US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Rev umesikia nyundo la Biden that John McCain's healthcare is a Bridge to nowhere! Alafu akampiga nyundo nyingine that McCain is not ready to sit down with SPAINnnn! He is doing his job! Kisura thinks it's about her, she actually winked at the camera!
 
Hilo swali la Nuclear weapons kalishindwa na kalipoteza. Anafocus on Korea na Iran lakini anasahau free trade ya arms trade inaweza kusababisha Nuclear arms kuingia kwa free wheelers ambao si nchi.

Imagine Cartel in Medelin wakihonga watu wa Ukrain, Georgia au hata Korea na Pakistan, kama yule jamaa Khan wa Pakistan alivyofanya! Au Alikeda, ETA au IRA wazipate japo chembechembe!

She should have gone deep on that but she gave a vague answer and rushed to Afghanistan!
 
She cramed everything, just after looking like a fool on the never ending Couric interview!

Sasa anaonekana sawa na wale wanafunzi ambao wanasomea Paper, wafaulu huku ni vihiyo watupu!
 
She is failing to answer about genocide and rushing about voting record! phew!
 
She is failing to answer about genocide and rushing about voting record! phew!

Unajua it is obvious, Palin gives the high school girl answer then Biden gives the grown up answer. She is out of her league and just spewing out talking points doesn't show understanding. Hiyo ni aibu sana!
 
She is failing to answer about genocide and rushing about voting record! phew!

Acha hizo wewe mchungaji feki.....kajibu swali kuhusu Darfur...wewe vipi wewe? Kisura kamaliza Biden....mlidhania ataboronga....mmechemsha....y'all fell for the okie doke......
 
Na wewe Susu acha kutoa vi "thanks" vya kinafiki kwa huyo mchungaji feki.....keshalewa mipombe michafu huyo (kimpumu na chibuku)
 
Nyani,

Endelea kuchemsha Kavyasie yangu, ukimaliza ichimbie ardhini ipevuke (fermentation) for the next 30 day, November 5, nakutumia DHL waje kuichukua nyumbani kwako!
 
Na wewe Susu acha kutoa vi "thanks" vya kinafiki kwa huyo mchungaji feki.....keshalewa mipombe michafu huyo (kimpumu na chibuku)

Drill baby drill, oops sorry it is boil ferment baby boil ferment! endelea kuchemsha Kavyasie yangu!
 
Ahahahahahaaaaaa....Kisura won because hakuharibu......ahahahahaaaaaaaa.......
 
I'm sooooooooooooooooooooooooooooooooo..............haaaaaaaaaaaaaaaaaaappppppppppppppyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
Ahahahahahaaaaaa....Kisura won because hakuharibu......ahahahahaaaaaaaa.......

My God!!! The party of Ronald Reagan, Henry Kissinger, mmebakikufurahi kwamba VP candidate wenu hajachemsha???? Hii ni aibu tupu!! Her role as VP candidate is to attack the presidential candidate of the opposing party, and to articulate the policy of GOP , kabaki kusema Maverick! Biden alimshushua vibaya sana!!!!
 
Susu,

She had coached answers, recited everything and that is sad! She can not stand her own, mtafuteni in a week mpeni maswali magumu, she will wilt like a waffle!

She might have perfomed well, but it was clearly an act like an actor in a movie memorizing the lines given by the director and screen writer!
 
Hmmmm, Sijui what to make out of this...lakini duh mama anajua kukwepa maswali....Strangest Debate!!!
 
Back
Top Bottom