US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

USA ina ndege vita mbili za 5th generation F22 & F35. F22 Raptor, stealth capable attack jet sio mbovu. Ndege yenye matatizo ni F35 lightening. na mpaka Sasa haija enter combat duty.. Matatizo yapo kwenye avionics & engine. Tayari zimerudishwa zinafanyiwa matengenezo.
 
mkuu THHAD ina radar zinazowez kudetect missile up t0 3000 miles ndo mana china wanalalamika sana kwamba marekani hawana nia ya kuileta kwa ajili ya north korea bali wanaitarget china,jaribu kusoma specification za THAAD
Mkuu 3000 miles au 3000 km?
 
hiv kwa nini nchi zinazotafuta umaarufu hupenda sana kujilinganisha na marekani? kwan hapa duniani nchi ni marekani tu! au ndo wameona ndo nchi ya kuwafanya wapate umaarufu kirahisi zaidi
Kwani Marekani anajilinganisha na nani kijeshi? UK.. Russia ndio mpinzani wa USA kwenye military hardwares & technology. Pitia cold war vizur ujue kwanini mpaka leo adui wa USA No 1 ni Russia na sio nchi nyingine. Russia is the only country in the world capable of destroying entire USA in 30 min...
 
ni 3000km mkuu
Pouwa chief, THAAD kuwa deployed in South China Sea ni mechanism ya USA to counter China expansionism. China sidhani kama watakubali hilo. Tayari wamesha rise concerns kwa South Korea. Ikiwa installed in Korea Peninsula italeta mtafaruku mkubwa Kati ya China na South Korea. China response yake itakuwa kuwapa washirika wake wa karibu North Korea technology ya makombola ya stealth au Jamming military hardwares
 
Kusema ukweli upande wa ndege Russia hampati USA mfano ni F-15 haijawahi kuwa shot down kwenye aerial fighting na ndo ndege iliyoshootdown mig za Urusi mpk ikaitwa Mig killer....na kuhusu mapungufu mbna ht hyo Russia z5th Gen aircraft ina matatzo mengi tyu Ila ni Mara chache sana kukuta media za Russia zinaongelea tofaut na west huwa wanaongelea mapungufu yao
Fatilia Korean & vietnam war utajua Mig 29 ilivyo angusha ndege za Marekani... Technology ipo hivi.. Unaweza kuwa na ndege Bora Lakin zipo exposed Sana kwenye rada, au una ndege bora Lakin hauna ant air to air missile.. Kuna F15 ya Turkey ili short down sukhoi SU 34 bomber. Ile haikuwa armed na ant air to air or surface to air Defence missile. Pia haikuwa na escort ya attack fighter jets.
Reaction yake uliyiona, jet zote zikawa equipped na ant air to air, and surface to air missiles. Ubora wa fighter Jets unategemeana na nguvu za radar, maneuverability, Jamming & avionics warfare.. Na hiyo Idara Urusi ndio gwiji
 
Pouwa chief, THAAD kuwa deployed in South China Sea ni mechanism ya USA to counter China expansionism. China sidhani kama watakubali hilo. Tayari wamesha rise concerns kwa South Korea. Ikiwa installed in Korea Peninsula italeta mtafaruku mkubwa Kati ya China na South Korea. China response yake itakuwa kuwapa washirika wake wa karibu North Korea technology ya makombola ya stealth au Jamming military hardwares
south korea walishawajibu china kuwa ni lazima waweke THAAD kwa ajili ya kucounter missiles za north....kuhusu china kwapa silaha wale jamaa..mbona inajulikana kuwa huwa anawapa af na ile technlogy ya nuclear ni mrusi anampa kisirisiri...hawa US wanajua sema wanaacha jamaa afanye hzo test zake ili wapate kisingizio cha kuleta advanced pale....wameshapeleka F-22 juzi na kama hivyo wanakomaa kuleta THAAD,maana bila excuse utaanzia wapi kuleta Thaad karibu na china,so now sababu imepatikana,jamaa anatka kumcircle mchina kama walivyofanya kwa russia sijui itakuwaje sasa hapa maana naona mauzauza tu kila nkitafakari
 
pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
Kupiga na kuripua ovyo si sababu ya wewe kuwa mwenye nguvu
 
Na ukitaka kujua kwamba USA ni nouma jiulize kwanini kila siku CHINA anahangaika kudukua siri za silaha za marekan kila siku hasa zile za stealth na ndege karibia zote za stealth wameiga muundo wa F-22 raptor
China ni specialist wa ku copy na ku paste.. China ana hijack program za USA sababu hana access nazo. Za Russia unajua kabisa mnunuzi mkubwa ni China...china ana access ya kupata programs za Urusi kirahisi kutoka na u karibu alio não na Urusi.
 
