Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
SUV,
ukiona hivyo basi ujue ka-skip dose yake ya anti-psychotic meds....maana huo "NN" ni mtambo wa nguvu, usijali sana!!! bwahahahahaha
Duh! naona rafiki yangu leo kweli alikuwa amewaka! maana nilitoa ofa ya kwenda spa a-relax kidogo naona ndo sasa imekuwa kesi! Lakini NN anatuchangamsha humu ndani!