Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,847
- 141,232
Joka Kuu, sasa umeanza kuspin! Jina la Hussein siyo taboo, ni ile intention. kama yule radio talk host Bill Cummings or whatever his name alivyosema openly kwenye rally ya McCain, he is a closet Muslim who wants to hand the country to terrorists. Don't pretend as if there's no 'malignant'intention to mention Hussein over and over again. kwani Hillary anakuwa mentioned kama Rodham? Get real! Hussein is not only King of JOrdan but most importantly it is the name of Saddam Hussein! Vazi la Kisomali can now be traced back directly to the Clinton aide. Wao wanadai hakupewa maelekezo, but PLZ! Unasema hakuna aliyeko tayari kumtetea Hillary, in what? What similar situation was our 'poor poor'Hillary in? Come on!
...aiseeh na wewe sasa ngoja tukuache tuu maana huo uwongo wako sasa hauna maana,au unafikiri hizi campaign unafuatilia peke yako? Obama hajasema kitu chochote kibaya kuhusu huyu mama lakini 24/7 mama yuko busy to attack Obama na hicho ndio kina piss off watu wengi na kibaya zaidi sasa anataka change rules of the game at the middle,nakuambia wakijaribu kufanya wanachotaka huko Fl na MI itakuwa civil war ndani ya Dems na guarantee babu atashinda na Clinton atapoteza hata senate sit ya NY,na kama hujaona racism from Clinton campaign basi yaishe ila kumbuka ile picha ya Somalia waliyotuma clinton ilikuwa na maana gani na vipi ile picha inacirculate sasa kwenye internet ambayo shows Obama more darker,you just dont get it,mama inabidi a play fair la sivyo hata akipata nomination damage itakuwa kubwa sana kwa yeyote kushinda from Dems.
Sasa wewe ndio una-spin...Hillary kila siku anatamkwa kama Hillary Rodham Clinton...we mwenzetu kiziwi nini?
Obama asitake kulikana jina lake la Hussein...kwanza kuwa Muislamu na kuitwa Hussein kuna ubaya gani?
..another myth AKA cry baby ya ku play victim wa media na nyie mnaamini tuu,Obama run good & clean campaign ndio maana anashinda ila sasa mama kaanza uchafu ambao ndio utammaliza mwenyewe kama sio Democratic party.
Weee! Nyani! Hillary hatajwi kila siku as HIllary Rodham Clinton - it is VERY rare. Ni Hilary Clinton most of the time.
Pili hajasema kuna ubaya kuitwa Hussein ame protest email iliyodai kwamba kutokana na kuwa jina lake ni Hussein he is therefore a Muslim and he is keeping it a secret in order to take over the world etc. It was a nasty email, I think hata wewe utakuwa umeipata. Kama uliangalia 60 minutes on CBS one day before the primary, kuna voter moja aliyesema wazi hatampigia kura Obama kwa sababu ni mwislam who wants to destroy America, alipoulizwa alisema alipata email yeye na marafiki zake.
So do not pretend that you do not know the background and the insinuation.
Atakapoapishwa hilo jina atalitaja tu! Na hajawahi kusema anaionea aibu or anything, he was talking about the context. Au unataka nikuweke tena quote ya Rush Limbaugh alivyofurahi Hillary kufanya kazio ya GOP maana hata Rove amesema wasimwite Obama Hussein.
Koba,
Like I said that's just my thinking, well largely shaped by what the media's been pumping out really, and Gupta-esque like stories even though not negatively implicating her directly, don't do her any favors either. I would, however, hasten to agree with you on the way Obama has run his campaign, he's run a clean one so far, but unfortunately the same cannot be said of Clinton.
I remember watching Clinton make a mockery of Obama and it was a major put off really; she did a poor job at belittling Obama and a good one at embarassing herself, you could see some faces in the audience cringe, I tell you. "The sky will open, a light will shine down, all problems will go away..."
Obama isn't doing himself any favors by steadfastly rehearsing his "change we can believe in" monologue day in day out and it seems to be wearing out with time, at least that's what I think. I mean he needs to put to rest the experience issue that Clinton has been touting around, he doesn't need to run a smear campaign and he shouldn't, but just point the people in the right direction, as it were.
Kwani Obama kila siku anaitwa Barack Hussein Obama?
Akiitwa mara moja tu mnakuja juu...nyinyi ndio manona hilo jina kuwa ni tatizo....
Ooh by the way bado nakusubiri uje na mabaya ya GOP uliyoniahidi....ulidhan nimesahahu eehhh?
