US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

Feb 9, 2016
74
153
China’s recognition of the THAAD capability explains why Beijing has been so opposed to the possibility of the US government placing THAAD radar in South Korea, Postol, professor of science, technology, and security policy at the Massachusetts Institute of Technology, explained.

"THAAD will not be able to defend South Korea against North Korean ballistic missiles, but the THAAD radar could instead be used by the United States to specifically ‘aim’ the US national missile defense at China — in outright contradiction of US stated policies," Postol said on Thursday.

"If the US deploys the radar for THAAD on the Korean Peninsula, it would be able to detect and track intercontinental ballistic missiles being launched from China toward the continental US at ranges of up to 3,000 km (1,800 miles) as they pass over or north of South Korea," he said.

Data that was gathered by the THAAD radars based in South Korea could then be transmitted in real time to the US early warning radar network at Clear Air Force Station in Alaska, which would allow the US armed forces to launch intercept missiles earlier, Postol pointed out.

"THAAD is not only intended to defend against missiles from North Korea as the Pentagon and the South Korean Ministry of National Defense claim, but it would also be actively integrated, and used for interception in a US missile defense system that is designed to counter China," Postol added.

Since China already regards THAAD as a serious threat to its security, South Korea could rapidly find itself caught between the conflicting pressures from Washington and Beijing, with serious consequences for its foreign policy, security and economy, Postol warned.

A THAAD base includes the AN/TPY-2 radar, which incorporates cutting-edge US military technology enabling long-distance detection, Postol observed.

"This means that, if this radar were deployed on the Korean Peninsula, it would become a component of the missile defense system intended to defend the continental United States," he added.

If the AN/TPY-2 radar were deployed in South Korea, it would have enough time to detect the upper booster stage of a Chinese ballistic missile heading for the West Coast or East Coast of the United States, Postol maintained.

"The South Korean government and its people need to recognize that the Chinese might develop plans to attack this radar as part of an attack on the United States," he argued.

While the THAAD radar would probably not be able to track the warhead of a Chinese ballistic missile, it could detect the movement when the upper booster separates from the warhead, Postol insisted.

"Data about a Chinese ballistic missile heading for the West Coast of the United States would be particularly useful for Washington. This could enable ballistic missile interceptors in Alaska to be launched more quickly," he said.

The radar is likely to be seen by Chinese military planners as a potentially significant threat to China‘s survival should a situation evolve where a nuclear attack against the US is actually being considered, Postol concluded.

US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'
 
Kumbe China na Russia wapiga kelele tuuu
Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7

Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake

Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu

Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi

Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi

Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa

Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration

System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?

Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned
 
Embu kula LIKE mkuu
 
Terminal High Altitude Air Defence(THAAD),itakua imewekwa korea ya kusini kucounter uwezekano wa mashambulizi toka korea ya kaskazini.
Haina impact kwa china kivile
 
Una uhakika na unachokionga? Wakija MALCOM LUMUMBA Elungata na @Bukaganandi utaweza kuyarudia hayo maneno yako?
 
pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
 
Terminal High Altitude Air Defence(THAAD),itakua imewekwa korea ya kusini kucounter uwezekano wa mashambulizi toka korea ya kaskazini.
Haina impact kwa china kivile
mkuu THHAD ina radar zinazowez kudetect missile up t0 3000 miles ndo mana china wanalalamika sana kwamba marekani hawana nia ya kuileta kwa ajili ya north korea bali wanaitarget china,jaribu kusoma specification za THAAD
 
pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
LABDA usema F-35 mkuu.lakini c kwa F-22...iko vizuri sana kiac kwamba walishapiga marufulu export ya F-22.ni moja kati ya advanced aircraft kwenye USAF ukiacha B-2 spirit ruptor
 
hiv kwa nini nchi zinazotafuta umaarufu hupenda sana kujilinganisha na marekani? kwan hapa duniani nchi ni marekani tu! au ndo wameona ndo nchi ya kuwafanya wapate umaarufu kirahisi zaidi
mkuu unajua ukijilinganisha au kuwabishia marekani unapata umaarufu ndo mana russia na wenzake daily wanafanya hvyo...unajua russia usuperpower wake ulicorrupt baada ya USSR kuporomoka but hakubalian na ukweli thats why daily anataka awe treated sawa na marekani kwenye international arena hapo ndokazi kwelikweli...nakumbuka juzi kati obama alisema kuwa russia niregional power na si superpower basi bwana putin alimind sana na kusema obama aache dharau kwani russia ni global power na c regional power
 
pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
Kusema ukweli upande wa ndege Russia hampati USA mfano ni F-15 haijawahi kuwa shot down kwenye aerial fighting na ndo ndege iliyoshootdown mig za Urusi mpk ikaitwa Mig killer....na kuhusu mapungufu mbna ht hyo Russia z5th Gen aircraft ina matatzo mengi tyu Ila ni Mara chache sana kukuta media za Russia zinaongelea tofaut na west huwa wanaongelea mapungufu yao
 
Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7

Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake

Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu

Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi

Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi

Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa

Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration

System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?

Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned
mkuu unajua wanachofanya russia now marekani walikifanya muda sana yani hii habari ya kucheza na media,ila kwa sasa marekani wamepunguza kidogo cjui wamepata mchezo gani mwngne mpya maana hawa jamaa wanaonaga mbali sana,miaka ya zamani walikua na kitu ilikua inaitwa OPERATION MOCKING BIRD ILIKUWA ni full propaganda....sema russia na wenzie naona ndo walistuka wakati kumekucha ndo mana cku hizi unaona kuna hizi site nying ambazo ni anti-american-mkuu ukitaka kujua kwamba hizi air defense za russia ni uchwara mtupu jaribu kupitia ile operation ochard ambayo ilifanywa na israel nchini syria kwenye kama 2007 hivi kama ckosei,pia kwa sasa hii S-300/400 inaweza kuwa kwe risk sana kwasababu bwana imevujshwa kumbe israel wamekua wakiifanyia mazoez ile S-300 ya ugiriki toka 2006 Kuanzia system zake za rada kwa kushirikiana jeshi la ugiriki ambalo ilikua likiwasha battery ya S-300 wakat wa mazoez na israel.....ndo mana kuna kipind obama aliiambia iran hata kama mkinunua S-300 toka urusi bado cc tunanjia nzuri tu ya kudeal na S-300 yenu,pia israel amekua na historia nzuri tu ya kuhack air defense za urusi.kuanzia pale iraq na kipind kile akipigana na misri walizihack air defense karibu zote za misri na kupeleke misri kuelemewa sana kwenye vita,russia wako vizuri kwenye silaha but SEMA bado hawajawekeza sana kwenye research km US na hio inamfanya awe nyuma kidogo kwan hata china anakuja kasi sana kwajili ya kuwekeza sana kwenye tafiti za kijeshi
 
mkuu unajua wanachofanya russia now marekani walikifanya muda sana yani hii habari ya kucheza na media,ila kwa sasa marekani wamepunguza kidogo cjui wamepata mchezo gani mwngne mpya maana hawa jamaa wanaonaga mbali sana,miaka ya zamani walikua na kitu ilikua inaitwa OPERATION MOCKING BIRD ILIKUWA ni full propaganda....sema russia na wenzie naona ndo walistuka wakati kumekucha ndo mana cku hizi unaona kuna hizi site nying ambazo ni anti-american-mkuu ukitaka kujua kwamba hizi air defense za russia ni uchwara mtupu jaribu kupitia ile operation ochard ambayo ilifanywa na israel nchini syria kwenye kama 2007 hivi kama ckosei,pia kwa sasa hii S-300/400 inaweza kuwa kwe risk sana kwasababu bwana imevujshwa kumbe israel wamekua wakiifanyia mazoez ile S-300 ya ugiriki toka 2006 Kuanzia system zake za rada kwa kushirikiana jeshi la ugiriki ambalo ilikua likiwasha battery ya S-300 wakat wa mazoez na ugiriki.....ndo mana kuna kipind obama aliiambia iran hata kama mkinunua S-300 toka urusi bado cc tunanjia nzuri tu ya kudeal na S-300 yenu,pia israel amekua na historia nzuri tu ya kuhack air defense za urusi.kuanzia pale iraq na kipind kile akipigana na misri walizihack air defense karibu zote za misri na kupeleke misri kuelemewa sana kwenye vita,russia wako vizuri kwenye silaha but SEMA bado hawajawekeza sana kwenye research km US na hio inamfanya awe nyuma kidogo kwan hata china anakuja kasi sana kwajili ya kuwekeza sana kwenye tafiti za kijeshi
Na ukitaka kujua kwamba USA ni nouma jiulize kwanini kila siku CHINA anahangaika kudukua siri za silaha za marekan kila siku hasa zile za stealth na ndege karibia zote za stealth wameiga muundo wa F-22 raptor
 
kweli kabisa pia china katika fighter jet zake zote hakuna hata moja ambayo ametengeneza engine mwenyew.ndege zote engine ananunua urusi
 
Ndo maana kila siku anahangaika kudukua data za B-2 spirit badala ya kuwekeza kwenye research
 
Back
Top Bottom