Hakuna mtu anayetaka Obama apendelewe lakini kuna tofauti kati kampeni ndani ya chama zile za nje . Kitendo cha Hilary kusema kuwa yeye na Mccain wana experience , wakati Obama ana speech aliyosoma mwaka 2002 is below the belt. Nakubalina na wewe ya kuwa ni lazima Hilary amattack obama kwa sasa , lakini wakati huo huo ni lazima awe makini asisababishe mgawanyiko ndani ya chama.
Vile vile ni mihimu kujua ya kuwa wamarekani wanakuwa turned off na negative campaign kwa hiyo ni muhimu kuangalia hiyo message yako itakuwa perceived vipi na voters.
Are you serious? Please just be honest for one second
OBAMA:
..hivi mbona Obama pia amesema Hillary alikuwa ni 1st lady tu, na hana hiyo experience ya kutosha? au kosa ni Hillary kuongezea kwamba McCain ana experience?
..Obama pia amesema Hillary atakata mishahara ya wananchi ili kulipia bima za afya.
..Obama vilevile amesema Democrats wakimchagua Hillary basi USA itarudi kwenye divisive politics of the past.
....
HILLARY:
..kwa upande mwingine Hillary amesema Obama ni mtu wa maneno matamu lakini vitendo hakuna.
..Hillary amedai mpango wa afya wa Obama utawaacha mamilioni ya Wamarekani wakiwa hawana health insurance.
..Hillary amedai Obama amekuwa akipata ushindi kwenye majimbo madogo madogo ambayo hayawezi kuwasaidia Democrats ktk uchaguzi mkuu.
....
NB:
..Nafikiri kila mgombea anajaribu kujitofautisha na mwenzake.
..kwasababu wengine hapa tumejipachika ukereketwa, na kuchukua upande, basi kila mgombea wetu anapokosolewa tunapata mshituko.
...seems anafuatilia campaign akiwa usingizini au ni unazi tuu umemzidi!
There you are, na ndivyo kampeni zilivyo duniani kote ila wenzetu wanataka special treatment kwa Obama, the untouchable almighty. Obama akimshambulia Hillary, haiharibu odds za Democrats kwenye uchaguzi mkuu, ila Hillary akimshambulia inawaharibia Democrats, ebo!. Kweli ukipenda kitu....
Lets talk about issues, yes lets debate about them. Lakini sio kurushiana mud. Sio kutoa false info, kuwa Obama ni Muislamu, Mara alishiriki ku raise hela kwa ajili ya Palestinians organizations, mara Obama's ambitions tangia utotoni ni ku run for president, lets debate health care, lets debate foreign policy, lets debate the wars in Iraq and Afghanistan, lets debate Immigration...and LETS NOT PAD THE RESUMES
KK,
nipo disappointed kabisa, tena mbendembende kwa mtu kama wewe kushabikia siasa za kuchafuana!! yaani unadiriki kusema, "ati hivyo ndivyo kampeni za kisiasa zifanyavyo dunia nzima." Kaka, hata kama dunia nzima wanafanya hivyo, hai-mati, kinacho-matter hapa ni kuwa tabia hiyo sio nzuri!!! hivi watu wengi wakifanya ufisadi, kwahiyo ufisadi unakuwa ni sahihi kwasababu watu wengi wanafanya hivyo?? ama kweli kaaaazi ipo, sasa naanza kumuelewa vizuri kadampinzani!!!!!!
Gov. Elliot Spitzer (D-New York) matatani kwa umalaya......huyu naye ndio hao hao wakina clinton, anasema 'a' kumbe ana maanisha 'e'!!!!! siasa ni upuuuuuuuuuuzi mtupu.
What is the substance in calling your opponent a monster?, hebu niambie ingekuwa kama one of the Hillary team angemwita Barack a monster kama kuitwa tu jina lake la Hussein imekuwa issue?
http://www.huffingtonpost.com/2008/03/10/clinton-surrogate-obama-_n_90741.htmlSpeaking on a conference call with reporters, Lt. Gen. Joe Ballard, a Clinton supporter, compared Obama's stance on Iraq to a person who could "recognize a cow" (ostensibly, the perils of the war) but not milk it (get the troops out? has conflict-management experience?).