mkuu unajua wanachofanya russia now marekani walikifanya muda sana yani hii habari ya kucheza na media,ila kwa sasa marekani wamepunguza kidogo cjui wamepata mchezo gani mwngne mpya maana hawa jamaa wanaonaga mbali sana,miaka ya zamani walikua na kitu ilikua inaitwa OPERATION MOCKING BIRD ILIKUWA ni full propaganda....sema russia na wenzie naona ndo walistuka wakati kumekucha ndo mana cku hizi unaona kuna hizi site nying ambazo ni anti-american-mkuu ukitaka kujua kwamba hizi air defense za russia ni uchwara mtupu jaribu kupitia ile operation ochard ambayo ilifanywa na israel nchini syria kwenye kama 2007 hivi kama ckosei,pia kwa sasa hii S-300/400 inaweza kuwa kwe risk sana kwasababu bwana imevujshwa kumbe israel wamekua wakiifanyia mazoez ile S-300 ya ugiriki toka 2006 Kuanzia system zake za rada kwa kushirikiana jeshi la ugiriki ambalo ilikua likiwasha battery ya S-300 wakat wa mazoez na israel.....ndo mana kuna kipind obama aliiambia iran hata kama mkinunua S-300 toka urusi bado cc tunanjia nzuri tu ya kudeal na S-300 yenu,pia israel amekua na historia nzuri tu ya kuhack air defense za urusi.kuanzia pale iraq na kipind kile akipigana na misri walizihack air defense karibu zote za misri na kupeleke misri kuelemewa sana kwenye vita,russia wako vizuri kwenye silaha but SEMA bado hawajawekeza sana kwenye research km US na hio inamfanya awe nyuma kidogo kwan hata china anakuja kasi sana kwajili ya kuwekeza sana kwenye tafiti za kijeshi
Hawa jamaa wana siri vibayaa na project zao ni kali sana na za siri sana,we unafikiria hiyo budget ni ya nini.badjet kubwaaa.sehem kubwa ni project pamoja na kambi zao za nje
 
China haifanyi research wao ni kukiba tech za watu na kukopi
 
Kwani Marekani anajilinganisha na nani kijeshi? UK.. Russia ndio mpinzani wa USA kwenye military hardwares & technology. Pitia cold war vizur ujue kwanini mpaka leo adui wa USA No 1 ni Russia na sio nchi nyingine. Russia is the only country in the world capable of destroying entire USA in 30 min...
Tofautisha Russia na USSR
 
daah ile kitu b-2 achananayo kabisa,saivi wameshatenga mpunga kwajili ya next bomber b-3
Kama unafatilia vizur, B2 spirit bomber ilitunguliwa vita ya Kosovo 1999 na outdated Soviet Era SAM aliyokuwa nayo Yugoslavia. Fatilia utaona.
 
Hawa jamaa wana siri vibayaa na project zao ni kali sana na za siri sana,we unafikiria hiyo budget ni ya nini.badjet kubwaaa.sehem kubwa ni project pamoja na kambi zao za nje
jamaa ni shida hawa.....tabu kubwa sasa hawa jamaa wana design nyingi yaan wanaweza wakawage economic warfare hadi ukaipata...maana nchi km urusi kupigana nayo lazima isumbue sana sasa jamaa wanakazi ya kuharibu uchumi wake daily yaan russia matatizo ya uchumi huwaga hayaishi kila cku yanazaliwa mapya,kitu kingne kinachonshangaza pamoja na ile population yao ina muingiliano mwing vile wanawezaje kuwa organized vile kwenye mambo yao!!!
 
Kama unafatilia vizur, B2 spirit bomber ilitunguliwa vita ya Kosovo 1999 na outdated Soviet Era SAM aliyokuwa nayo Yugoslavia. Fatilia utaona.
mkuu fuatilia vizur iliotunguliwa kosovo ni F-117 au unaweza iita b-117 AMBAYO HAIPO ni service kwa sasa
 
Fatilia Korean & vietnam war utajua Mig 29 ilivyo angusha ndege za Marekani... Technology ipo hivi.. Unaweza kuwa na ndege Bora Lakin zipo exposed Sana kwenye rada, au una ndege bora Lakin hauna ant air to air missile.. Kuna F15 ya Turkey ili short down sukhoi SU 34 bomber. Ile haikuwa armed na ant air to air or surface to air Defence missile. Pia haikuwa na escort ya attack fighter jets.
Reaction yake uliyiona, jet zote zikawa equipped na ant air to air, and surface to air missiles. Ubora wa fighter Jets unategemeana na nguvu za radar, maneuverability, Jamming & avionics warfare.. Na hiyo Idara Urusi ndio gwiji
Fatilia vizuri mkuu.urusi wanamuogopa marekani sana.na sehem yoyote mmarekani akipasupport mrusi lazima ashindwe mfano ni Afghanistan,Ukraine,iraq,israel,nk..
 
Tofautisha Russia na USSR
Tofauti ya USSR na Rússia ni ndogo Sana. USSR ilikuwa kwenye arm race na USA. Ikatengeneza Silaha nyingi. Lakin modern Russian ina idadi ndogo y Silaha. Nyingi ni strategic but very effective.
 
Fatilia vizuri mkuu.urusi wanamuogopa marekani sana.na sehem yoyote mmarekani akipasupport mrusi lazima ashindwe mfano ni Afghanistan,Ukraine,iraq,israel,nk..
Ukraine Urusi hajashindwa... Nadhani unajua mpaka Sasa Don bass & Donestik zipo chini pro Russia militias. Afghanistan Soviet alikuwa kwenye final stage za disintegration.. Lakin vip kuhusu vietnam & Korea.. Mpaka leo USA hataki kukumbuka vita ya Vietnam. Uliza aliyekuwa behind ni nani, USSR
 
Back
Top Bottom