Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,866
Koba,
Hasira za nini kaka huku ni ukweli usiopingika? Kumbuka Florida 2000 kisha Ohio 2004.
Hizi kelele za kina Rove kama alivyotupa Capital Hill ni danganya toto, siwaamini hata kidogo.
Nitakuwa Thomaso mpaka nipokee ile Kavwasiye kutoka kwa Nyani, otherwise sishangilii najianda kwa reality!
Wazee lets not have our emotions get too ahead of ourselves and then out of hand. Inawezekana Rev. Kishoka anaona kitu ambacho sisi wengine hatukioni. Vile vile tuelewe kwamba anything can happen from now to the election day. Lakini kwa Obama supporters don't get down...this fight is still going ingawa tunaongoza kwenye hili pambano na mpinzani wetu kwenye red kona japokuwa anaonyesha "miguu ina give up" lakini hana sign ya kuanguka anytime soon, na anaweza kutumia njia nyingine ku to knock out kama referee haangali kwa karibu. Mpinzani wetu amejaribu kurusha viti, visu, sinki, nk, lakini tumeweza kukwepa...Lakini ni muhimu tuwe focused maana anaweza kutupiga kwenye "nuts" with one blow na aka tu knock out completely na yeye kuibuka mshindi in the final round. So don't give up and don't take them for granted.
Hahahahahaaaa...this election is over and Obama already has written his "inaugural speech"....ahahahahahahahaaaa.....I've never seen such arrogance in my life!!!! Un-fcuking-believable.....the entire so called mainstream media has already called the election.....so why are y'all fretting about? Heheheheheheheheeeee
Obama camp,
Uongo mbaya, with 8 days to go, natoa tamko langu la mwisho kutokana na hali halisi iliyoko sasa hivi.
John McCain atashinda uchaguzi kimizengwe! Hizo electoral college votes atakazoshinda itakuwa ni margin ndogo sana. Kutakuwa na voters and voting irregularity ya hali ya juu na wale ambao ndio tunaambiwa ndio council of America, watampa McCain uraisi kama fundisho la kujifanya yeye ni Maverick ili wamnusuru aibu na kumfanya McCain awe mtumwa wao na kibaraka.
So McCain wins but all the maverick talk, country first and straight talk express will be flushed into Potomac river. Kazi itakuwa kudindiana na Democrats ambao watakuwa wameshikilia Bunge zima!
Nyani Ngabu na The Truth hongereni!
Mimi wasi wasi wangu ni wizi wa kura, voting machine kutokufanya kazi halafu wale wabaguzi ambao kwenye opinion polls wanasema wanamuunga mkono Obama, lakini kwenye chumba cha kupigia kura wakabadilisha mawazo. Obama akishindwa itakuwa siyo pigo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima. Let's hope for the best

Ni kweli Obama kapagawisha watu. Lakini ni matusi sana kwa wamerika na raia wa dunia hii kusema kwamba eti akishindwa itakuwa pigo duniani kote. I hope wenye nchi hawatakusikia, maana wakikusikia wanaweza kubadili kabisa mawazo. Huu ni ujinga uliotukumba Tanzania mwaka 2005. Media ilijenga mazingira kwamba hakuna aliyefaa kuwa rais kwa nchi yetu isipokuwa JK. Ukweli ni kwamba bila Obama au MacCain, Marekani itakuwepo na dunia itakuwepo.
Mwenzako pia nilikumbwa na uwenda uwazimu mwanzoni kwamba Democrats wasingemsimamisha Fighter Hillary wasingeshinda, lakini ona leo Obama anavyotesa. With hindsight, naona ni sawa kabisa wana democrats kumpitisha huyu ndugu yetu agombee maana amewarudishia nyota yao.
Ifike mahala tuelewa kwamba mchango wa mtu mmoja ni mmoja tu, na ukiuondoa dunia haiwezi kugeuka!!
Nakubaliana na mengine uliyosema lakini sikubaliani na hayo yenye rangu nyekundu. Obama hatesi mtu. Labda unambie anatesa watu kama kina Bubu na Susuviri. Nakwambia Kitila Novemba 4 mtalia ubaguzi hadi machozi yawakauke....McCain si going to win this thing, period.

Hivi si nyie ndio mliokuwa mna m count Obama out from that day aliposhinda Iowa Caucus? Oh hataenda popote, hafiki mbali, Oh Wamarekani hawatachagua mtu mweusi kuwa nominee wa Democrat, oohh...blah blah kibaao...Obama has proven you wrong not once not twice.
Kama vile Tiger Woods alivyosema "Hello World" na watu wakawa wanamuona chizi...matokeo yake..akaanza ku blow out his competitors..
Lets sit and wait...because this part of the story is so sweet. Na kwa wale mnaofikiria Bradley affect...Don't count on it...haitatokea this time.
Mimi wasi wasi wangu ni wizi wa kura, voting machine kutokufanya kazi halafu wale wabaguzi ambao kwenye opinion polls wanasema wanamuunga mkono Obama, lakini kwenye chumba cha kupigia kura wakabadilisha mawazo. Obama akishindwa itakuwa siyo pigo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima. Let's hope for the best
Endeleeni tu na vi analysis vyenu uchwara.....