Mama na McCain voted for the authorization of the IRAQ war and they are going to keep us there. Haya here is the kicker: Watu wa kwenye campaign zao wana financial interest kwenye hii vita and here are some facts:
Hillary Clinton's Chief Strategist is Mark Penn. He is the CEO of Burson-Marsteller, a Public Relations and Public Affairs firm.
Burson-Marsteller is owned by BKSH, whose Chairman is Charles Black. Black is Senior Advisor to John McCain!
While he is on the BKSH payroll, Black lobbies in his spare time as well; His clients include General Motors, JPMorgan, AT&T and none other than United Technologies.
United Technologies is the parent company of Sikorsky....
Sikorsky, sells Black Hawk and Comanche helicopters and various missile systems, including helicopters presently in use in the Iraq war.
May be ndio maana Mrs. Clinton alisema "McCain had certainly crossed the commander-in-chief threshold. I myself (Mrs. Clinton) had crossed it, too."
NN,
paragraph ya pili tu inaanza na quote ya Shaheen, "........i made personal decision............" Ni tofauti na mtu kuwa fired, jamaa ali-resign voluntarily. Analogy yake ni kama ile ya Lowassa kule Bongo, JK hakusema, "bwana mamvi, you are fired." kuna tofauti kubwa sana hapo, legeza misuli na jaribu kuelewa na kutofautisha kati ya vitu hivyo viwili!!!!! I quit ni tofauti na you are fired, ambiguity ipo wapi hapo?? mbona unanitia aibu sasa na wewe! mwe!!
Soma this
Michael Duffy and Nancy Gibbs report on a meeting that took place in Chicago last Labor Day. All of Obamas experienced advisers told him: You gotta get down, get dirty, get tough.
Obama refused. He argued that if he did that, the entire basis for his campaign would evaporate. If I gotta kneecap her, he said, Im not gonna go there.
. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?
Kitila ,
Tafadhali naomba unielimishe kwa sababu nashindwa kuelewa ni kitu gani haswa unamaanisha . Jee unataka kutuambia ya kuwa kwa kuwa simply dunia nzima inafanya kitu fulani kwa style fulani kwa hiyo ni lazima kila mtu afuate hiyo njia ? Ni mawazo kama haya ndiyo yanafanya watu kuwa dormant katika kufikiri ! Kwa nini tunakuwa waoga wa kuja na idea mpya, kwa nini tunakuwa hatujiamini ...Hivi unajua ya kuwa mabadiliko yote makubwa hapa duniani wether kwenye siasa au sayansi yalitokana na mtu au kikundi cha watu kufikiria tofauti .
Mabadiliko siku zote yanatokea kutoka kwa watu wenye idea tofauti na wako tayari kuchallenge convectional wisdom. Kwa hiyo mimi nadhani ni lazima tu-change jinsi tunavyofikiri ...tuwe independent tusikubali kuwa swayed na maoni ya wengi kama pendullum bob zaidi tusiamini ya kuwa simply kwa sababu dunia nzima inafanya hivi basi hiyo ndiyo alternative pekee.
The fact is mimi nikiwa nashindana na wewe lazima katika mazungumzo yako ya kujinadi nita-point out strengths zangu na weakness zako ili kuwashawishi wapiga kura. na hili sio kwenye siasa tu, hata kwenye biashara. Cocacola siku zote watajiona wao ni bora kuliko Pepsi, this is so natural in a competitive world. Msingi wa ushindani katika siasa umejengwa katika kushawishi wapiga kura: kwa nini tukuchague wewe, kwa nini tusimchague yule; Hillary ameseme nichagueni mimi kwa kuwa nina uzoefu katika mambo haya na yale, msimchague Barack kwa sababu hana uzoefu huu na huu na ni kijana mdogo katika mambo makubwa ya White House. Sasa mimi sioni tatizo hapa. Ni kazi ya Obama na surrogates wake kama wewe kuwaambia wapiga kura kwamba hapana Hillary hana chochote, Barack ana hiki na hiki, mchagueni yeye. What is the problem here. Sasa kama haya ni mawazo ya kizamani sawa, lakini ndio dunia ya siasa ya ushindani ilivyo, otherwise labda mnataka Barack awe an untouchable boy, unfortunately hili halitawezekani madamu anatafuta urais wa nchi kama America, hiyo ingewezekana huko Russia na Cuba na maybe TZ ndani ya CCM!
NN,
paragraph ya pili tu inaanza na quote ya Shaheen, "........i made personal decision............" Ni tofauti na mtu kuwa fired, jamaa ali-resign voluntarily. Analogy yake ni kama ile ya Lowassa kule Bongo, JK hakusema, "bwana mamvi, you are fired." kuna tofauti kubwa sana hapo, legeza misuli na jaribu kuelewa na kutofautisha kati ya vitu hivyo viwili!!!!! I quit ni tofauti na you are fired, ambiguity ipo wapi hapo?? mbona unanitia aibu sasa na wewe! mwe!!
