US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Mimi napingana na nyie Obama amefanya vizuri kwenye hii debate esp part ya mwisho alipombana mama kuhusu suala la Iraq.

Nakubaliana nawe Rufiji, lile swala la ku-reverse mindset na kuzifanya zisiwe za kupenda penda vita sana nadhani imempa point nzuri dhidi ya Clinton.

Lakini itabidi ukubali tu pia kuwa, mama Clinton naye na kiusemi chake cha 'it took a clinton to clear after the first bush and it will take another clinton to clear after this bush' nadhani hii ni 'killer phrase' na selling point nzuri sana kwa voters.

SteveD.
 
Hawa wote walikuwa makini na kuogopa kubishana kusiko na maslahi...Wamejaribu kuonyesha mshikamano ndani ya chama.

Inaonekana wamerepair uhusiano wao(backdoor deals?)
301727166.jpg

Jaluo anarekebisha kilichotokea kwenye state of the Union?
301728292.jpg
 
Steve D ,

Nakubalina na wewe kwamba mama alimaliza na ile statement . Ila hapa jamani mama atapoteza kura fulani za latino kwenye suala la drivers license ! Ila nimemsifu Obama alipolikwepa lile swali la kuwa african america wengi wamekosa kazi kutokana na influx ya latino .....
 
Leo Mama kamaliza....when it comes to policy she's a wonk...You go girl
 
Leo Mama kamaliza....when it comes to policy she's a wonk...You go girl

Nyani,
... a naive wonk rather! leaving to repair and regret the consequences of her previous misjudgements for sending bush to iraq via her precarious vote!

SteveD.
 
Nyani ,

Umesoma New york times ya leo , hii stori itamuumiza sana mama.

http://www.nytimes.com/2008/01/31/u...?em&ex=1201928400&en=30526cefe8453a3c&ei=5070

Rufiji, hili swala la kujiondoa kutoka kwenye 'special interests' ndiyo maana Obama analikazania sana... special interests za akina Clinton zimezidi kusambaratika katika society ya Amerika, hivyo katika mambo ya fiscal reforms Obama anammaliza mama zaidi kwani ni rahisi kwake kumfananisha mama na akina Romney.

SteveD.
 
Steve D ,

Nakubalina na wewe kwamba mama alimaliza na ile statement . Ila hapa jamani mama atapoteza kura fulani za latino kwenye suala la drivers license ! Ila nimemsifu Obama alipolikwepa lile swali la kuwa african america wengi wamekosa kazi kutokana na influx ya latino .....

Hapa nakubaliana nawe pia, Obama kapiga bonge la chenga na kumwacha mama anashangaa, na hii chenga itamsaidia kuanza kujitenga na 'racial card' ambayo alionekana kuitumia indirect wiki iliyopita baada ya Clinton kurusha maneno ya kichonganishi kuhusiana na King.

SteveD.
 
Nyani,
... a naive wonk rather! leaving to repair and regret the consequences of her previous misjudgements for sending bush to iraq via her precarious vote!

SteveD.

...sounds like you've stayed up sippin' on that Clinton-hatorade...stay tuned for Supa dupa Tuesday...
 
The audience response was the same as that of Democrats across the country: they're happy with their choice this year, but they don't want to have to make it.

I thought overall, his position tonight was still that of the challenger, and she was effectively the incumbent. Barack Obama needed to peel votes away from Clinton. He made some progress on the Iraq issue. But how many Democrats are still more concerned about Iraq than about anything else?

To the extent that the debate was a draw, it helps Clinton.

Why? Because holding his own wasn't enough. Obama's task tonight was to make the case that there were huge differences between them. Just holding his own and looking presidential was not enough - he had to convince Democrats who like her that there's a reason she shouldn't be the party's nominee.

He clearly had command on the issue of Iraq. Six months ago that would have been enough. Now? I'm not so sure. It took a while for the issue to take center stage tonight, and that's no accident: Other concerns have come to the forefront.

In all, it was an unhelpful debate. They minimized their differences. Tonight's showdown will rally Democrats, no question – but won't help them make a decision. The biggest applause line of the evening came for the idea of the two of them together.

The debate doesn't kill momentum for either one. But does it help build any? His strong showing could very well help Obama. But how much - enough to overtake Clinton? I just didn't see that.
 
Andy Hiller my local reporter anadhani billary kashinda debate, its alwayz not good!!!
Nilikuwa kwenye game ya Celtics na Dallas, kwahivo debate sikuangalia. I hope Mr.C did well!!.
 
Kuepuka hizi bickering hawa wawili muwape ticket moja!

It will help the dems.
 
Ngoma droo, tunasubiri the Majestic Ticket Obama--Clinton or Clinton-Obama!
 
Obama is coming off a victory in South Carolina, the Kennedy endorsement and the announcement that he raised a record-setting $32 million in January, more than enough money to fund TV commercials in at least 20 of the 22 states at stake on Tuesday. In addition, the latest Gallup tracking poll shows Obama has narrowed Clinton's lead to just 4 percentage points nationally.

Nina wasi wasi sana na hizi polls alafu sijaziangalia siku nyingi ila baada ya Supa Dupa Tuesday mambo yatajulikana
 
...sounds like you've stayed up sippin' on that Clinton-hatorade...stay tuned for Supa dupa Tuesday...

Ooh yes, i was up to see the mild- dem-uniting debate! What a feat of unity huh?!

yo bruv, I ain't got chip on my shoulder, none whatsoever over that woman nor the husband, just recent observations... it's true you've been on the bandwagon for a while and probably have weighed ya options more clearly than of my recent drop in, and by the look of it you have a choice made.
But again like what both of them are saying, it is a year of transformation for america, new faces and new voters. And to that effect, neither you or i will be sole deciders of that supa dupa tuesday!! Btw, you casting vote this year or have?!

SteveD.
 
Paul A. Volcker(kwa wasio mjua huyu bwana please google, yupo interesting.....) ka-endorse Obama.......maana yake ni kwamba wall street pia wamo kwenye change-bandwagon. "Obanomics" that's the term used to describe the magnitude of this endorsement.
Utasikia, watasema oooooooh "endorsements hazileti kura"!! ebo, kama ni hivyo kwanini Billary wana-lobby watu wawa-endorse??
 
...but what do you think, a bane or boon?!

SteveD.
 
Kama endorsement zinaleta kura basi utakuwa umesahau yaliyomkuta Howard Dean mwaka 2004. Jamaa hadi Al Gore alim-endorse....
 
Obama is coming off a victory in South Carolina, the Kennedy endorsement and the announcement that he raised a record-setting $32 million in January, more than enough money to fund TV commercials in at least 20 of the 22 states at stake on Tuesday. In addition, the latest Gallup tracking poll shows Obama has narrowed Clinton’s lead to just 4 percentage points nationally.

Nina wasi wasi sana na hizi polls alafu sijaziangalia siku nyingi ila baada ya Supa Dupa Tuesday mambo yatajulikana

Hizi polls ziko kibao. Ni swala la kuchagua tu unataka zipi. Check sasa hizi:

http://www.realclearpolitics.com/epolls/2008/latestpolls/index.html
 
Paul A. Volcker(kwa wasio mjua huyu bwana please google, yupo interesting.....) ka-endorse Obama.......maana yake ni kwamba wall street pia wamo kwenye change-bandwagon. "Obanomics" that's the term used to describe the magnitude of this endorsement.
Utasikia, watasema oooooooh "endorsements hazileti kura"!! ebo, kama ni hivyo kwanini Billary wana-lobby watu wawa-endorse??

Nimecheka sana hilo neno,
 
Back
Top Bottom