Susu,
Hawa PR si wngi wao ndio walioko NY, ndiyo maana mama anajitapa. Ikiwa obama atapata japo popular votes kama 150000+ North Carolina, basi mchezo umekwisha maana mama atachechemea kwenye anga zote.
Obama atamwambia mama alete kura zake za FL na MI ajumuishe na atakufa kifo cha Mende!
...umenichesha sana yaani kwikwikwi, ati "shika adamu yako" kwikwikwikwi, sound like my late grandma!!! LOL.
....hamna lolote, hiyo kitu umecopy/paste kwa staili ya kufoji kama ile bank statement iliyokupatia VISA ya kutinga USA!!.
....wewe ni comedian, kuanzia leo nitashika adabu yangu na adabu itanishika mie!!! asante kwa kunikumbusha.
You know I was kidding on refund, naongeza mchango mwingine ingawa kijana ana PoP!
Achana na huyu mwehu YNIM!
Nenda Bulawayo kwa kaka yako Gabriel, anakusubiri!..duh, wamekurudisha nini kwenye kamati ya fweza!!?? polepole this time watakuitia police, halafu ututie majonzi hapa...kwani tutakumisi.
Koba,
Rush na wenzake wanaswali kila dini ili Mama ashinde ili wamnyuke. It is easy to tell Americans about the years of Clintons, lakini ukitaka leta kuhusu Ojwang, watapakwa rangi kuwa ni Racist!
Koba,
Huyu mama ni kama lile kimba la mwisho mwisho, halitaki kutoka ujiondokee zako msalani kuendelea na biashara zako. 🙁
Nenda Bulawayo kwa kaka yako Gabriel, anakusubiri!
Si huyu babu yako wa miaka 84 ambaye anakataa kuamini kashindwa! Nyie si mnatoka ukoo mmoja eti Jongwe!...Gabriel gani? yule kivuli pale Ilala au? lakini yule wa Ilala alikuwa Mzambia toka Kabwe kwikwikwikwi!! acha magirini wewe....
Rev,
..sorry, kule kwenye thread ya legacy ya nyerere, nimeona ume-post document toka 'heritage foundation'.....nataka kujua spin yako, kwasababu mie naona document ile ina back msimamo wangu na wengine juu ya ulonyo lonyo tuliorithishwa na nyerere!!.
nitakuwa nachungulia kule...........thanks.
naona GOP wanakwenda negative ile mbaya kwenye AD zao...wapumbavu sana hawa labda KKK wenzao ndio watawsikiliza,maana hata wall street wanaongoza kumpa $$$ Obama ambao ndio tax windfall ilipoangukia,hawana sera wameshtukiwa na kila mtu wanategemea negative campaign tuu ambayo ita keep their base and stupid tuu lakini sio mtu mwenye akili zake,wamemaliza nchi ng'ombe hawa,nenda OH na PA ndio utagundua watu wanavyo suffer kwa kukosa kazi!
...i'm sending another 100$ to Obama,Mccain lazima tukumalize na GOP wenzako maskini...mama sio factor tena habari yake kwisha sasa!
Rev,
...Snipes kacheza na uncle sam, naona wamemnyea 3!!
...binti mmoja wa Joji kichaka anasema atavote BO au HRC, kaboooom, kaaaazi ipo!....nitasubiri hizo picha kwa hamu!
NB: nadhani tupo pamoja kwamba hizi ni jokes tu...thanks.
Umeisoma? Sasa kama umeisoma, uelewe wazi kuwa Mimi Pro-Nyerere nina uwezo wa kuwa na mawazo tofauti hata kupingana naye.
Nilikutana na Nyerere 1994 Sabasaba alikuja kwenye Banda la shirika langu, nikamkebehi kuhusiana na utaifishwaji wa mashirika, akaniambia nina bahati alikuwa ana shughuli nyingi la sivyo angelinikatisha kitako!
Niachangia kule kwa Legacy mkisha leta vilio vyenu vya kunyang'anywa mbuzi na kuku wa kienyeji!
Koba,
Obama gives America a fresh start, fresh breath and fresh minds, ndiyo maana kila mtu anaehuka. Wnaositasita hata kama ni Republican ni wale wanaoogopa mabadiliko.
In 12 years, hawa mabwana wadogo ambao ni 18 leo, ndio watakuwa majority generation. Hivi vizee vyake YNIM ambavyo ni vya ki-Hillary vitakuwa vimeshaachia manyanga au uwezo wao kuelewa ni batili.
Both parties need to start to shape themselves for the next decade of new majority voters ambao wengi watakuwa ni Gen Y2K na mentality zao ni za ki Youtube, Myspace etc.
Sisi tayari tuna generation JF na Serikali ya waliotembea kwa miguu kuunga Azimio la kupata Uhuru are still running the country as if Richard Turnbull is still alive!
leo umekula nini? broccoli? naona mind yako ipo sharp.....au ndio "truthness"??
Sasa hizi fix sasa...
Dizaini umeshaanza kulizimua gongo....
Hebu lete exact quote hapa...