Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,857
- 141,279
....go where, nyani ngabu!!?? primaries kwisha last night kilichobaki ni fujo tu toka kwa billary!! sore loser, aibu sana.
...naona wanazidi kujikopa wenyewe, sijui watapata wapi pesa ya kujilipa??
...former senator McGovern(billary supporter) ameshapendekeza "fighter" ajitoe!!!
...wame-run kampeni kama wapo in 90's, dunia imebadilika, watu hawataki fighters bali wanataka uniters na compromisers!! watu wanataka kuambiwa ukweli na sio pandering, ku-pin watu kwenye gaffes na associations za mbali ambazo hazitabadilisha maisha yao ktk wakti huu mgumu........
poleni sana NN na buraza KK....sisi tunasema, "change we can believe in, yes we can"!!.
Mimi siwezi hii back and forth ya mipasho! Nimechoka! I'm tired man
.....sawa mkuu, mshauri basi na mama yako ajitoe ili debate ibadilike.....
Mkuu nafikiri Billary wanatafuta exit strategy ambayo itakuwa somewhate graceful..I believe maneno ya pundits wanaosema the next Primary ata show up pamoja na Barack on the same stage na ku anza ku spin maneno matamu na how tough Barack is and how good of the campaigner he is. I am hoping Obama camp sasa hivi hawapokei simu zozote zinazotoka kwa Clinton camp kwa sababu wana leverage, na kama mama anataka kuendelea kuadhirika (pay more of her own $$$ ku fund campaign yake) na kukigawa chama, they can let her do that na Camp Obama ikawa focused na general election.
Unajua kuingia kwenye race ni rahisi kuliko kutoka, nina uhakika sasa hivi Billary wanatafuta mlango wa kutokea bila kuonyesha kuwa wameumia na kubwagwa na bwana mdogo kutoka IL. It is hard for Clintons to take defeat lakini waungwana wanasema kila kitu kina mwanzo na mwisho wake and I think its about time wakataste defeat.
Earlier on nilikuwa naangalia TV kuna jamaa kasema kama Mama na Bill wakimback Obama, ataanza kuraise money kulipia campaign ya Clinton na kumlipa Mark Penn.
Mkuu swala la pesa kwa Clinton is a non issue..those people have gazzilion of millions than kulinganisha na average american who has ever held a public office. So swala la pesa naona halina mashiko kabisa..hata kama angejikopesha million hamsini..sidhani kama ni big deal......Swala ni je..kuendelea kwa huyu mama kwenye hii race..si itazidi kuwadivide Dems? maana whether we like it or not..mama has a very solid constituent ambayo BO hawezi risk hata siku moja kui undermine..perhaps mi naona wazee wamuingie Bill Clinton mwenyewe...amshauri mama adrop for the sake of the party..otherwise mi naona hii game ni mwendelezo wa usanii wa siasa za USA, mtahand hii election ikwa makeni muanze kuulizana maswali come..November 5th.....Realistically OBAMA needs a united Democratic party behind him NOW not Tommorrow..no more no less..bado kuna mizungu yenye ego sana..itahitaji kuwa convinced kikweli kweli kwamba nchi yao akipewa mweusi itazidi kuwepo...I hope all supporters wa Dems wanalijua hili.....Na lazima mujue mnadeal na mwanamke ambaye anaweza kuona kila akiambiwa adrop..anafanyiwa male chauvinism....but I agree she needs to go, soon than later.
.....sawa mkuu, mshauri basi na mama yako ajitoe ili debate ibadilike.....
Ajitoe kwa nini wakati kuna majimbo mengine bado hayajapata nafasi ya kuchagua? Mbona nyinyi mnapenda ushindi wa kirahisi rahisi. Sijui mkoje tu nyinyi? Agghh....mnakera sana wakati mwingine...
Ajitoe kwa nini wakati kuna majimbo mengine bado hayajapata nafasi ya kuchagua? Mbona nyinyi mnapenda ushindi wa kirahisi rahisi. Sijui mkoje tu nyinyi? Agghh....mnakera sana wakati mwingine...
Nasikia Hillary anakutana na baadhi ya Superdelegates leo hapo DC..wanadai sio crisis meeting bali ni regular meeting.
Nakubaliana na wewe Obama anahitaji United Democratic Party, lakini swali linakuja Mama yuko tayari kuachia ngazi au ndio nataka kwenda mpaka primary ya mwisho?
Camp Obama ikawa focused na general election.
msee,
nimemwona Terry McAuliffe mapema akiongea.....hakuna dalili za billary kujitoa na ndio kwanza kimama kilikuwa kina kampeni Shepperdstown, WV............hii kitu imelala, billary wataenda mpaka mwisho!!.
msee,
nimemwona Terry McAuliffe mapema akiongea.....hakuna dalili za billary kujitoa na ndio kwanza kimama kilikuwa kina kampeni Shepperdstown, WV............hii kitu imelala, billary wataenda mpaka mwisho!!.
..nyinyi hampendi kushindwa?
Thats whats up!!
See y'all in Denver
Hakuna aliyeshindwa...
Mshindi anahitaji wajumbe 2,025, na mara ya mwisho kuangalia Hussein Obama alikuwa na kama 1700 na kitu....
..keep the dream alive!
huyu jaluo ni hope ya kurudisha heshima ya US