Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
Sikujua kuwa rally crowds zinamaanisha mtu kashinda uchaguzi.....but I guess to the simple minded it is the case
Nyani by no means big rally means kushinda uchaguzi lakini kama "maelfu" ya watu wako tayari kukaa nje kwenye mvua na baridi kumsikiliza mgombea...tena siku ya Jumanne (siku ya kazi). Wakati huo huo mgombea mwingine ana cancel rally yake na kuamua ku i mvove ndani na bado wahudhuriaji sio wengi. That says much about these 2 nominee.
Ila kwa sababu wewe ni bingwa wa ubishi unaweza ku interprate vyovyote utakavyopenda wewe mkuu.