Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 83
Ngabu hakuna lolote...Huyo mtu mzima akiwa hapo hapo nyumbani kwake hasemi lolote na najua kavurunda...Anasubiri hadi asafiri nusu ya dunia ili akaseme sio....Uchaguzi uko hapo US sio Israel. Na hata huyo mshkaji wake Ehud Olmert ana skendo ya rushwa wanayomshikia nayo kidedea.
Na ulisikia kaamua kustop by Saudia ili akaombe msaada wa kuongezewa mafuta, jamaa wamemtolea nje. Wamemwambia hilo ni tatizo lake wao Wasaudia supply yao iko bomba tu, sehemu zote duniani.
Na wenyewe Republican wanasema kama name brand yao ingekuwa chakula cha mbwa, basi tayari ingeshatolewa madukani, imevunda......
Kwikwikwikwi....Heheheeeeya Asusa.