Aisee rev nimeisikia hiyo ya Michigan....babu kachanganyikiwa
......aisee lazima tumpe mama kaji-credit kidogo........hata kama ni kukariri alivyofundishwa namna ya kujibu kwa kweli amejitahidi sana (pamoja na kukwepa kujibu maswali kadhaa)..........just compare her today's performance with her own recent interviews........leo kafanya vizuri .....lakini hakumzidi Biden