US Election Coverage 2008

Nyani,
NFL season ndio inakaribia kuanza, vipi li-Falcons lipo safi au ndio bado mdebwedo? Sie hapa tupo 0-4 kwenye pre-season, lakini guyz wapo ready to go and we're looking forward for a great season.
 

Ted Stevens yupo indicted na Feds, Repubs wenzake karibia wote wamemruka including kichaka...kesi itamnyea na pengine kwenda lupango kama Duke Cunninghams...

Ni kweli Alaska kuna rushwa za ajabu sana, hata huyu mama aliunga mkono "bridge to nowhere" kabla hajawa against it!! Palin ana dirty laundry mingi sana, time will tell.
 

TED aliomba kesi hiyo irudishwe maeneo yake ya kujidai, Alaska toka DC ili akanunue ushindi dhidi ya kesi hiyo, jamaa wakamtolea nje.
 
Nyani,
NFL season ndio inakaribia kuanza, vipi li-Falcons lipo safi au ndio bado mdebwedo? Sie hapa tupo 0-4 kwenye pre-season, lakini guyz wapo ready to go and we're looking forward for a great season.

Man...thank God it's football season again. Sina imani na Dirty Birds....tokea Michael afungwe morali ya timu nzima ik chini sana. Halafu cha kusikitisha ni kwamba timu nzima ilikuwa ni kama ya mtu mmoja na sasa huyo mtu hayupo basi hata washabiki na wapenzi wake wameitosa. Natumaini watakuwa na season nzuri. BTW, I have always been an New England Patriots fan ever since Tom Brady took the helm. I'm not sure if they'll duplicate last season's success but I sure hope they do well. Hivi schedule ya season hii umeiona? Nataka kujua kama watacheza na Colts na mchezo utakuwa wapi...
 

Hii kitu mbona inahamishwa hamishwa sana ebo!!!!

NM sidhani kama dirty birds wataruka mwaka huu....maana duh hadi season ticket holders walianza kuwaditch ata kabla season haijaisha mwaka jana....Itabidi uanze kuwashabikia Dreamers tuu well Hawks nao naona walijitutumua sana season iliyopita.
 

Lazima kucheza na Colts kwani wapo conference moja! Schedule nimeichungulia kiana...game la Pats na Colts litakuwa in Indiana Nov 2nd 8:15 pm na litarushwa hewani na NBC (your local channel) kwa hapa kwetu itakuwa kwa WHDH News Seven, Joe Amorosino atakuwa anakandamiza..LOL

Unaweza kuicheck schedule nzima kwa google " NE Patriots 2008 schedule"...

Sidhani kama itakuwa kama last season kwani kuna injuries na Brady hayupo fit kihivyo na ukichangia penzi la Gissele basi taabu kweli...uzuri namba 81 bado yupo, so expect ma-touchdown ya kukufanya uzimie!! Wamekata sana watu leo, pia Faulk kakamatwa na "msuba" so hatocheza game one ambayo nadhani ni against Chief next sunday....
 

Hivi kwa niin hawa NFL kila season Colts wanakuwa kwao wakicheza na Pats...? grrrrrrrrr.....dizaini kuna conspiracy flani hapo....
 
TED aliomba kesi hiyo irudishwe maeneo yake ya kujidai, Alaska toka DC ili akanunue ushindi dhidi ya kesi hiyo, jamaa wakamtolea nje.

najua kuwa politics za Alaska hazijatulia, sijui ni kwasababu wana pakana na Russia!?? LOL

Unajua Federal Prosecutor wa hii kesi ya Ted Stevens!? kama ni DC natamani sana wangempa Fitzigerald halafu watuonyeshe kwenye CourtTV....babu mshenzi sana yule!!.
 
Hivi kwa niin hawa NFL kila season Colts wanakuwa kwao wakicheza na Pats...? grrrrrrrrr.....dizaini kuna conspiracy flani hapo....

Mie napenda Peyton Manning, kwani nadhani yupo entertaining zaidi ya Tom Brady!! Umeona ile AD ya Peyton/Eli against Venus/Serena? inapendeza sana...unajua kwamba hiyo Nov 2nd ni siku mbili kabla ya uchaguzi? mie naamini kama Indiana watashinda basi Obama nae atakuwa kidedea tuesday yake...forget mambo ya "the tribe" (Washington Red Skins)...mimi na wewe, unaijua namba yangu ya simu!!! hahahaha, sijasahau my mid-western roots.
 

