Ujinga mtupuKwani Marekani anajilinganisha na nani kijeshi? UK.. Russia ndio mpinzani wa USA kwenye military hardwares & technology. Pitia cold war vizur ujue kwanini mpaka leo adui wa USA No 1 ni Russia na sio nchi nyingine. Russia is the only country in the world capable of destroying entire USA in 30 min...
Nashukuru ume post tumejua kiwango chako cha ujinga ni 99 %. Russia ndio nchi ambayo mobilization & logistic ipo juu, hiyo figure za 2015, nenda wall street journal USA wenyewe walishangazwa na njisi gani readiness ya Jeshi la russia. Most advanced country I mobilize Jeshi masaa 7? Tanzania yenyewe haipo hivyo. Wewe jamaa ni craza wa 21 St century... Unajua Urusi inaweza kuipiga Africa pale ilipo? Unajua USA wanashare border na Rússia? Rudi tution.Ujinga mtupu
Kwa research gani uliyoifanya?
Watoto wa jf mnatoa wapi habari kama hizi? Ni wazi mnatoa vijiweni
Russia hadi sasa utayari wake wa kuanzisha vita na nchi nyingine hasa mbali na Russia yenyewe ni masaa saba, yaani ndani ya masaa saba Russia inaweza ku mobilise resources na kuanzisha vita na hii ni kwa mujibu wa propaganda za Russia sasa wewe unaposema ndani ya nusu saa Russia inaweza kuichakaza marekani ni utoto uliotukuka inabidi tuanze kuuliza umri wenu kabla hatujaanza kujibu Hoja zenu
Au ni bangi nn?
Bangi zinakusumbuaKama unafatilia vizur, B2 spirit bomber ilitunguliwa vita ya Kosovo 1999 na outdated Soviet Era SAM aliyokuwa nayo Yugoslavia. Fatilia utaona.
unaweza kutupatia source ya habari yako kwamba S-400 imeshindwa kuwashwa? hivi unajua kule Siberi juzi wame weka S-400?Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7
Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake
Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu
Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi
Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi
Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa
Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration
System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?
Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned
Sio nyinyi ni bangeunaweza kutupatia source ya habari yako kwamba S-400 imeshindwa kuwashwa? hivi unajua kule Siberi juzi wame weka S-400?
Acha uongo Mig in series kibao, vita iliyopiganwa na vietnam unajua ni mwaka gani? Punguza mihemuko go back and read.. Mig 29 ni best fighter na zime perform sana. Though currently wamesitisha uzalishaji wake..Bangi zinakusumbua
Hujui chochote kuhusu military tech unaongea vitu vya kijjweni
Acha kabisa kupotosha watu
Hakuna kitu kama hicho kilitokea 99 yugoslavia
Yaani unaisifia ndege ya mig 29 ambayo karibu nchi zote za third world zinatumia na nchi zote ambazo marekani amezipiga zina system mbali mbali from Russia
What are you talking about?
F 16 na 15 ndege za miaka nenda Rudi lakini ndege hizi zinasumbua air defense za Russia every where expect s-400 ambayo haijawa fully operational
Huwa nachukizwa sana na mtu anaongea vitu vya mtaani tusaidiane kisomi na sio kwa kusema uongo
LABDA usema F-35 mkuu.lakini c kwa F-22...iko vizuri sana kiac kwamba walishapiga marufulu export ya F-22.ni moja kati ya advanced aircraft kwenye USAF ukiacha B-2 spirit ruptor
Fatilia vizuri mkuu.urusi wanamuogopa marekani sana.na sehem yoyote mmarekani akipasupport mrusi lazima ashindwe mfano ni Afghanistan,Ukraine,iraq,israel,nk..
Shida yako kubwa ni ukosefu wa ElimuAcha uongo Mig in series kibao, vita iliyopiganwa na vietnam unajua ni mwaka gani? Punguza mihemuko go back and read.. Mig 29 ni best fighter na zime perform sana. Though currently wamesitisha uzalishaji wake..
Masaa 7 kivipi? au unazani wale ni kama huku bongo kwamba waanze kutoa viafaru nje na kuvisafisha? Urusi ana makombola ambayo yanasubili kufyatuliwa tena ni Intercontinealt Balistic Misaile,Ujinga mtupu
Kwa research gani uliyoifanya?