"Just because you recognize the cow doesn't mean you know how to milk it," said Ballard, who was playing off his time among cows in Louisiana. "I think body of experience, learning what you have to do and how to do it, is very important... No one can tell you how to milk a cow; you have to do that yourself."
That wasn't all.
"No doubt in my mind he can probably milk a cow but his body of experience means he probably doesn't know how to milk one," continued Ballard, before getting a bit more specific. "When I look across the aisle at Sen. Obama, other than a great speech, I really do not see the same body of experience to deal with that issue. I see a statement that says I have a great staff that can advise me. I think you need a great body of experience to deal with the recommendations your staff is bringing to you."
Campaign spokesman Howard Wolfson called into question Obama's capacity to be the vice president, claiming "We do not believe that Senator Obama has passed the commander-in-chief test. But there is a long way between now and Denver."
In addition to Ballard, the conference call included Gen. Wesley Clark, and Lee Feinstein, the Clinton Campaign's National Security Director, all of whom attacked Obama for not being entirely committed to a troop withdrawal. As evidence they cited recent remarks by former Obama aide Samantha Power which suggested that the Illinois Democrat would reconsider troop withdrawal once elected, given the account of conditions on the ground.
"[Sen. Clinton] has been unwavering in her commitment to support withdrawal," said Ballard. "People know when they vote what they are exactly going to get. And in the case of Sen. Obama I don't think we are quite that clear."
Moooo.
Jamani leo Jaluo ame-kick butts ile mbaya!
Sijui kama mmepata hii nyepesi kwamba surrogate wa Clinton alileta analogy moja mbovu ya kusema that Obama recognizes the cow but can't milk it (yaani Iraq war is the cow)
http://www.huffingtonpost.com/2008/03/10/clinton-surrogate-obama-_n_90741.html
Sasa naomba niwape response ya Obama:
"How can Hillary milk the cow, if she can't recognize it?'
Wham bam slam! 😀
Kama Obama na NAFTA na Wacanada eeehhh?
Ngabu na kitila kitumbo ni manazi...this is off the records!
What is the substance in calling your opponent a monster?, hebu niambie ingekuwa kama one of the Hillary team angemwita Barack a monster kama kuitwa tu jina lake la Hussein imekuwa issue?
"We do not believe that Senator Obama has passed the commander-in-chief test. But there is a long way between now and Denver."...
"Senator Clinton will not choose any candidate who has not at the time of choosing passed the national security threshold. But we have a long way to go until Denver, and it's not something she's prepared to rule out at this point."
Katika hili wamechemka na Jaluo ame-hammer the point home:Obama also pointed out the tension between suggestions of a joint ticket on the one hand, and Sen. Clinton's suggestions in Texas (notably, the "3AM ad") that Obama is not ready to be commander-in-chief on the other. After pointing out that a similar commander-in-chief litmus test was Bill Clinton's top priority in selecting a Vice President in '92, Obama feigned ignorance:
"I don't understand. If I am not ready, why do you think I would be such a great vice president? I don't understand. You can't say he is not ready on day one, then you want him to be your vice president."
NImejaribu kucheki katika ma-blogs hata Hillary supporters wamekiri hii ilikuwa ni gaffe ambayo imewaonyesha as flip-flopping oh oh familiar terminology?He also addressed what some have suggested is the motive underlying the discussion; namely, that Clinton is seeking to convince voters to support her as a means to secure both Dems on a general election ticket.
"So I don't want anybody here thinking that somehow, 'Maybe I can get both.' Don't think that way. You have to make a choice in this election."
He followed up by questioning why Sen. Clinton would suggest a joint ticket while she is currently in second place in pledged delegates and popular vote:
"I won twice as many states as Sen. Clinton. I won more of the popular vote than Sen. Clinton. I have more delegates than Sen. Clinton. So I don't know how someone in second place can offer the vice presidency to someone in first place. If I was in second place I could understand but I am in first place right now."