Carrier TU- 160 ina fire kombola hadi umbali wa Km 11,000 sasa meli za nini?

Aircrft Carrier ni kwa ajili ya Fighter pekeee ambazo kikawaida makombola yake ni ya masafa mafupi.
Kasome sifa za Bomber za kirusi na soma kwa nini zikianzaga patro ya kulinda anga ya Urusi zikiwa na makombola ya nuclear lazima USA apige kelele
 
Mkuu umekosea,aircraft carriers ni kama cambi ya jeshi iliopo majini waniziita floating city ni kubwa hatari na ata sabmarines waga zipo ndani na inatechnologia kubwa sasna ata ya kukamata sabmarines zilizokarbu na iko full equiped kujitunza.marekani ndo mwenye nyingi zaidi yaani 20 akifuatiwa na Britain ina 2.na china hawakuwa na technology ya kutengeneza xo wakaungana na Russia.yaani russia anatoa technology na china anajenga na bado technology ya russia ni ndogo kulinganisha na US.russia hawana hella maake kuitengeneza moja ni kama billion78 dollars ambazo ni zaidi ya utajili wa tanzania nzima na ni sawa na utajili wa billGate

Leta data acha ujinga wewe, eti Urusi hana techinolojia ya kuunda Carrier, kasome sifa za Carrier yake ujue ni ya aina gani, ndo Carrier pekee ambayo vile vile ni Destroyer

Halafu kawadanganye watotot wako kwamba Carrier inabeba hadi nyambizi. Unazijua nyambizi wewe? Inaweza vip kubebwa na meli? Acha ujinga

Kuhusu gharama.leta ushahidi hapa na mboma Urusi ana project kibao za gharama kubwa?
 
Maskini ya mungu
Yaani huu ndio uchambuzi wako?

Nadhan nikikuacha hivi hivi nitakua nimekuonea
Hivyo nimeona nikusaidie

Kazi ya aircraft carriers ni kama ifuatavyo

Hivi ni viwanja vya ndege vinavyoelea baharini vinafanya kazi nyingi moja wapo ni kubeba ndege zinazofanya patrol sehem mbali mbali duniani rais wa nchi akisaini shambulizi lifanyike popote pale basi inaondoka ndege juu ya aircraft carrier na kufanya hiyo kazi

Pia, aircraft carrier inaondoa usumbufu wa kuomba viwanja vya ndege kutoka nchi zingine ndege zinakua zinakua zinaruka kutoka kwenye aircraft carrier iliyopaki kwenye international waters na kushambulia iwe ni operations ndogo au vita kubwa, kwa miaka mingi zimekua zikitumika kwenye vita ndogo na kubwa
Wakati mwingine hata drones zinaruka kutoka hapo

Hivyo twaweza kusema carriers zinapunguza ugumu wa kazi na ni cost effective kazi ya refueling angani kwa ndege za kimarekani inakua haipo distance inakua ni fupi
Kama marekani inataka kushambulia mahala flan hizi carrier zinasogezwa karibu na nchi inayotaka kupigwa hivyo kwa msaada zaidi aircraft carrier sio silaha bali ni kiwanja cha ndege chenye radar na equipment zote na ndio maana carrier zote zinalindwa na warships au boats ndogo ndogo

China na Russia wanahaingika kuwa na hizi carriers sana tu mfano China ndio imemaliza kutengeneza ya kwanza kabisa ipo kwenye majaribio
Russia haina fedha za kutengeneza hizo vitu kwa sasa ilizimiliki Wakati wa Soviet Union lakini pia haioni sababu ya kuwa nazo maana sio offensive wala defensive weapon badala yake wamewekeza kwingineko

Kwa miaka mingi aircraft carrier zimekua ni symbol ya ufalme wa kijeshi duniani
Air craft carrier Zilikuwa zina nguvu sana. Currently uwepo wa intercontinental ballistic missiles "ICBMs" zimetishia uhai wa hizi air craft carriers. Gharama ya kujenga air craft carrier ni kubwa sana na risk ya kuzamishwa ni kubwa sana kutoka na uwepo wa ICBMs ambazo ni figumu sana kuzizuia.
 
kwa hiyo vita uzoziita kubwa ndo hutumia batani?! teh teh! kumbe tunahangaika na mcheza magame, vita hali sio kama hiyo ya kwenye game unayochezaga

Acha ujinga wewe uelewa wako hapo ndo umeishia?

Unajua kwamba tangu mara baada ya vita kuu ya pili ya Dunia hakujawahi piganwa vita kubwa?

Vita za Veitnam haiwezi ingia kwenye orodha ya vita kubwa kwa sababu kwanza ilihusisha nchi mbili pekee

Vita kubwa ni vita ya iyakayo husisha mataifa yenye nguvu kubwa au yanayo miliki sirahasa za Nuclear hiyo ndo vita kubwa.

