Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,859
- 141,359
Hivi Obama akishinda Marekani ita apologize slavery?
....hahaha ahaha ahaha,hapana ila weusi wote tutakuwa tunapata free paycheck every sunday na Jeremiah Wright atakuwa secretary of state na cabinet yote watakuwa weusi from chicago.
NN hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo, lakini tatizo ni kwamba kwa mtu mweusi kuapologize kwa dhuluma aliyofanyiwa mweusi mwenzie, kisiasa inawezekana lakini ki hali halisi haitamake sense, inabidi raisi mweupe aapologize ndo itaweza kufit kote kote kisiasa na kihali halisi. Obama akishinda uraisi na akaapologize atakuwa amewafanyia kazi wazungu ambao miaka takriban 200 baada ya Utumwa hawajaapologize direct.ili kuheal ili kuheal haya maumivu inabidi raisi mweupe aapologize!.
Je weusi wataridhika au wataendelea kuiona nchi yao kuwa ni ya kibaguzi licha ya ukweli kuwa zitakuwa ni kura za wazungu zitakazompa ushindi Obama kama akishinda?
Kitila mama huyu ni fighter but she's fighting the wrong person.
Hivi Koba, Icadon, YNIM and rest of Obama Nation mmemwona Bill Clinton wakati wa speech ya Hillary? Mbona alikuwa amenuna hivyo na alikuwa mwekunduuuu! Ni pombe au he's sunburnt? Na kununa kwake is it the beginning of the end? Nimeona Begala na Donna Brazille wanachuana CNN, aisee huyu big Mama Donna alimweka sawa Paul ilibidi nicheke. Alafu akaja another whiney Clinton supporter Lanny Davis, akaleta utumbo wa Michigan na Florida, wacha Donna asimshukie. Ikabidi akiri hataki ugomvi na DNC especially with Donna! Duh naona DNC sasa wameamua hawataki tena upuuzi.
Haya for Hillarylanders: Barack has won North Carolina by more than 200,000 votes or 233,497 to be precise. Hillary won by 214,224 votes. So Obama has erased ALL her achievements, plus compensate for any possible loss in Indiana (even though he might win!)
GOBAMA!
Susu mimi Donna simzimii sana..alipreside over a LOOSING CAMPAIGN ya Al Gore, ambayo mpaka leo watu tunasikitika huku dunia ya tatu tulipo...!!!! alikuwa one of the kitchen cabinet..kwa hiyo maneno yake ni hot air! hana kitu cha kutuonyesha..at least Beggalla na Calville..wana something!
Na sasa hivi tunataka Axelrod adeliver ushindi..siyo kelele tuu na kulalamika..dont mind the pundits..aim at the ultimate prize... (at least jamaa mpaka kumfikishs Jaluo hapo alipo..huts off for him!)...At times I dont want to admit it..but I admire Karl Rove na umafia wake.. why? he is always in a winning team! so the tactics he uses..is another subject all together.....Ila ushindi unapatikana. Na ndicho pundits wa democrats inabidi waonyeshe hapa, tumechoka na maneno yao..we want a winner..Its a shame kwamba mtu kama Al Gore walishindwa kumuuza kikamilifu...
Go Mama Go!
Hivi unaamini kuwa Gore alishindwa uchaguzi?
Kumbe? au WH imehamia Nashville? hahahaha..... He is one of the few remarkable men I admire on this planet! Mungu ambariki yule baba! Ya Mungu mengi...kwa hiyo we dont need conspiracy theories!
All in All Hillary should go and recuperate from this campaign....Aaanze kumsaidi Jaluo ashinde November!
Hivi unaamini kuwa Gore alishindwa uchaguzi?