I'll hit you up soon....possibly tomorrow.....
 
Republican they're sick, i cant believe wapo watu wanamtetea huyu VP wa McBush kwamba ana experience. Huyu mama alikuwa kwenye city councel ya mji huko Alaska wenye wetu 9000. Wengine wana suggest kwamba ana foreign experience sababu Alaska iko karibu na Russia. Can that non sense be a solid argument?

As John kerry Jana asubuhi kwenye this week na george, alisema this is desparate ya McBush, sababu anachofanya hapa ni kucheza politics card. Huyu mama anaweza kuongea na Ahmadinajad au waziri mkuu wa Russia? Huyu mama amechaguliwa sababu McCain ana babysitt right winger orthodox. Kina Rush Limbaugh, Sean Heanitty and the Great. Lakini conservative kama Michael Savage wameita ili chaguo kwamba ni non sense.

Hii ni big dice, lakini inaweza kuwa na faida. Kwenye dibate huyu mama anatacheza kama victim, joe bidden ni popular wa kushambulia, na akimshambulia sana wanawake wanaweza kuwa energetic kuwa behind republican. Kingine huyu mama ataamsha shamra shamra ndani ya republican. Lakini kibaya muda wa kumtambulisha huyu mama ni mdogo.

For god sake wakishinda tena republican mimi naamia zangu kwetu Lushoto, huu ni wehu.
 

...Anko, hiyo inaitwa "political curve ball"!! Nadhani unajua baseball. Hiyo argument ya kwamba alikuwa mayor wa 9K town ipo tricky ile kichizi kwasababu ina offend watu wengi sana kwenye smalltowns!! out of the table.

Kimsingi huyu mama ni Gov wa state ambayo watu wote ktk state ni sawa na robo ya watu wa Brooklyn, NYC (think Mayor Bloomberg wa NYC)..au ni sawa na one third ya pop ya watu wa Middlesex County ambapo mie naishi, so think of my commissioner!! Hii kitu nzima ni joke, lakini babu anajifanya a great pitcher the likes of D-Mac!! Its a gamble, let's wait and see how its going to play out. Sad!!
 
Today's numbers show a one-point improvement for McCain, but Obama still leads 47% to 44%. When "leaners" are included, it's Obama 49%, McCain 46% (see recent daily results). Obama is now viewed favorably by 57% of the nation's voters, McCain by 56%.
 

Yaani hii kitu bado tight tu? Obama should be like 45 points ahead right now....Lol
 
Naomba nimshukuru mwenzetu wa JF Obama Team naomba muangalie hapo chini criminal record 4 za huu presemptive nominee Vice President wa USA (GOP) DUh, hata Cheney atamwona huyu mama kiboko! Kaanza mapema hivyo!
 
Yaani hii kitu bado tight tu? Obama should be like 45 points ahead right now....Lol

Hizo Poll zote ni geresha tu Gore aliishasema kuwa uchaguzi huu sio close. Kuna hujuma Obama anafanyiwa na Forces of status quo and lobbyist ambao ndio wanamiliki servey centres. Obama anaongoza na utaona siku ya uchaguzi ni land slide Obama anashinda, Labla waibe kama 2000 na 2004
 
Teen daughter of GOP VP pick is pregnant

ST. PAUL, Minnesota (CNN) -- Bristol Palin, the 17-year-old daughter of Sarah Palin, is pregnant and will keep the baby and marry the father, a senior aide to Sen. John McCain confirmed to CNN Tuesday.

Republican presidential candidate McCain was aware of Bristol Palin's pregnancy before he chose her mother for his running mate, the aide said.

"Senator McCain knew this and felt in no way did it disqualify her from being vice president," said the aide. "Families have difficulties sometimes, and lucky for her she has a supportive family."

The 17-year-old, a senior in high school, is about five months along, in her second trimester, according to the aide.

The aide said it was decided the campaign would reveal this information now because of rampant Internet rumors that Sarah Palin's 4-month-old baby, who has Down syndrome, was actually Bristol's.

"In the course of correcting that, we needed to get the truth out," said the McCain aide.

Sarah and Todd Palin issued a statement saying they are "proud of Bristol's decision to have her baby and even prouder to become grandparents."

They also asked the media to respect their daughter's privacy.

The McCain aide insisted a key point to keep in mind is that Bristol decided to keep the baby, a decision "supported by her parents."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…