Unazunguzmia vita ya Iraq au Libya iliyo piganwa wakati maisha huku kwingine yakiaa costanta?

Subili vita kati ya USA na Russia uone kama kutakuaa na maisha, uone kama kuna ndege ya abilia itaruka angani.

Ka goigle usome vuta kubwa ni ipi na kwa nini iitwe kubwa
 
We ndo huelewi umebakia kushabikia tu, unazani Urusi anashindwa kuunda hizo Carrier? Juzi kati mbona kamuundia India? Ukweli ni kwamba hata kwenye Bunge la USA kulikuwa na majadala wa hizi carrier kama kun haja ya kuendelea kuwa nazo, na sababu zishatolewa hapo.
Urusi uki google kuna taafifa zO kibao za kwa nini hawako intrested sana na hizi Meli.

Bomber kama Tu-160 huwezi zibena kwenye Carrier TU- 160 ina fire kombola hadi umbali wa Km 11,000 sasa meli za nini?

Aircrft Carrier ni kwa ajili ya Fighter pekeee ambazo kikawaida makombola yake ni ya masafa mafupi.
Kasome sifa za Bomber za kirusi na soma kwa nini zikianzaga patro ya kulinda anga ya Urusi zikiwa na makombola ya nuclear lazima USA apige kelele
Kwa akili hizi Sina cha kukujibu

Nna uhakika huu utakua mjadala hauna mwisho hivyo tutakesha

Kama Kuna msomi aje tujadiliane mambo haya lakini kwa akili hizi kichwa kitauma
 
H

Hv hujui km sasa hv USA kazimodify ndege zake had za 4th Gen km f15 zinaweza kubeba nuclear...mfno mzur mwaka jana alitest b61 nuclear bomb from f15E had Russia akalalamika sana(itafute YouTube utaona)...na unaposema et wakat wa vta kubwa kambi zitakua hazina kaz hyo ni kwenye mawazo yako coz USA kamb zake kubwa zote kaweka nuclear missiles ikiwemo ile ya Japan na German zinasubiria kuwa launched wkt wwte

Hivi unajua tofauti ya Bomber na Fighter? Una jua utoafauti wao?

Unajua sifa za bomber?
Unajua sifa za bomber kama TU-160 kwamba inaweza rusha kombola kutoka Urusi likaja kutua hapo Dar?
 
We ndo huelewi umebakia kushabikia tu, unazani Urusi anashindwa kuunda hizo Carrier? Juzi kati mbona kamuundia India? Ukweli ni kwamba hata kwenye Bunge la USA kulikuwa na majadala wa hizi carrier kama kun haja ya kuendelea kuwa nazo, na sababu zishatolewa hapo.
Urusi uki google kuna taafifa zO kibao za kwa nini hawako intrested sana na hizi Meli.

Bomber kama Tu-160 huwezi zibena kwenye Carrier TU- 160 ina fire kombola hadi umbali wa Km 11,000 sasa meli za nini?

Aircrft Carrier ni kwa ajili ya Fighter pekeee ambazo kikawaida makombola yake ni ya masafa mafupi.
Kasome sifa za Bomber za kirusi na soma kwa nini zikianzaga patro ya kulinda anga ya Urusi zikiwa na makombola ya nuclear lazima USA apige kelele
Umenena vema chief, Pia gharama ya kutengeneza air craft carrier unaweza tengeneza ballistic missiles 3/4 ambazo ni very effective .. Uwepo wa intercontinental ballistic missiles umetishia maisha ya air craft carriers.
 
Acha ujinga wewe uelewa wako hapo ndo umeishia?

Unajua kwamba tangu mara baada ya vita kuu ya pili ya Dunia hakujawahi piganwa vita kubwa?

Vita za Veitnam haiwezi ingia kwenye orodha ya vita kubwa kwa sababu kwanza ilihusisha nchi mbili pekee

Vita kubwa ni vita ya iyakayo husisha mataifa yenye nguvu kubwa au yanayo miliki sirahasa za Nuclear hiyo ndo vita kubwa.

Unazunguzmia vita ya Iraq au Libya iliyo piganwa wakati maisha huku kwingine yakiaa costanta?

Subili vita kati ya USA na Russia uone kama kutakuaa na maisha, uone kama kuna ndege ya abilia itaruka angani.

