US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

jamaa ni shida hawa.....tabu kubwa sasa hawa jamaa wana design nyingi yaan wanaweza wakawage economic warfare hadi ukaipata...maana nchi km urusi kupigana nayo lazima isumbue sana sasa jamaa wanakazi ya kuharibu uchumi wake daily yaan russia matatizo ya uchumi huwaga hayaishi kila cku yanazaliwa mapya,kitu kingne kinachonshangaza pamoja na ile population yao ina muingiliano mwing vile wanawezaje kuwa organized vile kwenye mambo yao!!!
Af anamtengenezea maadui.mfano ni ukraine
Jamaa ukiachana na vifaa wana mbinu nyingi
We angalia walivyompindua yule rahisi kiurahisi kabisa
 
Russia is the only country in the world capable of destroying entire USA in 30 min...
unaona bado unapita mulemule nilimohoji, eti entire USA!! kwanini hujataka nchi nyingine? au ukitaja nchi nyingine umaarufu hatapatikana?!!
 
Tofauti ya USSR na Rússia ni ndogo Sana. USSR ilikuwa kwenye arm race na USA. Ikatengeneza Silaha nyingi. Lakin modern Russian ina idadi ndogo y Silaha. Nyingi ni strategic but very effective.
Fatilia vizuri au ukishindwa andika google af search.ata ukiangalia kiramani utaona2 maake russia ni nusu ya USSR.na hawa jamaa ukiachana na siraha mipango yao iko effective sanaa.ndo maana ata kuimegua waliimegua kiurahisi
 
unaona bado unapita mulemule nilimohoji, eti entire USA!! kwanini hujataka nchi nyingine? au ukitaja nchi nyingine umaarufu hatapatikana?!!
Akili mbona dogo, utalinganisha na Nchi gani nyingine. Ni Sawa Tanzania utalinganisha na Burundi au Congo kijeshi. Hili lipo uchi mbona
 
Tofauti ya USSR na Rússia ni ndogo Sana. USSR ilikuwa kwenye arm race na USA. Ikatengeneza Silaha nyingi. Lakin modern Russian ina idadi ndogo y Silaha. Nyingi ni strategic but very effective.
tatizo hata hasimu wake nae(USA)anazo hizo effective
 
B-2 ina nini cha ziada mkuu.maake naskia ndio inayooperate jeshi na kuiangusha ni kama haiwezekani
ni stealth ni ngumu kuonekana kwenye radar za adui,ukiweza kuitungua ile basi utakua umepunguza uwezo wa jeshi la anga la mrekani kwa kias kikubwa
 
Akili mbona dogo, utalinganisha na Nchi gani nyingine. Ni Sawa Tanzania utalinganisha na Burundi au Congo kijeshi. Hili lipo uchi mbona
linganisha na china mkuu ni nchi kubwa tu pia na yenyewe
 
Af anamtengenezea maadui.mfano ni ukraine
Jamaa ukiachana na vifaa wana mbinu nyingi
We angalia walivyompindua yule rahisi kiurahisi kabisa
ndo michezo yake,sema anchokosea mrusi mwenzie sehemu anayotumia akili kuvuruga yeye anareact na kutumia mabavu sa ndoa anaharibu kwan jumuiya ya kimataifa nayo inaanza kiondama urusi kwamba inatumia ubabe so wanaanza kuizingua na vikwazo kibao basi inazidi tu kuyumba
 
mkuu fuatilia vizur iliotunguliwa kosovo ni F-117 au unaweza iita b-117 AMBAYO HAIPO ni service kwa sasa
Sawa mkuu Lakin hata hii ilikuwa ni stealth, Fatilia hapa chini.
The U.S. Air Force F-117A was developed in the 1970s, entering service in 1983 and officially revealed in 1988.[2]It saw its first combat in 1989 over Panama, and was widely seen as one of the most advanced pieces of U.S. military equipment.[2] At the same time, Yugoslavian air defenses were seen as relatively obsolete.[2]
Source Wikipedia
 
linganisha na china mkuu ni nchi kubwa tu pia na yenyewe
Hauwezi linganisha China na Rússia kijeshi, inajulikana. Hata Hollywood movies zao hautaona the Chinese are coming, utasiki the Russians are coming..
 
