US Election Coverage 2008

Oh Robert KKK Byrd has endorsed Hussein Obama.....bwahahahahaaaa

Sijakuelewa Nyani! Hapa the joke is on Hillary ambaye ni champion wa hardworking Americans AKA white Americans. Sasa mpaka Byrd amemtosa, ina maana Hillary anawadanganya hao West Virginians ambao wana elimu ndogo.
Byrd is one of the most respected Democratic senators ambaye amekiri kutoka mbali na kujifunza mengi kuhusu civil rights. This is good news hata ukitaka isiwe hivyo.
Kibibi chenu Ferraro naona is a sore looser na ameanza kuongea pumba eti hatampigia kura Obama kumbe she is working for McCain lobbyist firm!

Sasa 2 failed Democratic VP are advising McCain - Joe Liberman and Geraldine Ferraro! Kwikwikwi
 
And how many Democratic presidential wannabe losers are supporting Hussein Obama..?

Screaming Howard Dean, Flip-flopper John Kerry, $400 Haircut Edwards, Ted 'Fathead' Kennedy, Jimmy 'the worst US president in modern American history' Carter aka Terrorist appeaser, Bill 'Ngongoti' Bradley, Jim McGovern, and the list is endless....
 

That's ok, maana it is within the party, lakini you don't have failed Republican VP candidates crossing over and supporting Obama! Hahahaha!
Your argument would be valid if we were takling about Hillary. Don't confuse Hillary and McCain! They are not in the same party although they could be....
 

Sijakuelewa kabisa...
 
Halafu Hussein Obama leo alikuwa analialia eti wamwache kumsema vibaya mke wake....what ze ***? She's fair game....but the guy doesn't get it! Another proof of inexperience.....
 
Sijakuelewa kabisa...

Ok, let me keep it simple:
McCain = Republican
Lieberman = Democrat failed VP
Ferraro = Democrat failed VP

So Lieberman and Ferraro crossed party line to advise/support MCain

Obama = Democrat
Hillary = Democrat
McGovern = Democrat failed VP candidate first supported Hillary then Obama
Dean = Democrat - neutral
Kerry = Democrat endorsed Obama
Sasa hapa ungetaka kufanya tit for tat ungeniambia Bob Dole endorsed Obama we are even. Lakini Democrat kumendorse Democrat mwenzake ni kitu cha kawaida, Losers crossing party lines to endorse Babu is not good news.
 
Halafu Hussein Obama leo alikuwa analialia eti wamwache kumsema vibaya mke wake....what ze ***? She's fair game....but the guy doesn't get it! Another proof of inexperience.....

Weee! Huyo Cindy McCain alivyosema wasimfuatilie na pesa zake?! no way! Obama amefanya something very strong, because he made GOP look like very low class, na wasipochukua ushauri wa Karl Rove na kuacha personal attacks against Obama and his family, watashindwa vibaya sana. Karl Rove na slimeball wake wote is a shrewd operator na aliwashauri GOP wasim-attack personally or smear Obama.
GOPers are the girly men, wamebaki to do some underhand attacks about candidate's wife, wamekosa point za kuongea. Hebu tuongee kuhusu hao ma-lobbyists wanaofanya kazi na Babu! Now that will come back to bite them in the ass!
 

Listen, your guy should understand that his 'cute' little pumpkin is fair game so long as she puts her ass out there on the campaign trail...
 
Listen, your guy should understand that his 'cute' little pumpkin is fair game so long as she puts her ass out there on the campaign trail...

Sure. just like Cindy McCain will be fair game with her history of stealing drugs from her own charity.... [[sigh]] Sijui kwa nini unashindwa kuelewa kwamba the poltics of smear is coming to an end, people are tired and will vote on issues, we kaa unashabikia ujinga wa GOP. Hata some within your precious Ole Party know that there's serious trouble!
 

Fine, let Cindy be fair game. I have no problem with it. What I have a problem with is you left wing crazies whining and moaning every time you get criticized. Toughen up, damn it!!
 
Nyani umesahau South Carolina primaries za Republican 2000? Ile picha ya "Baba" yako akiwa na kitoto cheusi wakasemaje vile tena wale malepablikani walio walokole? Helll to ze no, Awwnaw to the darky! Sasa hivi ndio mgombea wao sasa ile one drop syndrome ndio inkunkuaje tena?
 
Eee bwana kumbe bado watu wana uchungu, inaonekana hii campaign ya kuelekea Novemba itakuwa kali. Naisubiri kwa hamu sana. Hebu soma hii email ya mama moja wa huko Oregon.

 
Eee bwana kumbe bado watu wana uchungu, inaonekana hii campaign ya kuelekea Novemba itakuwa kali. Naisubiri kwa hamu sana. Hebu soma hii email ya mama moja wa huko Oregon.

kaka kitila,
...usinichekeshe, hivi unaamini kabisa huyu ni mtu tu wa kawaida aliyeandika hiyo email?? na unaamini kabisa kwamba kafanya research? kipi hapo ambacho ni kipya? emails kama hizo zipo kibao........lengo la email hiyo ni kumpunguzia maumivu mama ktk primaries za leo kule Or, lakini its too lil' too late!!
 
Eee bwana kumbe bado watu wana uchungu, inaonekana hii campaign ya kuelekea Novemba itakuwa kali. Naisubiri kwa hamu sana. Hebu soma hii email ya mama moja wa huko Oregon.

Lol...hizi email mbona zinatumwa sana tuu wanazibadilisha kidogo lakini contents ni zile zile...zinakuwa kama 419 sasa maana ukisoma mistari ya mwanzo unajua itaisha vipi.
 
Lol...hizi email mbona zinatumwa sana tuu wanazibadilisha kidogo lakini contents ni zile zile...zinakuwa kama 419 sasa maana ukisoma mistari ya mwanzo unajua itaisha vipi.

Ebwana si unajua Vernon Jones anagombea useneta sio.....what is funny is....eti anasema alimpigia kura George Bush mara zote mbili (2000 na 2004) na eti yeye ni conservative....bwahahahahahaaaa.....ukisikia pandering ndo hiyo sasa.....anajua Georgia ni red state na hawezi kushinda jimbo zima kwa kura za weusi tu.....bwahahahahahaaa
 

ha ha that is some funny issh...ila yule msela naye ni controversial figure nilikuwa nasoma handling yake ya issues za cops kupiga raia risasi na jinsi alivyomhire yule jamaa ex Dallas Police Chief....sijui kama atashinda lol... Ila hiyo statement imenichekesha sana.
 
Mimi nahisi MacCain anaweza akaamua kujitoa kwenye kugombea kabla ya November, unless ana roho kama ya fighter Hillary. America mwaka huu imekumbwa na ghalika!!

..this's another one,for y'all!

..[media]http://graphics8.nytimes.com/images/2008/05/18/us/politics/obama-oregon533.2.jpg[/media]
 

It's true man...I'm not making it up....as funny and weird as it may sound...he said it. For anybody who wants to win in the south, you have to be a conservative. Hata wale jamaa walioshinda MS na LA, wote ni conservative (at least walisema hivyo) democraps......ila hii ya Jones ni ya mwaka
 
..wakati napitia picha za portland,oregon.

..[media]http://graphics8.nytimes.com/images/2008/05/18/us/politics/obama-orego3.jpg[/media]

..mwangalie vizuri huyo demu mwenye red or so dress!

..brazameni?
 

Ha ha mkuu hii kitu kila nikiikumbuka nacheka mwenyewe lol...ila yule jamaa naye duh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…