Nimeshangazwa sana na Obama kushinda states nyingi kuliko Hillary. Mimi nilidhani ingekuwa vice versa. Watu wengi wanaompigia Obama wanasema wanapata shauku kubwa kuona jamaa jinsi anavyoendesha kamoeni yake. Sasa unapoweza kuwapa watu wengi shauku basi hakuna wa kushindana na wewe labda Mungu tu. Obama pia ana momentum ambayo itamsaidia sana kujipatia ushindi mkubwa na hatimaye kuwa mgombea wa Democrats na Rais wa kwanza wa Marekani mweusi, huo ndio utabiri wangu...🙂
Cilnton 974 Super Del 211
Obama 906 Super del 128
Tusubirie spin sasa, maana mambo ya inevitable nominee hayapo tena ni mwendo wa kufight mpaka mwisho.

Haya mambo ya delegates kila mtu anadai yeye kashinda sasa sijui nimwamini nani...
NN,
Unavyoongea, utafikiri ni paid staffer wa Billary!! hiyo ya kumwita Obama "osama" na ku-compare na Kikwete ni below the belt.........
Clinton kashinda sehemu ambazo democratic yeyote atakayepata nomination atashinda anyway!! au hilo hulioni? change ina resonate south na kwenye plains, bibi yako ni establishment candidate, hana mpya.....Cali, NY,NJ etc zina prove huo ukweli!! Nam-compare na Michael Dukakis(siku hizi professor wa Northeastern University pale Roxbury)....angalia huyu bwana alishinda wapi na aliishia wapi!!.
Ninaomba kusema hivi, baada ya kuufuatilia kwa makini huu uchaguzi wa jana, matumaini ya Hillary kushinda nomination ni madogo sana, na I am on the record labda waibe kura,
Kwa maoni yangu, huu uchaguzi ungefanyika next two weeks, Jaluo angemshdina vibaya sana Hillary, baada ya Hillary kushindwa kumshinda jana Jaluo, ambaye leo imethibitishwa kuwa anaongoza kwa delegates 13 zaidi ya Hillary, uwezekano hakuna,
Jaluo, ame-raise dola millioni 32 kwa mwezi huu tu, Hillary ame-raise millioni 16 tu! Wazungu wa South wamempigia kura Jaluo, sasa huko kwingine itakuwaje?
Jaluo go! run! Bado nin-believe Jaluo baby!
---sorry wakuu, out of topic:
Hivi wewe Nyani unamtokea Chelsea nini?!!!!! lol