Actually nakubali kwamba Bill Clinton analalamika sana kuhusu suala hili lakini Obama waliposema kwamba ABC debate moderators walikuwa unfair alisema Obama should stop whining. Sasa when it comes to whining Clintons are champions! Katika hili hakuna ubishi!
msee,
ingawa ulini-throw under the bus kwenye issue ya Jenna kwikwikwi...hapa nashukuru kwamba umeiweka vizuri point nilotaka kuongea!! kumbuka ile Hilary kuongea positively juu ya McCain, lakini Obama aliposema viuzri juu ya jamaa HRC wakafanya ishu...kaaaazi kweli kweli.
thank you na ma-wkend mema!.
Ngoja Carville atoke na 'Judas' remarks nyingine aone watu watakavyohama!A major fundraiser for Hillary Clinton, former Amb. to Chile Gabriel Guerra-Mondragon is leaving the campaign to join up Barack Obama's campaign.
Officially dubbed a "Hillraiser," Guerra-Mondragon raised nearly $500,000 for Clinton's campaign, according to some estimates. He has been informing people inside Clintonworld this week in what's been described as some tough conversations. A formal announcement of a role for Guerra-Mondragon on Obama's national finance committee will be made next week. Guerra-Mondragon was appointed Amb. to Chile by Pres. Clinton in '94 and served until '98.
Among the reasons for Guerra-Mondragon to defect, according to one informed source, was he was uneasy with the tone of the Clinton campaign and was beginning to worry about what this would mean for the general election.
Mlimuona Rev Wright Jana? Yule Mzee Anaonekana Anajua Uchafu Mwingi Wa Serikali Ya Marekani Ndio Maana Alikuwa Akiongea Vile. Jana Katoa Mifano Mingi Sanaa Kwa Hiyo Anaonekana Kujua Mengi. And He's So Confident.
Anyways Nimeambiwa Kambi Ya Mama Clinton Wanaendelea Kuwepo Na Kupambana Na Kuwa Negative Kwa Sababu Wanataka Kumuharibia Obama Ili Warudi Baada Ya Miaka Mi-nne Na "i Told U" The Guy Couldn't Stand The Heat Of Rnc. Kwa Sababu Chances Yao Ni Ndogo Sana This Year.
Nyani Ngabu sio Speculation au conspiracy theory sasa kwa nini Mama Clinton asikubali kushindwa? Kama Mama Clinton angekuwa na MoreStates, More Delegates na Votes alizokuwa nazo Obama na Obama kwenye possition ya Mama haya mambo ya nani ni Electable yangeendelea mpaka leo Kweli? Au Mama anataka kuonyesha nini? Na the more wanaendelea the more wanavyozidi kuwa Negative na kuharibu tuu. Na Obama akiondolewa weusi hawatapiga kura na vijana wengi tuu hawatapiga. Na mama hawezi kushinda bila weusi na hao new voters ambao wameletwa na Obama. Na ndio maana Adviser wa Obama alisema Blue Colour Voter sio wa kuwategemea sana ila unaweza kuwategemea AA pamoja na vijana (New Voters)
Gamba la Nyoka: hakuna winner take all state in the Democratic primary. Everything is propotional.
....hii race kwisha ila media inataka kuendeleza tuu kwa ajiri ya ratings zao,issue ya wright is just crazy na wasiompenda Obama ndio wanaitumia na hata bila Wright ni hao hao ambao wasingempigia kura,screw them all na wala hatuhitaji kura zao na Wright atasema anachosema lakini Wright sio Obama,Clinton naye aende tuu maana hawezi kushinda hata afanye nini aache watu waanze kazi ya GE,kama Obama amemwangusha Clinton McCain ni kazi ndogo sana...Republicans only hope waliyo nayo to beat Obama ni race tuu na wanajua racist white will vote against black na sio issue...wajiandae tuu kwa Tsunami ya November maana hawana issue