Sawa mkuu Lakin hata hii ilikuwa ni stealth, Fatilia hapa chini.
The U.S. Air Force F-117A was developed in the 1970s, entering service in 1983 and officially revealed in 1988.[2]It saw its first combat in 1989 over Panama, and was widely seen as one of the most advanced pieces of U.S. military equipment.[2] At the same time, Yugoslavian air defenses were seen as relatively obsolete.[2]
Source Wikipedia
kweli mkuu cjakataa kama ilitunguliwa nachosema mimi haikuwa b2 bali ilikuwa b117,ilitunguliwa na ile air defense ya kizaman ambayo wakosovo waliimodify kwa mautundu yao,lakin pia kuelewa kwann iliweza kuonekana japokuwa ilifanya mishe cku nying tu kosovo bila kuonekana,kuna documentary wanamuhoji yule jamaa aliekuwa anaoperate air defense system cku hi akaelezea,its interesting nadhan ilikua lesson kwa nchi nyngne zemye stealth kwa sasa kutorudia makosa alioyafanya ruban wa f117
 
Akili mbona dogo, utalinganisha na Nchi gani nyingine. Ni Sawa Tanzania utalinganisha na Burundi au Congo kijeshi. Hili lipo uchi mbona
sasa si ujibu kwa urahisi tu kwamba wanajilinganisha US sababu yeye taifa kubwa, hawajilinganishi na wengine sababu wao si taifa kubwa. kweli ni vema kujifananisha na mkuu utapata umaarufu kuliko kujifananisha na madogo, si unaona korea kusini ilivyo maarufu siku hizi kuliko hata denmark!
 
mkuu unajua ukijilinganisha au kuwabishia marekani unapata umaarufu ndo mana russia na wenzake daily wanafanya hvyo...unajua russia usuperpower wake ulicorrupt baada ya USSR kuporomoka but hakubalian na ukweli thats why daily anataka awe treated sawa na marekani kwenye international arena hapo ndokazi kwelikweli...nakumbuka juzi kati obama alisema kuwa russia niregional power na si superpower basi bwana putin alimind sana na kusema obama aache dharau kwani russia ni global power na c regional power
umesema ukweli
 
Sawa mkuu Lakin hata hii ilikuwa ni stealth, Fatilia hapa chini.
The U.S. Air Force F-117A was developed in the 1970s, entering service in 1983 and officially revealed in 1988.[2]It saw its first combat in 1989 over Panama, and was widely seen as one of the most advanced pieces of U.S. military equipment.[2] At the same time, Yugoslavian air defenses were seen as relatively obsolete.[2]
Source Wikipedia
Kumbuka hii ki2 ilikuwa inatumia light bending na absorption property,yaan stealth yake ilikuwa phisical uku hizi za sahivi ni programed
 
sasa si ujibu kwa urahisi tu kwamba wanajilinganisha US sababu yeye taifa kubwa, hawajilinganishi na wengine sababu wao si taifa kubwa. kweli ni vema kujifananisha na mkuu utapata umaarufu kuliko kujifananisha na madogo, si unaona korea kusini ilivyo maarufu siku hizi kuliko hata denmark!
hahahaaaaa sio korea kaskazini ndo maarufu mkuu....maana kusini hatujawah kusikia hata kutest japo bomu la mkono ila jiran daily anasema ataiondoa america uson mwa duinia
 
USA & Russia zinajuana capabilities zao... Majeshi yao yanajulikana. Kwa miaka mingi military advisors Wali I under rate Russia. Wengi wakesema USA ndio superpower. Hata mimi niliamini hivyo. Lakini sio Russia ya Putin, kuna military advancement kubwa sana na highly state of the art weapons Russia a me develop kimya kimya. Early last year Russia SU Unarmed 24 ili jam operation ya Uss Donald cock kama sikosei. Kwa hiyo ni ukale kuamini usa ni superpower Sasa hivi. Kuna Russia & China ambao wame establish new world order.
 
nimechapia asee, nilitaka kumaanisha north korea, yes korea kaskazini imekuwa maarufu kuliko hata canada! kila siku inagonga vichwa vya habari kisa tu inakoromea US
 
nimeshapia asee, nilitaka kumaanisha north korea, yes korea kaskazini imekuwa maarufu kuliko hata canada! kila siku inagonga vichwa vya habari kisa tu inakoromea US
daah US nao usipowakomalia wanasumbua..sema kim yupo under pressure sana yaan ananyonga hadi mkuu wa majeshi wake yaan kila mtu anaemzunguka hamwamini....aliwah muua bodygyard wake kwa anti aircraft gurn kisa alisinzia cku moja wakat wapo kwe kikao hatri sana yule kijana
 
USA & Russia zinajuana capabilities zao... Majeshi yao yanajulikana. Kwa miaka mingi military advisors Wali I under rate Russia. Wengi wakesema USA ndio superpower. Hata mimi niliamini hivyo. Lakini sio Russia ya Putin, kuna military advancement kubwa sana na highly state of the art weapons Russia a me develop kimya kimya. Early last year Russia SU Unarmed 24 ili jam operation ya Uss Donald cock kama sikosei. Kwa hiyo ni ukale kuamini usa ni superpower Sasa hivi. Kuna Russia & China ambao wame establish new world order.
mkuu unaposema superpower yaan mtu amecover kote ,millitarily,economically na politically...so si kijesh peke yake ndo mana analyst weng wanakua hawahitaji russia kama superpower bcoz kwenye uchumi ana fall behind many countries
 
Back
Top Bottom