Ka goigle usome vuta kubwa ni ipi na kwa nini iitwe kubwa
Nakushauri uwekeze nguvu zako kubishana mambo ya mpira
Haya ya kijeshi unapoteza Muda wako tu
 
Umenena vema chief, Pia gharama ya kutengeneza air craft carrier unaweza tengeneza ballistic missiles 3/4 ambazo ni very effective .. Uwepo wa intercontinental ballistic missiles umetishia maisha ya air craft carriers.
Huo ndo ukweli na kule USA mjadala mkubwa kuhusu Carrier zao ni kwamba tiyari nchi kama RUSSIA, CHINA na Iran wana techinolojia ya kuzamisha carrier na wao wanaona hakuna sababu ua kuwekeza sana lwenye vitu ambayo vinaweza zamishwa

Urusi kwa sababu hana kambi nyingi kama USA yeye kajikita kuunda makombola ya masafa marefu ambayo yeye kwenda kupiga New york haitaji kuweka kambi kule Mexco au CUBA.

Watu wanashindwa kuelewa kwamba kwenye vita kubwa ambayo itahusisha mataifa makubwa yenye nguvu kubwa basi hizo meli itabidi wakazipack make hazitakuwa na kazi.
Hizo meli ni kwa ajili ya kuwapiga wakina Ribya ambao hawana techinolonia ya kuzamisha Carrier
Kwa vita kati ya USA na Russia hizo carrier zinaweza potezwa ndani ya dakika.
 
Kwa akili hizi Sina cha kukujibu

Nna uhakika huu utakua mjadala hauna mwisho hivyo tutakesha

Kama Kuna msomi aje tujadiliane mambo haya lakini kwa akili hizi kichwa kitauma
Acha kujifanya kwamba unajua sana wakati na wewe unategemea ku google, au una ndugu yako anafanya lazi CIA?
Usijifanye unajua wakatk hujui, taarifa zote humu na wachangiaji wote wanategemea mitandao, sasa wewe usijifanye labda unafanya kazi Wizara ya ulinzi ya Marekani kwamba unajua kila kitu.
 
Kwa akili hizi Sina cha kukujibu

Nna uhakika huu utakua mjadala hauna mwisho hivyo tutakesha

Kama Kuna msomi aje tujadiliane mambo haya lakini kwa akili hizi kichwa kitauma

Nimekuuliza kuna Carrier inabeba Bomber? Na unajua ni kwa nini hazihitaji Carrier? Sasa ndege kama TU za Murusi zinahitaji Bomber ili iweje?

Russia anawekeza kwenye makombola mama BULAVA, SINEVA, SATAN, TOPAL-M na kazalika kasome sifa za hayo makombola ya kuweza kubeba vichwa si chini ya 10 vya nucler
 
Acha ujinga wewe uelewa wako hapo ndo umeishia?

Unajua kwamba tangu mara baada ya vita kuu ya pili ya Dunia hakujawahi piganwa vita kubwa?

Vita za Veitnam haiwezi ingia kwenye orodha ya vita kubwa kwa sababu kwanza ilihusisha nchi mbili pekee

Vita kubwa ni vita ya iyakayo husisha mataifa yenye nguvu kubwa au yanayo miliki sirahasa za Nuclear hiyo ndo vita kubwa.

Unazunguzmia vita ya Iraq au Libya iliyo piganwa wakati maisha huku kwingine yakiaa costanta?

Subili vita kati ya USA na Russia uone kama kutakuaa na maisha, uone kama kuna ndege ya abilia itaruka angani.

Ka goigle usome vuta kubwa ni ipi na kwa nini iitwe kubwa
ama kweli fuata ushauri wa winnie waithera, vita kuitwa kubwa hadi wapigane russia vs US?! ama itumike nuclear?! duh! mbona vita kuu ya kwanza ya dunia haikuwa US vs russia wala nuclear na ilikuwa ni vita kubwa?
 
H

Hv hujui km sasa hv USA kazimodify ndege zake had za 4th Gen km f15 zinaweza kubeba nuclear...mfno mzur mwaka jana alitest b61 nuclear bomb from f15E had Russia akalalamika sana(itafute YouTube utaona)...na unaposema et wakat wa vta kubwa kambi zitakua hazina kaz hyo ni kwenye mawazo yako coz USA kamb zake kubwa zote kaweka nuclear missiles ikiwemo ile ya Japan zinasubiria kuwa launched wkt wwte
Hivi unajua tofauti ya Bomber na Fighter? Una jua utoafauti wao?

Unajua sifa za bomber?
Unajua sifa za bomber kama TU-160 kwamba inaweza rusha kombola kutoka Urusi likaja kutua hapo Dar?
Ningekua sijui nisingeandika bomber inabeba payload kubwa ya silaha kushinda fighter na km hzo bomber mbna USA anazo kibao kuna B52 stratofortress,B2 spirit na B1 lancer ambayo ni supersonic
 
Back
Top Bottom