US Election Coverage 2008

...Uncle Teddy "fathead" Kennedy, anaumwa, mahututi hapo MGM!!!! wansema inaweza kuwa seizure au stroke.......pigo kubwa sana kwa kampeni ya Obama!!! maana bwa'mkubwa alikuwa anakata weight na kufanya mazoezi kujiweka fit tayari kwa ku-swing na Obama coast to coast this summer.....lakini kumbe mungu naye ana mipango yake mingine!!! mungu amrudishie uzima mapema, amin!!.
 

Nimeona kwenye news jamaa amelazwa, Mungu amjalie apone.
 

mmmmmmh yaani upo siriasi kabisa kwamba BHO kamuiga Kikwete?? ama kweli ushabiki ni kitu kibaya sana.....
 
Nimeona kwenye news jamaa amelazwa, Mungu amjalie apone.

..amin, MGM ni world class hospital....kihospitali yupo kwenye mikono ya uhakika, ni mungu tu hapo!!! ila mie wasiwasi wangu ni kukosekana kwake kwenye campaign trail.........Teddy bwana ni very entertaining politician, hata ma-haterz wake huko GOP wanamkubali!! tena alikuwa pia kapunguza kukata kinywaji....jamaa was gearing himself to campaign heavely for Obama!!
 

Niemona MSNBC wanadai jamaa amepata fahamu na alikuwa anajoke na family members.

Ulivyosema kuwa ni entertainer nikakumbuka alivyokuwa anaimba nyimbo za kispanish Texas...that was funny.
 

That is great news to us in camp McCain....
 

Nah...I think more than anything it's Clinton fatigue that took down the Clintons. Baraka unampa ujiko wa bure tu. He just happened to run at the right time.
 
Jamani nasikia Uncle Teddy "fathead" Kennedy kavuta...hivi ya kweli haya; niko mbali na luninga hivi sasa...hebu nipasheni....:-(
 
Jamani nasikia Uncle Teddy "fathead" Kennedy kavuta...hivi ya kweli haya; niko mbali na luninga hivi sasa...hebu nipasheni....:-(

Lol hajavuta bana!!! alafu uko mbali na luninga lakini una access ya net lakini hujataka kutafuta news..

Nyepesi nyepesi zinazoingia sasa hivi ni kuwa Fundraisers wa BO na HRC wanazungumzia a possible merger.
 
No...nimepata mail tu kutoka kwa mshkaji akisema hizo ndo habari za kuvunjika "breaking News". Kama si kweli basi, ntatweta sasa....boksi mshkaji....
halafu mi wananiuzi kweli hao wanaotaka kuwakonekti hao watu wawili, basi tu!
 
Apparently sio kwa mapundits wetu wa hapa JF.


Ahaaa haaaa; kwenye hii thread hakuna mapundits. Kuna mashabiki tu wa Obama na Hillary.

Binafsi nilishakubali, japo kwa uchungu, kuwa hii kitu imeshakwisha. Hakuna cha kusimamisha uteuzi wa Obama zaidi ya miujiza! Kwa kuwa mimi ni mshabiki wa miaka mingi wa Demcrats, tutakuwa kwenye train moja. Sijajua ni akina nani watakaokuwa kwenye train ya MacCain.

PS: Ningeshauri kichwa cha hii thread kibadilishwe. Sijui kwa nini kiliitwa kinavyoitwa. Labda sasa tungesema Obama vs MacCain...
 

Kweli humu tupo mashabiki tu! Sasa hakuna haja ya uchungu lakini maana lengo ni kuhakikisha kwamba hakuna 4 more years of W Bush! Huyu McCain is 4 more years!
Kichwa cha habari cha thread hii ni sawa maana tokea mwanzo mada ni Obama, na itaendelea kuwa Obama mpaka atakapoapishwa kuwa POTUS!
 

Kwenye train hii atakosekana NN tuu...
 

Yeah, ni washabiki tu kwani ya marekani sisi ni kushabikia tu wala hakuna cha maana sana kwetu...unadhani wewe hukua unashabikia tu?
 
bana unafikiri wazungu chicha watamuacha kaka yetu awatawale. Malekani asilimia 75 ya maraisi wameuwawa. Wote ni chicha, sasa fikilia ya Obama. Amewazidi ujanja lakini hapewi kitu. tutaona kama panya atamfunga paka kengere
 
Aisee Jaluo kweli jeuri! Yaani watu wamepiga blahblah kuhusu wazungu hawampigii kura, kaenda huko Oregon kavuta watu 80,000!!!!! Hii kiboko, na kaweka historia!

OBAMA 08
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…