DAR SI LAMU said:
..unajua,huyo mama hana akili hata kidogo. she's so cheap!
..nyani,matamshi ya mama[mtu ambaye anategemea awe na busara za kuendesha nchi]ni ya kitoto na ya kutowajibika kabisa. simply,anakubali ameshindwa!
Dar-Si-Lamu,
..Mama hakumaanisha kwamba anasubiri kuona kama Obama atakuwa-assasinated. nadhani ppl are just paranoid, na wengine wana ajenda ya kumuua HRC kisiasa.
..HRC alikuwa akielezea kwamba KIHISTORIA ziko Democratic primaries ambazo ziliendelea hata baada ya mwezi June.
..Zaidi HRC alieleza kwamba Bill Clinton ali-win nomination in June. Halafu akaongeza RFK alikuwa assasinated in mid June. Kwa msingi huo, the democratic primary which RFK was contesting was still not decided by mid June. That is a Historical Fact.
..Labda ni mimi tu, lakini naamini kabisa mtu yeyote makini akisikiliza interview nzima ya HRC atafikia conclusion kwamba huyu mama wa watu hakuwa na maana ya kusema kuwa Barack anaweza kuuwawa au yeye HRC anasubiri kuona kama Barack hatauwawa.
..Binafsi nadhani watu ambao ni IRRESPONSIBLE ni hawa MA-PUNDIT wanaosisitiza kwamba matamshi ya HRC yanahusu a possible assasination on Barack.
..Kuongezea tu Sen.Ted Kennedy aliamua kumpinga Raisi wa chama chake Mzee Jimmy Carter. Ted Kennedy alikuwa na kura chache kuliko alizonazo HRC, lakini aliendeleza kampeni zake mpaka kwenye Convention.
..Sasa hivi Ted Kennedy anam-support Barack Obama na ni kati ya wale wanaomfokea HRC asitishe kampeni yake.
..Fikiria shutuma ambazo HRC angepewa ikiwa angekumbusha kampeni ya Ted Kennedy, ukizingatia kwamba Ted sasa hivi anasumbuliwa na brain-tumor.
NB:
..nadhani hizi habari zinapindishwa ili TV ratings ziende juu. hapa nawazungumzia MSNBC.
..CNN walimpa nafasi campaign manager wa HRC kutoa clarification did not report the incidence any more. kuna channels nyingine hata hawajalizungumzia hili suala kwasababu halihitaji hata maelezo.