Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,293
- 138,141
Nyani,
Mashabiki wa Obama tupo. Tumekaa kimya kwa sababu unachekelea sana!
BTW hata JFK hakuwa na major accomplishment in the senate wakati alipogombea urais mwaka 1960. Na Hillary asitumie mgongo wa mume wake kudai kuwa ana experience.
...aiseeh theres serious hate and bitterness btn these 2 camps,sasa come Nov. nafikiri Dems watakuwa wamemalizana wenyewe kwa wenyewe,sad but true na hii ya Clinton to go all the way to praise Mccain and belittling Obama was a big turnoff to many Dems!
Hivi Latino wana matatizo gani na brothers,mbona matatizo yao mengi wanashare pamoja na mara nyingi fight zote walizofight weusi ni kwa ajiri ya minority sio weusi tuu,na Latino wanafaidika humo humo na results ya hizo fight sasa leo wanajifanya hawawezi kuvote in mtu mweusi,kama kweli latinos vote is against color tunawashukuru sana,lakini the good thing message sent na brothers wameipata hawa sio wenzao na NY & LA wataingia peke yao mtaani white brothers wakianza kuwafanyizia kama kazi...nasikia huko Arizona wanabebwa na askari na kutupwa nje ya border kama magunia,kwa akili yao ya kibaguzi they deserve it na hope wataishia kuwa wachuma matunda tuu mpaka kiama!
How did she praise McCain and belittle Obama? Can you tell us what she said?
Sasa unalalama nini? Angeshinda Obama ungewamwagia sifa...kashindwa unawaua...binadamu bwana sijui tukoje...
Mbona Ohio Mama kashinda wazungu lakini huwasemi kuwa wana matatizo...?
Don't be a sore loser...take the losses in stride and be a good sport
..i dont remember exactly quote lakini she favoured Mccain over Obama by trashing him,mama number doesnt add up na endelea to celebrate mpaka delegate no zitakapotoka later today ndio utaona gap imeongezeka badala ya kupungua!
...their vote was against black rather than for clinton!
Unaona sasa...unathibitisha pointi yangu kuwa nyinyi Obama-maniacs mnaendeshwa na hisia na sio facts. Unatoa shutuma halafu unaombwa useme Mama alisema nini halafu unadai hukumbuki...give me a break!!
Concerns alizo-raise Mama ni legitimate. Mama katoa hoja...nyinyi badala ya kujibu kwa hoja mnajibu kwa manung'uniko na shutuma. Kama umesahau, hoja hujibiwa kwa hoja!!
Na wale weusi wanaompigia kura Obama kwa vile ni mweusi (ingawaje si mweusi tu bali ni mweupe pia), unasemaje kuhusu wao? Kwa sababu na wao kura zao kwa Obama ni kura dhidi ya Mama na kuna wengine wameshaapa kama Obama asipopata uteuzi hawatampigia Mama kura....so what say you about that?
...Blacks will vote Democrats no matter what,lakini Latinos will vote Mccain kama Obama is a nominee,you just dont get it!
So what's wrong with that...?
...seems you just refuse to see the obvious.
The obvious is you are a sore loser today.
...Ok,white boy!
Latino jana kule Texas wame-vote for Hillary 65% to %35. Ni kweli Obama amepata votes kutoka kwa Young Latino na Mama yeye amechukua kutoka kwa Senior Citizens wenzake.