Susu,
ebu wape break kidogo, maana kibanda chao kimeshika moto!! kama haupo busy, angalia pro bowl from Honolulu ktk ur local FOX channel. NN anatumia kitabu cha Rush Limbaugh na Ann Coulter, ukizidi kum-press hapo, atakwambia kwamba yeye yupo US toka mwaka '80...............kumbe kuna hata waliozaliwa hapa na bado hawana idea!!!.
nilikuwa na wasiwasi na ME, lakini nayo kwa pocket!! eeebwana huko Maine ni maporini na watu weusi wachache kinoma tena wengi ni wasomali in Portland......huyu jamaa kweli kiboko!!.
Kama endorsements hazina mpango!? sasa mama alikuwa anafanya nini kwenda kwa John Edwards kuomba endorsement uso kwa uso?
......katika sehemu amabzo sikuwa naamini huyu jamaa atachukua ni pamoja Maine.....NN don't underestimate this Obama
Noana Campaign manager wa mama kaachia ngazi anachukua nafasi nyingine.
Huyo si Bangusilo, kafukuzwa.. Fagio la jana limacha mikwaruzo, Mama kipusa kimedoda kazichota kwenye kibuyu....fagio lingine laja Jumanne!......inaelekea kuna kutoelewana ktk kambi ya Mama........huku Obama akiendelea kupunguza gap la delegates......
......inaelekea kuna kutoelewana ktk kambi ya Mama........huku Obama akiendelea kupunguza gap la delegates......
nilikuwa na wasiwasi na ME, lakini nayo kwa pocket!! eeebwana huko Maine ni maporini na watu weusi wachache kinoma tena wengi ni wasomali in Portland......huyu jamaa kweli kiboko!!.
Kama endorsements hazina mpango!? sasa mama alikuwa anafanya nini kwenda kwa John Edwards kuomba endorsement uso kwa uso?
Nyani Ngabu yuko wapi leo? hahahahahah Mama Clinton labda amteue mume wake Bill kuwa Campaign Manager.
by the time its all over kwa watumiaji wa chesapeake turnpike next tuesday, jambo moja litakuwa dhahiri...Obama atakuwa anaongoza kwa margin flani hivi healthy hata ukiweka superdelegates!!
Hizo za ku-reshuffle staffers ni dalili za panic......hiyo ndio matokea ya "fear and loathing on '08 campaign trail." Kikubwa hapa cha kujifunza ni kwamba hakuna permanent "bed partners" ktk politics, si busara ku-underestimate opponents wako na zile politics za attacks zimepitwa na wakati!!.
NN aka JF's Rush Limbaugh upo wapi?? njoo hapa uoshe kinywa!!
We unaishi wapi? Hivi hujasikia kama Osama na yeye ataenda kuonana na Edwards? Bado nasema endorsements hazina mpango..