Masanja,
..umeishamsikia Dr.Ron Paul? alishindwa kwenye primaries za Republican. yeye alikuwa ana-propose a total dis-engagement of US military from foreign countries.
..nilisikia kwamba ana matatizo yake ya Racism, lakini kwa kweli anachokisema kuhusu US foreign and military policy nadhani nakubaliana nacho kwa kiasi kikubwa. they would never give him much publicity, kwasababu ni kama alikuwa anawa-expose conventional Republic candidates.
..kwa kweli George Bush amelikoroga kwelikweli. ndani ya Marekani wananchi wanataabika na hali ngumu ya uchumi. nje ya Marekani nchi changa zinataabika kwasababu ya ubabe wa Marekani.
Unajua wengu humu tuna mitizamo tofauti na hizi campaign za USA, which is good.. I as one, naangalia effect na consequences za kila kiongozi anayegombea kwa mustakabali wa maisha yetu especially third worlders. After all mustakabali wetu bado unategemea kwa kiasi kikubwa maamuzi ya USA na washirika wake ndo maana sikio lote liko US! Mfano kama tension ya kuivamia Iran itaendelea, basi tujue kabisa kwamba supply ya mafuta itazidi kudorora na wanaoumia ni ndugu zetu wa kima cha chini sana wanaotegemea dala dala na usafiri usioeleweka. Forget the politics of alternative energy, for now, we in poor countries we dont have that luxury.
Hivi watu mnaongelea mafuta ughaibuni..mfikirie mtanzania wa kawaida na mshahara wake wa 80,000 anayepanda dala dala kila siku...Its tragic I tell you! mshahara wote unaishia kwenye dala dala....
Kifupi I think Obama hata kama akiendeleza sera za USA, ila atakuja na different tone...aweze kuwasikiliza na kuwa accomodate wengine. Which the world badly needs. Jamaa siyo MBABE. In international politics, hiki ni kitu kikubwa sana for USA to do, just kuwa msikivu tuu! Kauli ni kitu muhimu sana na unavyoitoa ina matter. Bush ametufikisha hapa kwa kauli zake za kibabe na kizandiki, Africa tunategemea mafuta kuendesha maisha yetu...But with the current Bush policies..we are doomed.......Thats what we are gauging and looking at when we are discussing the politics of USA now!
For the rest tunaoangalia preferences..its our right, but as an African or a third world person I dont have that luxury ya kuangalia mambo kwa ushabiki! My realities dictates otherwise. a humble, listening, accomodating and considerate person in the WH..will do a world a great service and for now I think Obama is that voice.
Ila tukisema tujifikirie wenyewe, elites, bila kuangalia bigger picture the effects za huu uchaguzi we can do so......though ukweli unabaki..the world is now in a dire need of a strong and responsible and listening USA leadership! among the two, Obama can offer more than Mccain.
REMEMBER TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS EXPECTED!
Manji supporter!
You asked about hig gas prices. and what Obama is planning, mbona inaeleweka, one thing Obama is not doing (and he won on that while HIllary and McCain fared badly on this issue) is to give tax holiday!
Na kibabu chako itabidi aelezwe that this idea imepitwa na wakati na economists wote (left and right ) hawaitaki na wanasema siyo solution, but then kibabu nacho kimepitwa na wakati
His strategy is change......
Change for the worse it sounds like. But I am not too worried about Obama, he is not going to win.
binafsi sina interest na ati "jinsi gani nchi za dunia ya tatu kama bongo zitakavyonufaika na uchaguzi wa USA."!! mie naangalia maslahi yangu hapa nilipo na ndio maana sitaki Makopo ashinde...........ninyi mliopo bongo komaeni na Sisiemu mpaka kieleweke, na sio kutegemea Rais Obama au Makopo apunguze bei ya mafuta na blah blah blah!! kama bei ya mafuta ipo juu, basi endesha baiskeli kwenda kazini au tembea kwa mguu...ebo, ebu acheni uvivu bwana!!. matatizo mengine ya watu wa bongo ni ya kujitakia tu...........
Mkuu kauli kali sana hiyo.....wamekuudhi nini leo😕
Ngabu i doubt ur IQ or may be unakuja hapa kuleta ubishi tuu,big supporter wa Hillary leo unajifanya 100% babu makopo...Obama/Hillary believe in Democrats principles na 95% of the time voted together na hata Hillary amesema it'll be beyond ignorance for anyone to vote for Babu makopo McCBush,sasa wewe sijui unasimamia wapi au ni yale mabigoted ambayo yanavote color,huyu mwenzako manji tunajua inawezekana ni muhindi na tunawajua tabia zao na ndio maana bila aibu ameanza kutuletea ushuzi wake wa Jindal,una shida sana wewe na unaonekana hujui chochote zaidi ya ushabiki tuu wa radio za kina Hannity na Limbaugh mla dawa
Nyani should I burst a kid's bubble? sijachangia hii mada na nadhani wakati umefika...
binafsi sina interest na ati "jinsi gani nchi za dunia ya tatu kama bongo zitakavyonufaika na uchaguzi wa USA."!! mie naangalia maslahi yangu hapa nilipo na ndio maana sitaki Makopo ashinde...........ninyi mliopo bongo komaeni na Sisiemu mpaka kieleweke, na sio kutegemea Rais Obama au Makopo apunguze bei ya mafuta na blah blah blah!! kama bei ya mafuta ipo juu, basi endesha baiskeli kwenda kazini au tembea kwa mguu...ebo, ebu acheni uvivu bwana!!. matatizo mengine ya watu wa bongo ni ya kujitakia tu...........
Nyani should I burst a kid's bubble? sijachangia hii mada na nadhani wakati umefika...
Karibu sana huku, lakini unahitaji pumzi hasa. Nyani ana matatizo na hataki kusikia ushauri; nilimshauri kitambo kuwa sio lazima ujadiliane na kila mtu-wengine unaweza kuwaweka kwenye ignore list-yeye hataki, matokeo yake ndio hayo sasa anaambiwa ana matatizo ya IQ, it couldn't get worse....
.....kwa hiyo una suggest ngabu aniweke kenye ignore list maana ni mimi nilimwambia ana IQ ndogo au?una akili mbovu sana wewe za kununa nuna kama demu na unachoona ni hicho tuu katika post zaidi ya 1000 nilizopost...kuna mambo mengi sana tuna exchange good ideas na ngabu na calling names goes both ways (no big deal) na ingekuwa kila name calling tuna take offence tusingekuwemo humo...mpuuzi sana wewe!