Ala! Nilijua umesharudi kambini kwa mama na umeabandon idea ya kujoin GOP, ndo maana niliacha kupanga points zangu. Nitaiandika lakini sasa niko busy na issue ya Democrats ndo maana sikukamilisha arguments zangu. Let's save it for a rainy day! Kuna slow days hapa zitakuja tutaendelea na hiyo debate, au unasemaje, mkuu?
Nikijaribu kuangalia kotekote bila ushabiki naona yafuatayo:
Kuhusu majina hiyo ni kweli kwani si hata hiyo Obama walishajidai wamekosea eti ni Osama, ndiyo itakuwa hiyo Hussein, halafu Americans nao bwana kule wapi SC nadhani watu walihojiwa before zile primaries kuna waliosema jina lake linafafana na Osama kwa hiyo wana wasiwasi naye...go figure!
Kuhusu Hillary, her full name ambayo sijaona akiitwa wala kutajwa hivyo ni: Hillary Diane Rodham Clinton. Rodham ni jina la ukoo wake kabla ya kuolewa na Clinton so technically it's not her second name!
Anyway pamoja na yote hayo majina yasiwe issue wala yasifanywe issue, katika hili anaonewa Obama ambaye majina yake sio ya kizungu wala kimagharibi, I have a feeling nani anaitumia fursa hii kwa manufaa yake na huyo mtu wala siyo Obama!
Hii trial ya Rezko akina Clinton watatamani iishe mapema.Since the name of Chicago defendant Antoin Tony Rezko has come up in national debate, it seems fair to look at donations from other defendants in Chicagos Operation Board Games.
Of the other five defendants, three have donated to the Clintons or to Clinton supporters, three have donated mostly to Republicans, and at least two have donated to Obamas political opponents. None have donated to Obama.
.....
Meanwhile
That Rezko donated over the years like a political junkie, and may have been one, has already been written about by Buzzflash. Rezko himself gave mostly to Dems, with the largest amts going to central committees, other donations to national figures incl GWBush ($4000), and frequent contributions over the years to IL politicians incl Rod Blagojevich, Luis Gutierrez, and former senators Carol Moseley-Braun and Peter Fitzgerald as well as the donations to Barack Obama that Hillary Clinton pointed out.
Predictably, the Chicago Sun-Times reports that the national co-chair of Mrs. Clintons presidential campaign, Los Angeles mayor Antonio Villaraigo, also got Rezko donations.
Mimi huyu Michelle alishanichosha tangu aseme hajawahi kujivunia kuwa mmarekani hadi mume wake alipogombea urais, na hii kitu imechangia kumnyima kura mume wake huko Texas na itaendelea kuwa-cost na itawa-cost November kama watapata nomination. Wakati mwingine bora Cindy ambaye habwatuki ovyoovyo. Huyu dada kila akinyanyua mdomo ni problem, sasa sijui Obama kwa nini hamwambii yeye awe anapunga mkono na kutabasamu tu basi!
BTW kampeni maneja wa Obama hapa JF ndugu Yourname amepotelea wapi baada ya super tuesday II?
Mimi huyu Michelle alishanichosha tangu aseme hajawahi kujivunia kuwa mmarekani hadi mume wake alipogombea urais, na hii kitu imechangia kumnyima kura mume wake huko Texas na itaendelea kuwa-cost na itawa-cost November kama watapata nomination. Wakati mwingine bora Cindy ambaye habwatuki ovyoovyo. Huyu dada kila akinyanyua mdomo ni problem, sasa sijui Obama kwa nini hamwambii yeye awe anapunga mkono na kutabasamu tu basi!
BTW kampeni maneja wa Obama hapa JF ndugu Yourname amepotelea wapi baada ya super tuesday II?
Ebwana Cindy McCain unamuonaje? Mi naona katulia kwelikweli....
Ebwana Cindy McCain unamuonaje? Mi naona katulia kwelikweli....
Hakuna mtu anayefanya jina la Barack Hussein Obama kuwa issue zaidi ya mashabiki wake ambao hawapendi aitwe hivyo ingawa wazazi wake wenyewe walimwita hivyo...
Nyani unanikwaza ndugu yangu nirudi kujibu maoni yako:
Cindy Mccain belongs to the wax museum! She's an addict na full of botox!
Mrs Obama, mtamsema weee but it's not true that she cost votes for Obama, in fact amemsadia sana kupata black women votes. Lakini hata hivyo hayuko visible sana at least not more than Bill. Which brings me to a light touch moment: hasira za Bill ukiweka na hasira za Michelle, hebu imagine wakifanya debate na wote wanavyojua kuchonga.... sipati picha!