YNIM, Nyani ametuonyesha kuwa Shaheen aliachia ngazi, we must conceed to his point, lakini mi naomba ni fast forward, Kabla Samantha Power, Howard Wolfson spokesman wa HIllary alimfananisha Obama to Ken Starr, alipoulizwa je atajiuzulu akajikosha eti hakusema! Tunaomba Wolfson ajiuzulu, vinginevyo Clinton camp haina points za kuongea about a decent campaign! Discussion naona hapa imefika tamati.
Nyani bado hujanijibu kuhusu hiyo Kosovo peace deal na akina Sinbad!😀
Kitila ,
Tafadhali naomba unielimishe kwa sababu nashindwa kuelewa ni kitu gani haswa unamaanisha . Jee unataka kutuambia ya kuwa kwa kuwa simply dunia nzima inafanya kitu fulani kwa style fulani kwa hiyo ni lazima kila mtu afuate hiyo njia ? Ni mawazo kama haya ndiyo yanafanya watu kuwa dormant katika kufikiri ! Kwa nini tunakuwa waoga wa kuja na idea mpya, kwa nini tunakuwa hatujiamini ...Hivi unajua ya kuwa mabadiliko yote makubwa hapa duniani wether kwenye siasa au sayansi yalitokana na mtu au kikundi cha watu kufikiria tofauti .
Mabadiliko siku zote yanatokea kutoka kwa watu wenye idea tofauti na wako tayari kuchallenge convectional wisdom. Kwa hiyo mimi nadhani ni lazima tu-change jinsi tunavyofikiri ...tuwe independent tusikubali kuwa swayed na maoni ya wengi kama pendullum bob zaidi tusiamini ya kuwa simply kwa sababu dunia nzima inafanya hivi basi hiyo ndiyo alternative pekee.
Lakini siumemsikia baada ya kipigo cha Ohio amekubali kubadilisha strategy. Ndio maana na yeye amejiingiza kwenye mkumbo wa kudai tax returns. Anajua kete yake pekee ni hiyo ku-avoid conventional American politics, akijiingiza kwenye ku-attack personality za akina Clintons ndio hivyo tena atakuwa hana tena ticket ya kujiuza. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?
Nikujibu nini kuhusu huyo Has been Sinbad....yeye kazi yake kuchekesha watu...basi. Sasa anajiingiza kwenye siasa....he better just stay in his place. I can't comment on him.
MImi nadhani kuna haja ya kusoma Obama alivyosema tokea mwanzo. Yeye hajakataa kuonyesha difference kati yake na Hillary, dirty politics ni ile waliyofanya akina HIllary ay kusambaza picha zake amevaa nguo za kisomali na anapoulizwa Hillary if she believes that Obama is not a Muslim she saysNo he is not a Muslim "As far as I know..." insinuating that he might be, maybe! Also hii NAFTA gate kui-twist etc.
Mimi naamini Obama is playing at his own rules and people are just starting to understand him. Given the time, voters will get to appreciate his stand. In fact ukiangalia voters wa amam ni 'blue colar workers and those without college education'yaani wenye elimu ndogo! Lakini hata hii si kweli kwani katika states ambapo there's no historic racism kama Wisconsin, Obama does well with them too.
Ukweli ni kwamba Obama is changing the way politics is played and we are all waiting to see if it will work for him. Kuulizia taz returns is not dirty politics ni kutaka Clinton awe transparent maana anadai she has been vetted wakati bado mapemaaa.
You are deliberately missing Sinbad's point, he did exactly what Clinton did in Kosovo, does this count as 'political experience'? Kama hivyo na yeye Sinbad anaomba afikiriwe kama presidential candidate as Hillary.
So, tell me what experience are we talking about when we talk about Hillary? Tena hizo 35 years...
Sasa kama mnadai Mama hana experience Obama anayo?
Obama anacheza mchezo wa kisiasa kwa kuomba tax returns kwa sababu Clinton kama seneta anatakiwa kila mwaka atangaze mali zake. Hilo linajulikana wazi. Sasa Obama yeye anauliza ili iweje?
Sasa kama mnadai Mama hana experience Obama anayo?
Weee Nyani rafiki yangu! Unajua why clinton hajarelease tax retirns since 2000! Unafikiri yuko tayari kuonyesha nani alimsupport in her senate bid. Sasa analeta longolongo ya kusema April 15th atarelease but these are the 2007 tax returns, what about 2006 and 2005? Hapo ndipo Mama amechemsha, hajarelease hata ya miaka ya nyuma! What is she hiding?
Kila wakati tough questions are raised against Hillary Clinton, her campaign and her goes for that victim card.
Watu wanataka kujua tax returns zake, kwa sababu wagombea wote walishatoa za kwao, yeye hataki kutoa za kwake. Anaficha nini? Sasa wameanza kumfananisha Barack na Ken Starr purposely ku divert issue.
Kwa hiyo, Hillary hawezi kuwa trusted if she can't disclose this tiny bit of information.
I'm getting bored with her political shenanigans.