US Election Coverage 2008


Kumbe na wewe Rev. ni mtu wa ma conspiracy theories? Hivi kwa nini Obama akipata asilimia tisini ya kura za weusi hamsemi kuwa huo ulikuwa ubaguzi lakini Mama akipata kura nyingi za wazungu inakuwa ubaguzi....why?

Edwards ni loser tu! Hii ni safari ya pili sasa anagombea na kushindwa. Hata kwao hawamtaki hata pale alipokuwa kwenye ticket.
 

Dude,

You sound like Uncle Ruckus!
 

Nyani,

Msome Navarrette wa CNN kwenye makala yake ya jana.

http://www.cnn.com/2008/POLITICS/05/14/navarrette/index.html?


 
Huyo alieandika hiyo ni Hillary hater! Mbona siwasikii wazungu waliomfikisha Obama hapo alipo wakiwa praised? Hivi nani mwenye akili timamu anayedhani Obama kafika hapo alipo bila kura ya wazungu? Bila wazungu Obama kwa kweli Obama angekuwa keshaachia ngazi baada ya Iowa. Na bila wazungu Obama hawezi, hata iweje, kushinda uchaguzi mkuu.
 
Ahhh Nyani mbona unachanganya maneno bwana/ Mimi nilisema Mama kapiga mkwara wa rangi akashinda WV maana kule shingo nyekundu ni wengi na alijua akitumia rangi atashinda kura nyingi.

Strategy ya Mama haikuwa kushinda delegates, ila kupata popular votes.

Sasa uliponirushia ile hook iliyo miss kuniweka msamba chini kama Suge, ndipo nikakujibu masuala ya rangi na kumtoa huyo Mama hater!
 
Nyani naona siku imeshaharibika na Edwards endorsement. Usikatae ni pigo kwa mama na hata campaign yenu imekubali kwa hiyo usiseme it is not a big deal!!!!!!:
Alafu hii habari ni ile ya kibaraka chenu ABC usije ukasema eti Hillary haters!

http://blogs.abcnews.com/politicalradar/2008/05/edwards-to-endo.html

Sasa nakutafutia habari za hao GOP walivyochanganyikiwa, maana unabisha vitu ambavyo vipo!
 

Ahahahahahahaaaa....Suge haikuwa hook bana....ilikuwa spana ya tairi....Lol
 
Naona rafiki yetu Nyani, analeta ligi na hii issue ya Mississippi na kwamba si pigo kwa GOP, Pundit mpaka kaleta some demographic theories hapa. Lakini kumbukeni the slice n dice ya miaka ya nyuma will not work this time. Rovian tactics are not working na ndiyo maana wamechanganyikiwa.
Haya story hii hapa:

I rest my case! Maana naona kelele na ushabiki umezidi kuliko facts.
 
Kwa hiyo maoni yako wewe unayaona kuwa ni points na ya kwetu kelele sio?
 
Kwa hiyo maoni yako wewe unayaona kuwa ni points na ya kwetu kelele sio?

Actually nilikuwa naona kama emotions were flying na akina YNIM, Pundit, etc. Sasa nikaona kazi ndogo sana, hii ya kusema did MS matter or not na mambo mengine.
In less than 24 hours naona ni malumbano, kebehi etc. Au nimekosea ndugu yangu? Maana naona leo umeanza mshari sana! Punguza jazba! Usije ukawa umekosa hoja.....
Sasa nijibu na points kuhusu masuala mawili niliyoyaweka ya Edwards na hii ya GOP.
 

Nitajibu hoja zako mara utakapoacha kukebehi hoja za wenzako na kuziita "ushabiki".....sawa?
 
Nitajibu hoja zako mara utakapoacha kukebehi hoja za wenzako na kuziita "ushabiki".....sawa?

We umekosa jibu! Unataka kusema nimekebehi wenzangu?! Basi waje wao waseme hivyo. Pilipili za shambani za kuwashia nini? Umekosa hoja unaleta vioja. Tumebishana muda mrefu kwenye hii thread na nimerespect opinion ya kila mtu, mpaka ulikubali mwenyewe kwamba najaribu sana kuwa reasonable, leo hii unajidai umekasirika?!
Hapana, mi naona umekosa point. Kama vipi we endelea kupost vitu vyako na mi nitaendelea lakini usije ukajifanya indignant in the name of others!
Pundit na YNIM are my comrades na hatuna bifu, wewe ndo unatafuta ugomvi hapa, nimekwambia siku umeanza vibaya. Lakini nakuacha ukapoe kwanza.
FYI, YNIM ni Obama nation mwenzangu just like Koba na GT, so sijaelewa hizi hasira za nini, maana my remarks were for both sides.
Have a nice day!
 
Endeleeni kuspin kuwa hizi endorsement sio big deal....!!

WASHINGTON - Barack Obama collected the support of four of John Edwards' Democratic National Convention delegates on Thursday, then gained the backing of four superdelegates and a large labor union as he marched steadily toward the party's presidential nomination.

The fresh support brought Obama's overall delegate total to 1,895, compared to 1,718 for his rival, Hillary Rodham Clinton. It takes 2,026 to clinch the nomination at the party convention in Denver this summer.
 
Ebwanaeee Rev umenivunja mbavuuuu.Uncle Ruckus nuksi!
 

Ebwana huyu HRC nuksi kweli yaani hiyo race card anaitumia kishenzi, umeshamsikia hata siku moja Obama akisema kuwa HRC hawezi kuvuta kura za Blacks?
 
This story looks bad because it looks like now it is officially Obama VS Bush, McCain is just a puppet and has to play second fiddle.
Bush said the following in Israel:

Mccain alipoulizwa ajibu amesema:

Poof! So much for Mr nice Guy!
Sasa cheki reaction ya Democrats! They have come out all united behind Barack Obama, just like HIllary has the ability to unite the GOP behind their candidate, so can Bush unite the Democrats behind their candidate. Hapa naweza kusema strategic mistake has been made by GOP kwa sababu kama nilivyopost leo mapema, ni muhimu kwa McCain kujitenga from Bush, the most unpopular president in the history of the US. Otherwise it will drag him down. But Bush naona hataki kujitoa, na anazidi kufanya mambo kuwa magumu kwa McCain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…