Watoto wa jf mnatoa wapi habari kama hizi? Ni wazi mnatoa vijiweni
Russia hadi sasa utayari wake wa kuanzisha vita na nchi nyingine hasa mbali na Russia yenyewe ni masaa saba, yaani ndani ya masaa saba Russia inaweza ku mobilise resources na kuanzisha vita na hii ni kwa mujibu wa propaganda za Russia sasa wewe unaposema ndani ya nusu saa Russia inaweza kuichakaza marekani ni utoto uliotukuka inabidi tuanze kuuliza umri wenu kabla hatujaanza kujibu Hoja zenu
Au ni bangi nn?
Maskini ya munguMasaa 7 kivipi? au unazani wale ni kama huku bongo kwamba waanze kutoa viafaru nje na kuvisafisha? Urusi ana makombola ambayo yanasubili kufyatuliwa tena ni Intercontinealt Balistic Misaile,
Kuna Nyambizi, Meli, Ndege na Mahari maaulum ambayo yako tiyari na yaani ni ishu ya kubonyeza tu
Hyo habari ya kujam USA NAVY waliikana na wakatoa hadi video tena ililetwa humhum jukwaan kwenye thread(sikumbuk jina)fulan hvUSA & Russia zinajuana capabilities zao... Majeshi yao yanajulikana. Kwa miaka mingi military advisors Wali I under rate Russia. Wengi wakesema USA ndio superpower. Hata mimi niliamini hivyo. Lakini sio Russia ya Putin, kuna military advancement kubwa sana na highly state of the art weapons Russia a me develop kimya kimya. Early last year Russia SU Unarmed 24 ili jam operation ya Uss Donald cock kama sikosei. Kwa hiyo ni ukale kuamini usa ni superpower Sasa hivi. Kuna Russia & China ambao wame establish new world order.
mkuu ni kwamba kwa F-22 hawana mpango wa kuexport kabisa,kwa wanayoexport ni F-35 mkuu...yes najua kuwa exported version ya S-300 zna tofaut kdg lakini ile core technology ni ileile mkuu....waisrael wamefungua S-300 ya kule ugiriki toka 2006 wamekua wakiipigia msuli nna wasiwasi na ulinzi wa S-300 mkuuMkuu si kwamba wamepiga marufuku ku export bali ni kwamba bado hawajaanza kuunda Export vasion, usidhani hata kama Urusi atauza S-300 usizania ni sawa na alio nayo yeye, S-300 zipo export vasion, na hata S-400 kwa sasa ndo wako kwenye mpango wa kuunda Export Vasion ili wamuuzie China
Soma historia ya world wars uone German ilivyotaka kuichukua kabla USA hajaingia vitaniSi kweli, tuna categories mbalimbali. Lakin uchumi na Jeshi ndio zinaashiria super power. Tangu enzi za Soviet, USSR haikuwa inaishinda uchumi USA, lakini kijeshi walikuwa hatari zaidi...
Mkuu inaonesha hujui chochote we ni kuropoka na kubishana.ulipokuepo nilikuepo zamaaniNashukuru ume post tumejua kiwango chako cha ujinga ni 99 %. Russia ndio nchi ambayo mobilization & logistic ipo juu, hiyo figure za 2015, nenda wall street journal USA wenyewe walishangazwa na njisi gani readiness ya Jeshi la russia. Most advanced country I mobilize Jeshi masaa 7? Tanzania yenyewe haipo hivyo. Wewe jamaa ni craza wa 21 St century... Unajua Urusi inaweza kuipiga Africa pale ilipo? Unajua USA wanashare border na Rússia? Rudi tution.
Hawataki kuzitoa nje maake hyo technology ya mle ata wenyewe kudeal nayo wanaiogopa.ndo maana wanayo bado.sio export version mkuuMkuu si kwamba wamepiga marufuku ku export bali ni kwamba bado hawajaanza kuunda Export vasion, usidhani hata kama Urusi atauza S-300 usizania ni sawa na alio nayo yeye, S-300 zipo export vasion, na hata S-400 kwa sasa ndo wako kwenye mpango wa kuunda Export Vasion ili wamuuzie China
Yaani huyu jamaa kwa kweli anasikitisha sana, ni mbishi kupita maelezo na mbaya zaidi anapika facts za uongo anataka kuoneka anajua kumbe maskini hajui kituMkuu inaonesha hujui chochote we ni kuropoka na kubishana.ulipokuepo nilikuepo zamaani

Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo