NN,
TN ilikuwa obvious, MA in roads zilianza late.......usije kukashangaa mwisho wa siku Obama ana-delegates wengi kushinda billary!! Cha msingi hapa ni kwamba HRC hapati landslide wins!.
NN,
Politics za MA zipo complicated sana!!! Tafuta nini jamaa wa NBA wanasema juu ya MA hasa Boston........zile endorsements zimesaidia kupunguza hiyo margin, ama sivyo ingekuwa balaa. Mie HRC aliposhinda NH kwa dizaini ile nikajua Obama kwisha habari yake hapa MA...kwani waliompa HRC ushindi kule NH ni "implants" wanaokimbia taxes in MA na wanaishi kwenye boarder towns and cities. Kwahiyo kulikuwa na ka-trend flani hivi......na kama Pats wangeshinda na kuwa na parade leo, basi hiyo ingekuwa ni balaa nyingine kwa Obama!!
Ila huyo bichwa Kennedy ni loser tu hana influence tena na ni mtu hatari uki-associate naye ktk general election. Huyo Kerry naye hana lolote...kashindwa na Bush sasa amebaki anahaha tu....
....acha hizo wewe,bila hao leo hapa States ungekuwa mbuzi tuu
Ebanae naona jamaa kachukua ND hapa.
Oya Champs(Koba na NN)
I hope hamtavuka kam-stari.....nina "chill pills" hapa kwa anayehitaji!!
Hii thread watu tunakula good tymes, "madaluga" ni kule kwenye thread za mafisadi.